Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
hakuna kitu hapo, ni kupoteza muda maana hakuna independent judge wa kutoa haki hapo. As long as pale juu kuna Masaju, mhuni mkubwa na katili wa haki, hakuna kitu hapoMahakama Kuu ya Dodoma ilipofunguliwa kesi ya kikatiba na kada wa Chama cha Mapinduzi Mch. Dkt. Geoffrey Malisa imesikiliza kwa mara ya kwanza kesi hiyo Agosti 5,2025. Akiongea na waandishi wa habari Dr Malissa amesema hakimu anayesimamia kesi hiyo amesema kuna umuhimu wa kesi hiyo kusikilizwa baada ya kupitia shauri zima kama lilivyowasilishwa mbele yake.
Shauri hili linalosimamiwa na jopo la mawakili watatu linalenga kuiomba mahakama kutoa tafasri na uamuzi wa usahihi katika mchakato wa kumpata mgombea wa CCM, Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza Dr Emmanuel Nchimbi.
Mahakama imeutaka upande wa wawalamikiwa ambao ni CCM kutoa maelezo ya utetezi ndani ya siku saba kabla mahakama haijatoa uamuzi wa shauri hilo. Ikumbukwe kuwa shauri hilo limewasilishwa mbele ya mahakama kuu kwa hati ya dharula.
Ilitakiwa ifutwe jana ili kutochafua magazeti LeoHiyo kesi itafutwa katika hatua ya mapingamizi ya kisheria (Notice of preliminary objection). Yatasukwa mapingamizi ambayo dunia hii haijawahi kuyaona, kesi yote itapondwapondwa, kitu pekee ambacho kitabaki sahihi ni majina ya mshitaki na mshitakiwa
Mahakama Kuu ya Dodoma ilipofunguliwa kesi ya kikatiba na kada wa Chama cha Mapinduzi Mch. Dkt. Geoffrey Malisa imesikiliza kwa mara ya kwanza kesi hiyo Agosti 5,2025. Akiongea na waandishi wa habari Dr Malissa amesema hakimu anayesimamia kesi hiyo amesema kuna umuhimu wa kesi hiyo kusikilizwa baada ya kupitia shauri zima kama lilivyowasilishwa mbele yake.
Shauri hili linalosimamiwa na jopo la mawakili watatu linalenga kuiomba mahakama kutoa tafasri na uamuzi wa usahihi katika mchakato wa kumpata mgombea wa CCM, Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza Dr Emmanuel Nchimbi.
Mahakama imeutaka upande wa wawalamikiwa ambao ni CCM kutoa maelezo ya utetezi ndani ya siku saba kabla mahakama haijatoa uamuzi wa shauri hilo. Ikumbukwe kuwa shauri hilo limewasilishwa mbele ya mahakama kuu kwa hati ya dharula.
Says a guy with a fake ID behind the keyboard.Bora huyu yupo active siyo kina polepole wanaongea wakiwa wamejificha.
Angeonekana live muda huu angekuwa tayari anasalimina na kina Mzee Ally Kibao ... anaijua huyo!!Bora huyu yupo active siyo kina polepole wanaongea wakiwa wamejificha.
Nyie makima si mnadhibiti kila kitu?Hiyo kesi itafutwa katika hatua ya mapingamizi ya kisheria (Notice of preliminary objection). Yatasukwa mapingamizi ambayo dunia hii haijawahi kuyaona, kesi yote itapondwapondwa, kitu pekee ambacho kitabaki sahihi ni majina ya mshitaki na mshitakiwa
Let us wait and seNi kitu kizuri amefanya Dr. Malisa, lakini ni bahati mbaya kwamba hatuna Mhimili huru wa Mahakama, hata huyo Jaji akijiridhisha pasipo shaka kuwa kulikuwa na ukiukaji wa kisheria na taratibu za chama, akiwaza kutoa hukumu ataishia kuwaza kuhusi maisha yake na familia yake na mabosi zake watakuwa watu wa kumsonga nk.
Sio mbaya it is a good test for our Judiciary system and the Tanzanian democracy at large. Tusubiri tuone
Wapo ambao hata hawathubutu kuongea kwa kujificha, je pia ni bora hao?Bora huyu yupo active siyo kina polepole wanaongea wakiwa wamejificha.
Hapana, Mahakama ndio itaamuaNyie makima si mnadhibiti kila kitu?
Siku shetani anayewapa kiburi atashindwa, ndio aibu yetu itaanzia hapo