Na ubunge usahau kwenda kugombea mwaka 2025 huko KilimanjaroMfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.
Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.
Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.
Je hii ni sawa?
View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Wachaga hata Mengi walimshinda hawafai kabisa kweny mali.Sasa SI ashachukua mgao wake?? Halafu mbona Mali zake alixopata akiwa na Davis hamgaii Davis. Wanawake tuavhe ujinga.. hao wanaume ni watoto wetu tumewaxaa.. Leo unadhulumu mtoto wa mtu kisa we mkewe halafu kesho hiyo laana inampata mwanao wa kiume.. anafanywa vibaya kuliko ulivyomfanya mtoto wa mtu.
Davis ukome, uliona wadada wa kichaga hawafai.. wakati mchaga angelinda Mali ya mumewe... Halafu bado hukomi unarukaruka na kile limalaya Huku chuga... Temana na kile lidemu.. tafuta demu wa kichaga mwenye maakilo yake... Kile na chenyewe ni stress ingine, usikape mamlaka.
HUJUI JINSI WACHAGA TUNAKUANGALIA NA WEWE NI NEMBO YETU.. UKIJICHANGANYA NA UKIPATA SHIDA TUNAUMIA SANA
Bora kajinasua mapema.𝗛𝗮𝗸𝗶𝗸𝗮 𝗮𝗽𝗮𝗺𝗯𝗮𝗻𝗲 𝗻𝗮 𝗵𝗮𝗹𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗲 𝘁𝘂 😅
Wana watoto watatu, mvulana akifuatiwa na mabinti wawiliWeee ni mtu wa karibu na mkewe Davis, walizaa?
Kuna jamaa nawafahamu mmoja miaka 35, mwingine ndio alitia fora miaka 50 ya ndoa na ikavunjikaMaghayo ndio maana hataki kuoa kwao.
Where are we heading? Kwa nn ndoa zimekuwa hivi ?
Miaka 28 ,hii kama ile ya Mengi ni hatari sana ...Kule Dangote kavunja ndoa zote 4 mpaka kaacha kuoa bora atulie afanye biashara zake.
Kataa ndoa kwa harakaharaka mwanamke alikua mwizi, malaya, muuaji na mshirikina kama mahakama imeona hivyo na mama kashindwa kujitetea Mungu amsaidie kwenye safari yake mpyaMfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.
Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.
Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.
Je hii ni sawa?
View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Itakua Kishumundu mkuu 😂😂😂😂😂Achraf Hakimi ni mchagga wa wapi??
𝗡𝗮 𝗵𝗮𝘁𝘂𝗺𝘂𝗮𝗰𝗵𝗶 𝗵𝗶𝘃𝗶 𝗵𝗶𝘇𝗼 𝗽𝗲𝘀𝗮 𝗮𝗹𝗶𝘇𝗼𝗶𝗯𝗮 𝗹𝗮𝘇𝗶𝗺𝗮 𝗮𝗹𝗶𝗽𝗲 😃😄Bora kajinasua mapema.
Bila shaka alitaka kumtoa roho Jamaa kasanuka.
Ndio maana sitaki kuhusika kabisa kwenye biashara na mwenza. Labda aniajiri tuHalafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.
Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Leo tule mandi ya mbuzi,ila Leo uje uswahilini kwetu mitaa ya Lumumba ubadilishe mazingira😄😄Hahahahahaha...utanipitia huku ubena ? Ahsante kwa lunch..leo ni biriani au mandi ?
Hahahahaha. Mangi anazeeka na u master wake ...kanifurahisha sana MangiMwamba kakataa ndoa [emoji1]
Ova
Hahahahahaha...lumumba mitaa yangu hiyo nikiwa Town..Leo tule mandi ya mbuzi,ila Leo uje uswahilini kwetu mitaa ya Lumumba ubadilishe mazingira😄😄
Basi,case closed...Hahahahahaha...lumumba mitaa yangu hiyo nikiwa Town..
Hahahahahaha...Basi,case closed...
Ana tamaa kali halafu akili kidogo ndio shidaAngekuwa na akili angeweka account pembeni awe ana deposit hela kidogo kidogo kila mwezi.
Sijui kwann wanawake wakiona hela wanachanganyikiwa wanakuwa wendawazimu. Tazama hata Kylin wa mengi, ameona hela nyingi baada atulize akili anajikuta yeye Kim Kardashian anataka kuishi maisha ya kujiachia anasahau background yake.
haahahahasafi sana, kamuwahi kabla hajawahiwa, pumbav kabisa huyo Nansi, janamke jizi