DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.

Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.

Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.

Je hii ni sawa?

View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Na ubunge usahau kwenda kugombea mwaka 2025 huko Kilimanjaro
 
Sasa SI ashachukua mgao wake?? Halafu mbona Mali zake alixopata akiwa na Davis hamgaii Davis. Wanawake tuavhe ujinga.. hao wanaume ni watoto wetu tumewaxaa.. Leo unadhulumu mtoto wa mtu kisa we mkewe halafu kesho hiyo laana inampata mwanao wa kiume.. anafanywa vibaya kuliko ulivyomfanya mtoto wa mtu.

Davis ukome, uliona wadada wa kichaga hawafai.. wakati mchaga angelinda Mali ya mumewe... Halafu bado hukomi unarukaruka na kile limalaya Huku chuga... Temana na kile lidemu.. tafuta demu wa kichaga mwenye maakilo yake... Kile na chenyewe ni stress ingine, usikape mamlaka.

HUJUI JINSI WACHAGA TUNAKUANGALIA NA WEWE NI NEMBO YETU.. UKIJICHANGANYA NA UKIPATA SHIDA TUNAUMIA SANA
Wachaga hata Mengi walimshinda hawafai kabisa kweny mali.
 
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.

Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.

Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.

Je hii ni sawa?

View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Kataa ndoa kwa harakaharaka mwanamke alikua mwizi, malaya, muuaji na mshirikina kama mahakama imeona hivyo na mama kashindwa kujitetea Mungu amsaidie kwenye safari yake mpya
 
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Ndio maana sitaki kuhusika kabisa kwenye biashara na mwenza. Labda aniajiri tu
 
Angekuwa na akili angeweka account pembeni awe ana deposit hela kidogo kidogo kila mwezi.

Sijui kwann wanawake wakiona hela wanachanganyikiwa wanakuwa wendawazimu. Tazama hata Kylin wa mengi, ameona hela nyingi baada atulize akili anajikuta yeye Kim Kardashian anataka kuishi maisha ya kujiachia anasahau background yake.
Ana tamaa kali halafu akili kidogo ndio shida

Angetulia tu maana mwisho wa siku mali zote hua ni za mwanamke na watoto regardless

Yaani kaiba kijinga sana na evidence zipo ndio maana kashindwa cha kujibu
 
Back
Top Bottom