DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
Kabisa hapa Davis kamdhulumu Nancy ..mdada alikuwa yuko vzr sana kichwani ..Mangi kaleta U mangi wake hapa
 
Ata Serikalini ukiwa mtumishi wa Umma ukaja Vunja Sheria ya Ajira yako ata kama umefanya kazi miaka 100. Ulipwi kitu na Jela juu. Huyu mama angeweza ata kumuua Davis kotokana na uchu wa Mali.... Wanaume wengi wanauwawa na wenza wao kisa mali , Zipo case nyingi tu za Wanawake kufoji hati za Viwanja/Nyumba wangali katika Ndoa halali. Huyu mama anastaili alichopata. Ni mwizi na Muuwaji
 
Hiyo nzuri.
Hawa upande wa pili wakiziona mali wanaanza kutamani talaka ili wapewe chao mapema.
Huyo mwanamke ni wewe, umenyooshwa.
๐—ก๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ฐ๐—ผ๐—บ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐˜ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…,, ๐—ต๐˜‚๐˜†๐˜‚ ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฒ๐˜†๐—ฒ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐—ฎ, "๐—”๐—ก๐—ข๐—ก๐—ฌ๐— ๐—ข๐—จ๐—ฆ"-- ๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ฌ๐—˜๐—๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—”๐—ก๐—” ๐—น๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ผ ๐˜๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿค—
 
Hawa wapuuzi, Malaya , wasumbufu sana .
Kakutana na mchaga mwenye akili
 
Sasa SI ashachukua mgao wake?? Halafu mbona Mali zake alixopata akiwa na Davis hamgaii Davis. Wanawake tuavhe ujinga.. hao wanaume ni watoto wetu tumewaxaa.. Leo unadhulumu mtoto wa mtu kisa we mkewe halafu kesho hiyo laana inampata mwanao wa kiume.. anafanywa vibaya kuliko ulivyomfanya mtoto wa mtu.

Davis ukome, uliona wadada wa kichaga hawafai.. wakati mchaga angelinda Mali ya mumewe... Halafu bado hukomi unarukaruka na kile limalaya Huku chuga... Temana na kile lidemu.. tafuta demu wa kichaga mwenye maakilo yake... Kile na chenyewe ni stress ingine, usikape mamlaka.

HUJUI JINSI WACHAGA TUNAKUANGALIA NA WEWE NI NEMBO YETU.. UKIJICHANGANYA NA UKIPATA SHIDA TUNAUMIA SANA
 
Kama alichukua pesa zote hizo anahitaji mgawo wa nini? Pamoja na kuchukua mzigo wote huo unaweza Kuta sasa hivi Hana hata mia na pengine pesa yenyewe Kuna kiben ten kilikuwa kinahongwa.
 
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
wewe unajua mikataba walio wekeana kabla hajaanza hio kazi?
kama walikubaliana afanye kazi kama kibarua tu na analipwa mshahara mwisho wamwezi kama wafanyakazi wengine?

au unahisi huyo jamaa anaakili zamakamasi kama zako?kwamba unamuoa mke from no where unamwambia hii kampuni niyetu kuwa meneja hapa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃunahisi hakujua kua iposiku tunaweza kukorofishana na kama hakuna mikataba tutasumbuana?

eti apewe stahiki zake stahiki gani?alikuja nachupi atarudi nachupizake ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hawa wapuuzi, Malaya , wasumbufu sana .
Kakutana na mchaga mwenye akili
๐—›๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜๐˜‚ ๐Ÿ˜…
 
Unaamini vipi kama alichosema ni kweli.

Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.

Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.
Ulikuwepo wakati anayanayaswa, Uliushuhudia huo unyanyasaji?

Unapogeza mtu kuiba mali za familia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ