DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huyo dada kakopa millioni 500,000,000 benki na bado akahamisha dollar 1.4 millioni kutoka akaunti ya kampuni. Bila kusahau wakati anaondoka nyumbani alipotea na dollar 750,000,000. Mbona pesa nyingi hivyo?. Ingekuwa mwingine angeondoka kimya kimya.
Kajilipa sio!?

Halafu kasettle na mganga wa kienyeji
 
Watu maarufu, viongozi na wafanyakazi wa serikali , huingia kwenye migogoro ya ndoa kwa sababu huoa kwa nguvu ya hela, Madaraka na nafasi zao

Hubeba wanawake yanayoonekana wanangaa mjini, wengine unakuta Wana masela wenzao, lakini boss huingilia kati haraka haraka na kuoa.

Wanawake Wana sura nyingi, wanajipendekeza mwanzoni kukusoma madhaifu yako na wanahakikisha wameingia kwenye vianzo vyako vya uchumi.

Baada ya hapo timbili linaanza anakumbuka kule ulikomtolea
 
Mwanaume anataka ndoa ili kupata watoto wa kurithi na kuendeleza mali zake, mke wa kumsaidia kusimamia watoto, familia na mwenza na msiri wa maisha. Wanawake wanataka sehemu ya matunzo na kulindwa, watoto na majukumu ya kifamilia ili wawe serious na maisha.

Balaa ni hapo sasa mzee.
Sawa lkni kwa dunia ya sasa, there is a lack of submissive women and responsible men;ndoa zitoke wapi..
 
Jeff benzon , Bill Gate, aliko dangote, Sir isack Newton, Yesu, Elon mask wote hao wamekaa mbali kabisa na mambo ya ndoa.

Ila wewe jumanne mwakitobe wa huko Namtumbo , unaeshindia mihogo na kachumbari , unakaza fuvu na kufunga ndoa[emoji12]
 
Kashindwa Mzungu wa hakimi. Ulaya kwenye sheria kali za kuwabeba wanawake. Sembuse huyo mbongo

Ukimjua Davis mosha vizuri huwezi shangaa kushinda hiyo kesi.

Ni ana akili nyingi kweli kweli.. huo utajiri wake tu kaupata kwa akili zake za kuusoma mtaa.

Mosha ni mfalme wa Magumashi
Demu ana tamaa sana,imagine alimfungulia migahawa na bar almost kwenye shell zote za Puma ila demu akawa anapigwa miti kindezi.
 
Kwenye taraka hakuna mirathi ila participation cost (mgawanyo wa mali)

Nazan sehemu ambazo ni tata ni mahakaman , Niliwah kuw na mashaur kadhaaa asee ni changamoto sana kupata haki bila kutumia ela
 
Jeff benzon , Bill Gate, aliko dangote, Sir isack Newton, Yesu, Elon mask wote hao wamekaa mbali kabisa na mambo ya ndoa.

Ila wewe jumanne mwakitobe wa huko Namtumbo , unaeshindia mihogo na kachumbari , unakaza fuvu na kufunga ndoa[emoji12]
🤣🤣🤣🤣Jumanne Mwakitobe....kaka tuheshimiane usilitaje bure jina langu
 
Kutunga uongo ni manyanyaso pia ukiacha na mengi tunayo yajua.
Nani ana mihemko kati yangu mimi na wewe? Kwamba kila hukumu inayoandikwa ipo sawa?

Hukumu mbele ya jaji. Unasema haipo sawa
Watu maarufu, viongozi na wafanyakazi wa serikali , huingia kwenye migogoro ya ndoa kwa sababu huoa kwa nguvu ya hela, Madaraka na nafasi zao

Hubeba wanawake yanayoonekana wanangaa mjini, wengine unakuta Wana masela wenzao, lakini boss huingilia kati haraka haraka na kuoa.

Wanawake Wana sura nyingi, wanajipendekeza mwanzoni kukusoma madhaifu yako na wanahakikisha wameingia kwenye vianzo vyako vya uchumi.

Baada ya hapo timbili linaanza anakumbuka kule ulikomtolea

Je wanaume maskini hawapati shida na wake zao ?
 
Utajiri wa davis mosha ni mkubwa sana.

Nazani wakati anafunga ndoa biashara zake alizitenganisha na ndoa yake.

Davis Mosha akili nyingi sana yule mwanayanga mzee wa lamborgin

Pia kampuni ya delina mosha ameimiliki kabla hajafunga ndoa.

Mosha ameanza biashara ya usafirishaji toka miaka ya 1980s mwishoni.

Pia mwanamke mwenyewe mwizi wa mali za mumewe.. ukisoma hukumu utaona wizi alioufanya
Sawa sawa..Nancy kuna vitu kavikuta ..Davis alijipanga kitambo sana

Na ile Real Boys To Men mjini
Ni Davis Mosha , Ray Mashauri , Faroukh Banghoza na Albert Marwa
 
Back
Top Bottom