Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

Justice hapa Tnanziania ni tatizo kubwa. Mifumo ya kutenda haki imejaa u-CCM, hii ni hatari sana.

Mbowe anashitakiwa na mifumo ya CCM inayotaka afungwe ili watawale kwa amani.
 
Na mlivyoshangilia ujambazi wa Ole Sabaya wa kuiba elfu tisini ilikuwa sawa?
Sabaya ni jambazi ! haihitaji hata kuwa na elimu ya sekondari kulijua hilo.

Kwani nani aliyefoji namba za gari za umoja wa mataifa kwenda kufanya ujambazi kwenye hoteli ya Mbowe?

Uzuri ni kuwa teknolojia haidanganyi kaumbuka mapema CCTV zikaacha footage yake asivyokua na akili! awamu ile CCM ilitumia akili ndogo maana ni rahisi kuwabulldozz na kuwapa maelekezo wanaenda kutekeleza bila kuhoji maana ni hisani ya vyeo ndio wanategemea kuishi
 
Mabadiliko ya maamuzi katika kesi hii yatatokana na mabadiliko ya kauli ya sikuile,bila yeye kubadilisha maana yake jamaa atafungwa ingawa kwa uonevu tu.Hivi Hakuna watu wa kushauri?
 
Ndani ya CCM mambo si swari - Polepole amegoma kupiga magoti inje nvua lije jua. .. ana amesema wazi kwamba WAHUNI wamkome.
Chakubanga katubumbulusha kesi imeandaliwa kihuni,inaendeshwa kihuni na hukumu yake kwa vyovyote itakuwa ni ya kihuni!!
 
Chakubanga katubumbulusha kesi imeandaliwa kihuni,inaendeshwa kihuni na hukumu yake kwa vyovyote itakuwa ni ya kihuni!!
Ni kweli, Chakubanga kasema mambo mengi yanakwenda KIHUNI HUNI... ana pointi asikilizwe na ajibiwe kwa hoja na si kumvunjia duka...sorry dirisha.
 
Huwa tunawaambia gaidi hana dini,
Ona sasa magaidi wlitaka kuangamiza inchi nzima
Hawa ni wa kuchinja kabisa japo anatetewa sana na wadini wake
 
Ninajua na Nina hakika Samia moja ya kitu anachojuta ni kumfunga mbowe kama gaidi.
 
Sasa nini maana ya huyu jaji kuchukua siku zote hizo eti anafanya review wakati kumbe kwake jibu ni rahisi sana wala hata hakuna alichofikiria.

Huyu jaji anataka aendelee tu kukaa kwenye five star hotel na kuendelea kuingiza shilingi laki tano kila siku kama posho bila justification yoyote. Bure kabisa.
 
Lema anatoa huo ushauri wa kipumbavu akiwa amefichwa kwenye mbawa za mwanaume Canada

Anaogopa nini kurudi Tanzania
Abaki hapa mubambikie kesi. Kuna Mambo wapinzani wanayapitia acha tu. Lissu alimiminiwa risasi kwenye nchi yake halafu unataka Lema abaki kwenye nchi yenye watu wenye roho mbaya. Ndio maana mvua zimegoma kunyesha kwa roho mbaya zenu CCM.
 
😁😁😁
AIgmal.jpg
 
Mbowe Sio Malaika..........Sisi wafuasi wake hatujui mipango yake mingi ya siri aliyo kuwa anaipanga....... iwe mizuri au mibaya hakuna ajuaye zaidi ya yeye mwenyewe na wale alio kuwa anapanga nao.
tuache mahakama ifanye kazi yake
Unajua tunaweza kuongea kwa ushabiki na hisia tu! Ila watu wakumbuke Mbowe anamakandokando pia ya kuhusika na kifo cha Chacha Wangwe! Usimwamini mwanadamu huwezi kujua alivyo ndani yake! Mahakama waiache iwe huru kama kwa Sabaya!
 
Kwa hiyo ndugu Jaji, unaapa kwa Muumba wako wa mbingu na nchi kwamba :-
1. Mashahidi hawakuteswa na kudhalilishwa utu wao.
2. Ukamataji ulifuata sheria za Jeshi la Police yaani GPO.
3. Maelezo yalichukkuliwa ndani ya muda wa kisheria
4. Meelezo yao waliandika kwa hiari yao wenyewe bila kutishwa wala kushurutiswa
5. Jumanne alikuwa Central na muda huo huo akawa O'bay police stations.

Sawa bwana JAJI - Hakimu wa misho hapa duniani ni mwenyezi MUNGU endelea kuketi kwenye kiti chako kuumiza wasio na hatia - kumbuka wote hao wana familia kama ya kwako, na hizo familia zao zinatoka machozi na katika ulimwengu wa kiroho yanakuwa juu yako wewe binafsi.

Mungu akubariki sana na akupe afya njema ili uendelee kuhukumu vizuri.
 
Back
Top Bottom