Leo mahakama ya Kisutu imetoa hati ya kukamatwa au kujisalimisha mwenyewe katika kituo chochote cha Polisi au kwenda Mahakamani kwa Mwenyekiti wa usajili wa klabu ya Simba Zacharia Hanspope katika kesi ya utakatishaji wa Fedha (Uhujumu Uchumi),pamoja na Mwenyekiti wa Evancy Aveva na makamu wake Geofrey Nyange.Zacharia naye ameonekana anakesi ya kujibu katika shitaka hilo la utakatishaji wa Fedha.
Source:Mimi mwenyewe nipo Kisutu Mahakamani
Sijui ya nini wafanyabiashara wakubwa wanapenda ujinga ujinga wa mavitu kama haya.!
Sio Manji,sio Hans Poppe,sio Davis Mosha,sio Mo Dewji,Malinzi,etc,etc...Wapuuzi hawa kwanini wasikae kwenye biashara zao seriously?
Wanaingia humo wanajiletea ma-attention yasiyo na maana...
Look at Manji,he is down now,Poppe is going down,Malinzi is down,Davis Mosha is down..
Maupuuzi ya kutaka kujulikana,what the fvck is this?
They are paying now!Watajijua

Mkuu hizi timu zinawaingizia Pesa sana,maana wanazikopesha,then hela yoyote ikiingia kwenye timu wanachukua,pia ukisikia mchezaji kasajiliwa milioni 150 labda ujue ni milioni labda 60 tu,zingine wanakula wao.Hizi teams ndo maana kila mtu anazihitaji hata mabadiriko inakua ngumu kutokea cos ni mitaji ya watu
Hoja hapa ilitakiwa kujibiwa ana kosa au hana kosa? Hayo mengine ni majungu...Kuna siku Elungata alisha wahi kusema kitu kama hicho hapa jf, sijui kama atakuwa anakumbuka,
Jamaa ndiyo aliye toa milion 30, kwenye uchanguzi wa mwaka 2015 kwenye mkutano wa CDM na wadau sijui ulifanyika ukumbi gani vile wa kuomba msaada wa hela kumalizia kampeni za uchanguzi mkuu..
Anatafutwa kwa mlango wa nyuma usio wa kisiasa patamu hapo....
Hoja hapa iwe ni utakatishaji wa fedha ...hivi analo kosa au hana? HahahahaHuyu ndo alikuwa target ya JIWE.Aligombana naye kipindi kile cha malori.Hanspope akishakaa jela zaidi ya miaka 10 kwa uhaini.Alitoka kwa msamaha wa rais,anarudi alikotoka.
Kwani hana kosa au analo?Nchi ya visasi .......badala ya kufokasi namna gani wataacha alama ya upendo na maendeleo baada yao ....Wao wanahangaika namna ya kuacha vidonda kwa wabaya na mahasimu wao
Rejea kwa viongizi km Mzee Mwinyi alivyotuacha na tunavyompokea kila anapotokea kwenye halaiki .Jk nae ameacha alama japo mapokezi makubwa anayapata km bezo kwa huyu
Mtumwa akipewa ufalme
Tz hakuna tajiri ambaye Yuko clean 100%Yanini mabishara ya wizi wizi namna hii?
Kwa watu wenye heshima kama Poppe,Manji,etc..yanini wanaibaiba?
Kwanini wasijikite kwenye biashara zao wenye uwezo nazo na utaalamu wakafanya biashara kwa innovation wakazalisha wakapata hela serious tena endelevu?
Hizi biashara za wizi wizi shida yake mnafanya group,mkishikwa mnaanza kutajana tajana...sasa basi,huyu Poppe anaweza enda ndani kwa upuuzi wa 300mil hata kama ni 1Bilion,bado akienda ndani ana-suffer more loss than what he has collected so far.
Kwanini mtu usikae ofisini,ukasimamia kazi zako,ukaweka innovation,ukaachana na makamera na migazeti,ukawa unaangalia sales graphs tu?
Kwa mimi mkuu,I will never ever do that!
Mtu billioner,unajulikana kwanini utafute kick za vyombo vya habari wakati CV yako si nzuri!!!Yanini mabishara ya wizi wizi namna hii?
Kwa watu wenye heshima kama Poppe,Manji,etc..yanini wanaibaiba?
Kwanini wasijikite kwenye biashara zao wenye uwezo nazo na utaalamu wakafanya biashara kwa innovation wakazalisha wakapata hela serious tena endelevu?
Hizi biashara za wizi wizi shida yake mnafanya group,mkishikwa mnaanza kutajana tajana...sasa basi,huyu Poppe anaweza enda ndani kwa upuuzi wa 300mil hata kama ni 1Bilion,bado akienda ndani ana-suffer more loss than what he has collected so far.
Kwanini mtu usikae ofisini,ukasimamia kazi zako,ukaweka innovation,ukaachana na makamera na migazeti,ukawa unaangalia sales graphs tu?
Kwa mimi mkuu,I will never ever do that!
Mkuu mbona umeacha vyumba wazi,ungetujazia ili tuone namna ya kuwa arrest.....ha ha ha hasasa hata mi mwenyewe nashangaa katika kesi kama ile unamkamata aveva unamuachaje hanspope??unakamata habinder Singh na rugemalira unawaachaje .............. na .........???