Enzi ya magu upuuzi kama huu usingefanyika .mama Samia kazid upole
Bila udictator hii nchi haiendi
Case ya kipuuzi na itaishia juu juu tuh
Hahaha Polepole anatafutwa kwa drones soon utasikia yuko JKCI kalazwa kwa matibabu.Bora huyu yupo active siyo kina polepole wanaongea wakiwa wamejificha.
Ni kweli lakini historia itabakia!!kuwa hata miaka hii kuna watu wachache wanaojitambuahakuna kitu hapo, ni kupoteza muda maana hakuna independent judge wa kutoa haki hapo. As long as pale juu kuna Masaju, mhuni mkubwa na katili wa haki, hakuna kitu hapo
Naona wengi wamelike comment yakoBora huyu yupo active siyo kina polepole wanaongea wakiwa wamejificha.
Unalako jakoBora huyu yupo active siyo kina polepole wanaongea wakiwa wamejificha.
Hakuna kitu hapo mazee sarakasi za Korea KaskazinIla jamaa yuko active yuko live
Anaongea hajifichi 😄
Ova
Najuwa ataangukia puaHakuna kitu hapo mazee sarakasi za Korea Kaskazin
Unadhani yuko Peke yake, tupo wengi mimi nina plan kabambe ya kuhakikisha kama Samia atashinda basi Tanzania iwekewe vikwazo na kuhakikisha Maisha ya Abdul ni mafupiBora huyu yupo active siyo kina polepole wanaongea wakiwa wamejificha.
Kuna watu akili mlishauzaHuyo aloenda mahakamani mbona hakufanya hivyo Lowasa alipochukua fomu ya CHADEMA 2015?
Maamuzi ya mahakama ndiyo shida, huyo aliyefungua kesi ametumia haki yake kikatiba kufungua kesi Ila Kwa mahakama zetu hizi za mchongo hakuna kesi hapoUnadhani amekosea kufungua hiyo kesi ama shida itakuwa kwenye maamuzi!!.