Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

😅😅😅
Wachaga watamuua huyu Mwanamke yaani marehemu mali alianza kuitafuta hata yeye hajazaliwa leo anataka aje kuchukua kizembe??? Hapa ndio ninapowaonaga hawa Malaya ni Mbwa kabisa. Alikuwa analiwa na kina Mr Blue,Bushoke leo hii anataka aingie kwenye majarida ya Forbes???🤣🤣🤣
 
Youngest female billionaire in Tanzania ina raha zake!
 
Jacqueline ni Mke halali wa Mengi na tayari alishakuwa na watoto ,, Lakini pia Mengi alikuwa na Mke mwingine ambaye tayari Alishakuwa na watoto wakubwa, hivo busara hapa itumike baina ya wanafamilia , Jacqueline kama Mke halali apewe stahiki zake na Mke mkubwa wa Mengi apewe stahiki zake , ndugu waache kuingilia maamuzi binafsi ya Mengi kumuoa Jacqueline vilevile Mke mkubwa (Angekuwepo Mengi yanayoendelea yangekuwepo namna hii?)
 
Ndugu wamemstahi sana Jacq, yani kwa heka heka za kifo cha Mengi, zilitumika busara sana, maana by then ilionekana kifo kilikuwa cha mchongo, Jacq alikuwa hotel moja hawala wake ambae inasemekana anaweza kuwa amehusika kwenye kifo cha Mengi na huo wosia feki.

Safari ya Dubai yenyewe ilikuwa forced kumbe mzee wa watu anaenda kufia huko kifo chenye utata. Isingekuwa serikali kuingilia kati hata msibani asingekanyaga.
 
Huyu Binti bado anaonekana lengo lake halijatimia. Nawashauri kwaajili ya kuweka record sawa ninajua mna uwezo huo fanyeni uchunguzi wa kina juu ya sababu za kifo cha marehemu Reginald Mengi.

Inawezekana mnajua lakini basi siyo vibaya mkaifanya official report ili Kila mtanzania aelewe kilichotokea.
 
ndio maana waarabu na wahindi hawaoi nje ya makabila yao au ya familia za koo
 
Mengi kazaliwa 1944, angekuwa hai angekuwa na miaka 80 Leo hii. Jacqueline Ntuyabaliwe kazaliwa 1978 kwasasa atafikisha miaka 46 December, swali:, Je, Mengi angekuwa hai at the age of 80 angeweza kuongozana na Jacqueline!?, Mengi aliyataka mwenyewe mbaya zaidi akaweka Kambi, wazee wenzake huwa wanagonga tu na kuwekeza kwa kiasi. Yeye alionjeshwa asali akachonga mzinga.., hivi unadhani Ntuyabaliwe ni fala kuacha ushahidi nyuma?,unadhani familia ya Mengi hawajajaribu wakachemka hadi wasome thread yako!?..,
 
Back
Top Bottom