Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

Tunaongelea urais mkuu macho na sio maisha binafsi. Miaka 78 kuingia ikulu ni hadithi ile ile ya Trump huwa haitokei mara nyingi maishani.
Wana haki kama ilivyo watu wengine mkuu. Miaka 78 kama mtu yuko vizuri kichwani na kiafya sidhani kama kuna tatizo. Mwenye miaka 50 anaweza kuwa rais mbaya kuliko mwenye miaka 78.
 
Mimi kama mkenya napongeza mahakama na IEBC, though I voted blue, system iliyo wekwa iko sawa, the blue supporters hawakujitokeza kwa wingi kupiga kura, pengine walidhani "deep state" itamsaidia Raila kupata ushindi, ila Uhuru did not interfere, aliacha mtu ashinde ama kushindwa kwa haki.., ila watanzania mtupongeze kwa kutengeneza a solid electoral system, hapa Ina maana mtu yeyote anaweza kuwania kiti chochote na kushinda ama kushindwa kihalali, hapa tumepiga hatua. Mimi kama team blue nakubali kushindwa, maisha yasonge mbele. Big up Kenya, we live to fight another day.
#TEAM-BLUE
#BABA-IS-A-HERO
#AZIMIO
#MAJIMBO-SYSTEM-IS-THE-BEST.
Kenya ilikuwa imepongezwa na nchi nyingi sio Tanzania tu jinsi uchaguzi na kuhesabu kura kulivyoenda kwa uwazi siku za mwanzo
Lakini baadae Raila na kundi lake wakazingua na kufanya vurugu mbele ya kamera za TV, kisha wale maofisa 4 wa IEBC kujitokeza na kusema uchaguzi haukuwa huru na wazi na kutoa hesabu za ajabu, ilitia doa sana mchakato mzima ambao ulipongezwa sana
 
Kisumu kuhusu Odinga n sekunde tuu huko walishasema Kama Rais sio Raila basi Ruto asikanyage Kisumu mana kitawaka sekunde tuu
Hawana uthubutu huo. Rais ni wa wakenya wote. Siyo wa Ujaluoni. Kabila mmoja haiwezi kudemand kiongozi wanayemtaka wao badala wananchi wote.
 
Back
Top Bottom