PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Hii ni sinema ya kipindi zile za zamani!!!!!! CCM hawana Akili kabisaa wanafikiri wananchi wote ni wajinga kama wao
Ngoja tuoneMahakama Kuu ya Dodoma ilipofunguliwa kesi ya kikatiba na kada wa Chama cha Mapinduzi Mch. Dkt. Geoffrey Malisa imesikiliza kwa mara ya kwanza kesi hiyo Agosti 5,2025. Akiongea na waandishi wa habari Dr Malissa amesema hakimu anayesimamia kesi hiyo amesema kuna umuhimu wa kesi hiyo kusikilizwa baada ya kupitia shauri zima kama lilivyowasilishwa mbele yake.
Shauri hili linalosimamiwa na jopo la mawakili watatu linalenga kuiomba mahakama kutoa tafasri na uamuzi wa usahihi katika mchakato wa kumpata mgombea wa CCM, Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza Dr Emmanuel Nchimbi.
Mahakama imeutaka upande wa wawalamikiwa ambao ni CCM kutoa maelezo ya utetezi ndani ya siku saba kabla mahakama haijatoa uamuzi wa shauri hilo. Ikumbukwe kuwa shauri hilo limewasilishwa mbele ya mahakama kuu kwa hati ya dharula.
Enzi ya magu upuuzi kama huu usingefanyika .mama Samia kazid upoleMahakama Kuu ya Dodoma ilipofunguliwa kesi ya kikatiba na kada wa Chama cha Mapinduzi Mch. Dkt. Geoffrey Malisa imesikiliza kwa mara ya kwanza kesi hiyo Agosti 5,2025. Akiongea na waandishi wa habari Dr Malissa amesema hakimu anayesimamia kesi hiyo amesema kuna umuhimu wa kesi hiyo kusikilizwa baada ya kupitia shauri zima kama lilivyowasilishwa mbele yake.
Shauri hili linalosimamiwa na jopo la mawakili watatu linalenga kuiomba mahakama kutoa tafasri na uamuzi wa usahihi katika mchakato wa kumpata mgombea wa CCM, Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza Dr Emmanuel Nchimbi.
Mahakama imeutaka upande wa wawalamikiwa ambao ni CCM kutoa maelezo ya utetezi ndani ya siku saba kabla mahakama haijatoa uamuzi wa shauri hilo. Ikumbukwe kuwa shauri hilo limewasilishwa mbele ya mahakama kuu kwa hati ya dharula.
umesahau, vitani huwa hawaendi mstari wa mbele wote. Wakati wa vita walioko nyuma ya front-liners huwa na kazi kubwa sana katika kuhakikisha ushindi wa vita husika.Bora huyu yupo active siyo kina polepole wanaongea wakiwa wamejificha.
Polepole anafuata nyayo za watanganyika walio wengi.Bora huyu yupo active siyo kina polepole wanaongea wakiwa wamejificha.
Unadhani amekosea kufungua hiyo kesi ama shida itakuwa kwenye maamuzi!!.Hii ni sinema ya kipindi zile za zamani!!!!!! CCM hawana Akili kabisaa wanafikiri wananchi wote ni wajinga kama wao
Kinachoendelea ni kuweka reference vizuri kwakuanika kiwango cha uozo wa mahakama zetu.Ni kitu kizuri amefanya Dr. Malisa, lakini ni bahati mbaya kwamba hatuna Mhimili huru wa Mahakama, hata huyo Jaji akijiridhisha pasipo shaka kuwa kulikuwa na ukiukaji wa kisheria na taratibu za chama, akiwaza kutoa hukumu ataishia kuwaza kuhusi maisha yake na familia yake na mabosi zake watakuwa watu wa kumsonga nk.
Sio mbaya it is a good test for our Judiciary system and the Tanzanian democracy at large. Tusubiri tuone
unaongea kwa vibwagizo kwa kuwa wewe ni mbumbumbu kuhusu utawala wa sheria. unafikiri ni sifa lwa nchi kuwa na sheria zenye makengeza?Hiyo kesi itafutwa katika hatua ya mapingamizi ya kisheria (Notice of preliminary objection). Yatasukwa mapingamizi ambayo dunia hii haijawahi kuyaona, kesi yote itapondwapondwa, kitu pekee ambacho kitabaki sahihi ni majina ya mshitaki na mshitakiwa, na jina la mahakama
Ila jamaa yuko active yuko liveVietnam ilivyo ngumu ukute chama chao ndio wamepeleka hiyo kesi mahakamani na wanajua mwisho wake wakiamua watakuja na tamko la mashahidi wasionekane mahakamani na kuifutilia mbali..