Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

Ifike wakati hizo "Court sessions" ziwe broadcasted live tu kama majirani zetu Kenya...ili majaji kama wanapora haki ya mtu Umma ujue.
CCM hawawezi kukubali, kama walizuia Bunge live itakuwa mahakama?
 
Hapa sioni Dalili njema..
Ni kama Jaji hataki lawama hivi
 
Jaji muogope muumba wako.. !!
 
Mashahidi Wa utetezi wote ushahidi wao umetupiliwa mbali, mm naona mawakili wa utetezi wajitoe tu ktk hii case, Lissu aliona mbali Sana alipotoa ule ushaur
 
Mashahidi Wa utetezi wote ushahidi wao umetupiliwa mbali, mm naona mawakili wa serikali wajitoe tu ktk hii case, Lissu aliona mbali Sana alipotoa ule ushaur
Nasema niende mwisho mwa comment nione mjumbe aliyefanya summary naona umeongea utoponga mtupu
 
Huyu jaji mpya toka amefika, hajawahi rule against Oppressors. It's like hukumu anayo lkn anafata protocol tu.....

Ngoja tuone leo kama kwa Mara ya kwanza atafanya kitu tofauti.
Mbona tayari kesha toa hukumu, ameyatupilia mbali mapingamizi ila sasa anabanda kama ugali wa kinyamwezi.
 
Mashahidi Wa utetezi wote ushahidi wao umetupiliwa mbali, mm naona mawakili wa utetezi wajitoe tu ktk hii case, Lissu aliona mbali Sana alipotoa ule ushaur
pale cha msingi mawakili wote wajiote, Mbowe afungwe watakavyo yaishe !! Tanzania si ni yao CCM nani wa kubisha. ?
 
Wee mbona km unavuruga Thread hii asee,,
 
Mahakama ya TZ iko msalabani.
 
Mahakama ya TZ iko msalabani.
Hawa majaji wote, tuliambiwa toka mwanzo, hata akiondolewa huyu, akaja mwingine, wote waliopangwa kusikiliza kesi hii, kuanzia msajili wa mahakama mpaka jaji kiongozi, ni maafisa wa TISS waliokuwa wamepandikizwa na marehemu mahakamani. Kingai, afisa wa TISS anaandaa kesi inayoenda kusikilizwa na jaji afisa wa TISS. Mashtaka yanapangwa na hawa maafisa wa TISS wakiwa pamoja, mahakamani, wanatofautiana maeneo ya kukaa, lakini wote ni kundi moja.

Mahakama inatumika tu kama muhuri wa kuidhinisha dhamira mbaya ya Serikali.
 
Amani ya Nchi ni muhimu zaidi kuliko mwanasiasa yeyote yule.

Kamwe tusijaribu kuchezea au kufanya mchezo na Amani ya Nchi.

Mbowe sio MALAIKA.................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…