GE2025 Mahakama yatoa Siku Saba CCM kujieleza, uteuzi wa Samia kugombea Urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ngoja tuone
 
Enzi ya magu upuuzi kama huu usingefanyika .mama Samia kazid upole
Bila udictator hii nchi haiendi
Case ya kipuuzi na itaishia juu juu tuh
 
Bora huyu yupo active siyo kina polepole wanaongea wakiwa wamejificha.
umesahau, vitani huwa hawaendi mstari wa mbele wote. Wakati wa vita walioko nyuma ya front-liners huwa na kazi kubwa sana katika kuhakikisha ushindi wa vita husika.
 
Laiti tungekuwa na Mahakama kesi hii ingekuwa na maana, lakini sasa hivi tuna vigango vya CCM tu vinaitwa Mahakama, tena huyu Masaju ndiye Papa mwenyewe.
 
Bora huyu yupo active siyo kina polepole wanaongea wakiwa wamejificha.
Mkuu mbinu za kivita zinatofautiana kutokaa na uhalisia wa vita na adui.. ila mwisho wa siku ushindi zipatikane

Angalia namna ambavyo USA na Israel wanavyo pigana vita.... hawana mbinu 1
 
Nimesoma comments,nimeona wengi vilaza hawajaelewa hizi move zinavyoenda!!

Elewa "ccm wamepewa siku Saba kujieleza"huo ni ushindi Kwa team wazalendo ndanu ya chama!!
Sasa basi what if kama waliopewa kujieleza wakashindwa kujieleza kutosheleza matakwa ya mahakama!!?

Kwasasa hakuna anaeweza tekwa tena ndio maana malisa anadunda Hadi Sasa!ingekua miezi yetu ile ya mei mei,June june etc!!

Humphrey pole pole kanogesha kesi kabla hata haijasikilizwa coz keshatoa utaratibu wa chama ulivyo ambao mahakama wanajua!!

Sasa malisa analindwa na waliomtuma kupeleka kesi hiyo mahakamani!!

Baada ya Bunge kuvunjwa naona sarakasi zimeanza sasa!

NASEMA OKTOBA BADO NI MBALI SANA KWA SISI KU TICK PICHA YA ATAKAEKUWEPO KWA BALOT PAPER!!

NAWAONA THE STATE WAKISEMA SIASA NI SAYANSI!!

NGOJA NIONE!!
 
Ingekuwa Kenya ccm ingepata joto ya jiwe ila hapa kwetu kama kumpigia mbuzi gitaa tu
 
Chakushangaza zaidi ni jinsi msajili wa vyama vya siasa alivyo kaakinya pamoja na kelele zote hizi.
 
Kinachoendelea ni kuweka reference vizuri kwakuanika kiwango cha uozo wa mahakama zetu.
Tunajua hakuna haki na haki haitotendeka (maana washtakiwa watatoa utetezi utakaothibitisha uhalali wa haramu yao)

Majaji na mahakimu wanaotumika ni wale wasiojali legacy hivyo kumbukumbu zao zitabaki kwenye historia kua ni majaji na mahakimu wanajisi walio wahi kunajisi mahakama tukufu kwa Tamaa zao.
 
unaongea kwa vibwagizo kwa kuwa wewe ni mbumbumbu kuhusu utawala wa sheria. unafikiri ni sifa lwa nchi kuwa na sheria zenye makengeza?
umejingisha na kukubali kuwa mbumbumbu ili mkono uende kinywani
CHAWA
 
Haki haiombwi, Usibaki nyumbani tafadhali. Jukumu la kuufurusha utawala wa IMLA/MKONO WA CHUMA liko mkononi mwako. #WananchiWenyeNchi #NguvuYaUmma #KataaWahuni
 
Vietnam ilivyo ngumu ukute chama chao ndio wamepeleka hiyo kesi mahakamani na wanajua mwisho wake wakiamua watakuja na tamko la mashahidi wasionekane mahakamani na kuifutilia mbali..
Ila jamaa yuko active yuko live
Anaongea hajifichi 😄

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…