DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nyuma ya Davis Mosha kuna Msoga gang... huyo mazeri hawezi fanya kitu kwasababu kwenye mali za Mosha kuna wazito na mafia zaidi ya Mosha.
 
USD 750 million?
 

Mnaweza kuishi pamoja lakini msichume pamoja.
Wasomi wote wanajua hilo.
Watu ambao hawakufanikiwa kusoma na hawana maarifa ndio huwaza kwa namna yako
 
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.

Alishiriki kama nani?
Mfanyakazi au mmiliki?
Kampuni haitambui neno mke au mume. Inatambua Bodi ya wakurugenzi na wafanyakazi.
Sasa alishiriki kwa namna ipi?

Hapo mahakamani ndio anatakiwa apeleke vielelezo
 

Kweli kabisa ukisoma hukumu nzima unapata picha nzima.

Huu ukurasa wa 15 wa hukumu hapa chini umevutia macho yangu kusoma kwa makini pamoja ya kusoma kurasa zote za hukumu:


 
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Nifah umeisoma hiyo hukumu?

WENGI wanaomlaumu Hakimu au huyu Mosha naona hawajaisoma hiyo hukumu kwa kutulia.
Iko very clear. Inaonekana mama alishachukua mgao wake siku nyingi.
 
Nimeipenda hiyo. Kama kila mmoja wetu angefikiria unavyofikiria kusingekuwa na shida hizi
 

Akili zake ?? Naskia shanfazi ake mama ana Nkapa shekhe
 
Wanawake wakishakaa miaka mingi Kama hiyo kwenye ndoa,huwa hawaoni umuhimu wa mume/ndoa,ubinafsi hutawala nyoyo zao,huu ni ugonjwa mpya kwa wanawake wa tz,ndoa za watu wazima nazo Zina shida kweli siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…