Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

Kisumu kimeshawaka
 
CJ Martha Koome: Hatuwezi kuvuruga uchaguzi ambao wananchi wameshiriki bila vizuizi kwa sababu tu ya kutofautiana katika IEBC.
Your browser is not able to display this video.
 
Hongera sana Ruto, Mungu akiamua kukupa anakupa tu hata wapinge vipi
 
Laana huwa haifi hata siku moja. Miaka 78 ni mingi atulie nyumbani alee wajukuu huku akisubiri siku maalum ya kuitwa na Muumba kwa ajili ya safari ya milele.
 
Mahakama imempa Ruto urais hivyo hakuna tena rufaa kwa mamlaka za kibinadamu zilizopo.
 
Kwa akili ya utoto uliyo nayo unadhani;nashinda sebureni kuangalia tv na kuambiwa ugali tayari!.

Fungua akili utambue ...
Komaa na unayokomaa nayo utaangaloa hata baadaye kwenye habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…