airGrid
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 961
- 772
Danganya wajinga KIRANGA mwenzie, haya, alifata nini kwa "BABU" yake?!!!!Jack sio maskini toka anazaliwa kazikuta pesa. Hujui background yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Danganya wajinga KIRANGA mwenzie, haya, alifata nini kwa "BABU" yake?!!!!Jack sio maskini toka anazaliwa kazikuta pesa. Hujui background yake.
Labda sasa akajaribu mahakama ya Afrika Mashariki. Ikishindikana, aende za Magharibi. Mambo yakinoa, aende za Afrika na hata The Hague kabisa!Hachoki?
Hahahah, mzee wa ku like tu.Dah mpaka raraa ree ameweka komenti basi jambo zito hili.
Youngest female billionaire in Tanzania ina raha zake!😅😅😅
Wachaga watamuua huyu Mwanamke yaani marehemu mali alianza kuitafuta hata yeye hajazaliwa leo anataka aje kuchukua kizembe??? Hapa ndio ninapowaonaga hawa Malaya ni Mbwa kabisa. Alikuwa analiwa na kina Mr Blue,Bushoke leo hii anataka aingie kwenye majarida ya Forbes???🤣🤣🤣
Wachaga watamuua aridhike tu kwanza kile kijamaa chake kihindi kilichokuwa kina tender la kusambaza rasta Tanzania nzima bado anaendelea nacho?Youngest female billionaire in Tanzania ina raha zake!
Ndugu wamemstahi sana Jacq, yani kwa heka heka za kifo cha Mengi, zilitumika busara sana, maana by then ilionekana kifo kilikuwa cha mchongo, Jacq alikuwa hotel moja hawala wake ambae inasemekana anaweza kuwa amehusika kwenye kifo cha Mengi na huo wosia feki.Jacqueline ni Mke halali wa Mengi na tayari alishakuwa na watoto ,, Lakini pia Mengi alikuwa na Mke mwingine ambaye tayari Alishakuwa na watoto wakubwa, hivo busara hapa itumike baina ya wanafamilia , Jacqueline kama Mke halali apewe stahiki zake na Mke mkubwa wa Mengi apewe stahiki zake , ndugu waache kuingilia maamuzi binafsi ya Mengi kumuoa Jacqueline vilevile Mke mkubwa (Angekuwepo Mengi yanayoendelea yangekuwepo namna hii?)
ndio maana waarabu na wahindi hawaoi nje ya makabila yao au ya familia za kooHuyu Binti bado anaonekana lengo lake halijatimia. Nawashauri kwaajili ya kuweka record sawa ninajua mna uwezo huo fanyeni uchunguzi wa kina juu ya sababu za kifo cha marehemu Reginald Mengi.
Inawezekana mnajua lakini basi siyo vibaya mkaifanya official report ili Kila mtanzania aelewe kilichotokea.
Lkn wahindi huwa wana tifu za urithi yaani hii ya Mengi ni cha mtotondio maana waarabu na wahindi hawaoi nje ya makabila yao au ya familia za koo