Kajilipa sio!?Huyo dada kakopa millioni 500,000,000 benki na bado akahamisha dollar 1.4 millioni kutoka akaunti ya kampuni. Bila kusahau wakati anaondoka nyumbani alipotea na dollar 750,000,000. Mbona pesa nyingi hivyo?. Ingekuwa mwingine angeondoka kimya kimya.
Sawa lkni kwa dunia ya sasa, there is a lack of submissive women and responsible men;ndoa zitoke wapi..Mwanaume anataka ndoa ili kupata watoto wa kurithi na kuendeleza mali zake, mke wa kumsaidia kusimamia watoto, familia na mwenza na msiri wa maisha. Wanawake wanataka sehemu ya matunzo na kulindwa, watoto na majukumu ya kifamilia ili wawe serious na maisha.
Balaa ni hapo sasa mzee.
Umenena mkuu. Mwanamme ukimfanyia vurugu na vitimbi anakata kamba. Mpe amani uone uzuri wa mwanammeMwanaume ni kama roho mtakatifu hivyo hupenda kukaa sehemu yenye amani.
Ukiona hivi ujue huyu mwanamke amevunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe...
Demu ana tamaa sana,imagine alimfungulia migahawa na bar almost kwenye shell zote za Puma ila demu akawa anapigwa miti kindezi.Kashindwa Mzungu wa hakimi. Ulaya kwenye sheria kali za kuwabeba wanawake. Sembuse huyo mbongo
Ukimjua Davis mosha vizuri huwezi shangaa kushinda hiyo kesi.
Ni ana akili nyingi kweli kweli.. huo utajiri wake tu kaupata kwa akili zake za kuusoma mtaa.
Mosha ni mfalme wa Magumashi
Kwani hao kina vicy na Jacky ni kina nani?KIsa hiki hakifanani na hivyo vingine. Huyu ni mke wake wa kwanza..
🤣🤣🤣🤣Jumanne Mwakitobe....kaka tuheshimiane usilitaje bure jina languJeff benzon , Bill Gate, aliko dangote, Sir isack Newton, Yesu, Elon mask wote hao wamekaa mbali kabisa na mambo ya ndoa.
Ila wewe jumanne mwakitobe wa huko Namtumbo , unaeshindia mihogo na kachumbari , unakaza fuvu na kufunga ndoa[emoji12]
Wanaume wanendelea kujanjaruka ni komesha kwa wanawake wenye tamaa, unatafuta mali kwa mda mrefu inafika mda anazingua ili mgawane mali akale bata na vijanaIlianza na Jackline, kisha Vicky, Na sasa Nancy duh
Kutunga uongo ni manyanyaso pia ukiacha na mengi tunayo yajua.
Nani ana mihemko kati yangu mimi na wewe? Kwamba kila hukumu inayoandikwa ipo sawa?
Watu maarufu, viongozi na wafanyakazi wa serikali , huingia kwenye migogoro ya ndoa kwa sababu huoa kwa nguvu ya hela, Madaraka na nafasi zao
Hubeba wanawake yanayoonekana wanangaa mjini, wengine unakuta Wana masela wenzao, lakini boss huingilia kati haraka haraka na kuoa.
Wanawake Wana sura nyingi, wanajipendekeza mwanzoni kukusoma madhaifu yako na wanahakikisha wameingia kwenye vianzo vyako vya uchumi.
Baada ya hapo timbili linaanza anakumbuka kule ulikomtolea
Mimi nimesoma hapo kwenye mwanamke kuiba Ma USD mengi na kukopa mkwanja bila jamaa kujua. Picha achana nayo.Picha ya mfanyabiashara na mkewe?
Sawa sawa..Nancy kuna vitu kavikuta ..Davis alijipanga kitambo sanaUtajiri wa davis mosha ni mkubwa sana.
Nazani wakati anafunga ndoa biashara zake alizitenganisha na ndoa yake.
Davis Mosha akili nyingi sana yule mwanayanga mzee wa lamborgin
Pia kampuni ya delina mosha ameimiliki kabla hajafunga ndoa.
Mosha ameanza biashara ya usafirishaji toka miaka ya 1980s mwishoni.
Pia mwanamke mwenyewe mwizi wa mali za mumewe.. ukisoma hukumu utaona wizi alioufanya
Unaaminije kama ni Uongo katunga?Unaamini vipi kama alichosema ni kweli.
Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.
Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.
Nancy ni mtu kutokea Singida nadhani kama sijakoseqKama huyo Demu wa kaskazini watasumbua sana ,mwanamke alikuwa kweny biashara zake kwa miaka kama 20 .
Ngoma bado mbichi ,mapema inaonekana mwanamke kaleta tamaa ...Ila jamaa akae la sivyo ajiandae .
Kwenye ubora wako...🙆Sawa sawa..Nancy kuna vitu kavikuta ..Davis alijipanga kitambo sana
Na ile Real Boys To Men mjini
Ni Davis Mosha , Ray Mashauri , Faroukh Banghoza na Albert Marwa