Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki haionekani kutendeka katika kesi hii. CHADEMA watumie busara kubwa kushughulikia hali hii. Shetani "is in action".Sure will be a nice move
Sabaya ni jambazi ! haihitaji hata kuwa na elimu ya sekondari kulijua hilo.Na mlivyoshangilia ujambazi wa Ole Sabaya wa kuiba elfu tisini ilikuwa sawa?
Chakubanga katubumbulusha kesi imeandaliwa kihuni,inaendeshwa kihuni na hukumu yake kwa vyovyote itakuwa ni ya kihuni!!Ndani ya CCM mambo si swari - Polepole amegoma kupiga magoti inje nvua lije jua. .. ana amesema wazi kwamba WAHUNI wamkome.
Ni kweli, Chakubanga kasema mambo mengi yanakwenda KIHUNI HUNI... ana pointi asikilizwe na ajibiwe kwa hoja na si kumvunjia duka...sorry dirisha.Chakubanga katubumbulusha kesi imeandaliwa kihuni,inaendeshwa kihuni na hukumu yake kwa vyovyote itakuwa ni ya kihuni!!
Na hapohapo kuna wengine wanafuliwa pale law schoolEimu ya sheria inazidi kusulubiwa na Majudge .wanaitundika kama mishikaki ya mbuzi !!
😃😀😀 Sio dirisha stoo!!Ni kweli, Chakubanga kasema mambo mengi yanakwenda KIHUNI HUNI... ana pointi asikilizwe na ajibiwe kwa hoja na si kumvunjia duka...sorry dirisha.
Abaki hapa mubambikie kesi. Kuna Mambo wapinzani wanayapitia acha tu. Lissu alimiminiwa risasi kwenye nchi yake halafu unataka Lema abaki kwenye nchi yenye watu wenye roho mbaya. Ndio maana mvua zimegoma kunyesha kwa roho mbaya zenu CCM.Lema anatoa huo ushauri wa kipumbavu akiwa amefichwa kwenye mbawa za mwanaume Canada
Anaogopa nini kurudi Tanzania
Unajua tunaweza kuongea kwa ushabiki na hisia tu! Ila watu wakumbuke Mbowe anamakandokando pia ya kuhusika na kifo cha Chacha Wangwe! Usimwamini mwanadamu huwezi kujua alivyo ndani yake! Mahakama waiache iwe huru kama kwa Sabaya!Mbowe Sio Malaika..........Sisi wafuasi wake hatujui mipango yake mingi ya siri aliyo kuwa anaipanga....... iwe mizuri au mibaya hakuna ajuaye zaidi ya yeye mwenyewe na wale alio kuwa anapanga nao.
tuache mahakama ifanye kazi yake
🤣🤣🤣🤣Ila lila na fila hazitangamani. Utafika wakati nyau atageuka simba.