Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

Follow this up
 
Mungu muweza wa yote naomba haki itendeke na kupatikana kwa wanaostaili .
 
SEHEMU AMBAYO HAKUNA HAKI TZ NI MAHAKAMANI.
 
Ukiwa na akili ndogo, wakati fulani watu wanaweza wasijue kuwa una akili ndogo kama huropoki.

Hivi kuna yeyote amesema kuna watu wanaenda mahakamani kwaajili ya kuwatisha majaji?
Hakuna
 
Nakubaliana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…