Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
MrangiHuyu mdada hatokei Masama au jirani na hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MrangiHuyu mdada hatokei Masama au jirani na hapo?
Wanawake wa kirangi ni zero brainMrangi
🤣🤣🤣Hahaaaaa, acha kututisha wewe japo nimecheka sana hilo Jina la Jumanne Mwakitobe. Sisi wanyaki hakuna mtu anayeitwa Jumanne Mwakitobe.
Nyuma ya Davis Mosha kuna Msoga gang... huyo mazeri hawezi fanya kitu kwasababu kwenye mali za Mosha kuna wazito na mafia zaidi ya Mosha.Kashindwa Mzungu wa hakimi. Ulaya kwenye sheria kali za kuwabeba wanawake. Sembuse huyo mbongo
Ukimjua Davis mosha vizuri huwezi shangaa kushinda hiyo kesi.
Ni ana akili nyingi kweli kweli.. huo utajiri wake tu kaupata kwa akili zake za kuusoma mtaa.
Mosha ni mfalme wa Magumashi
USD 750 million?Hivi hizi grounds mnatokaga nazo wapi sijui jina la mama sijui la baba sijui watu wengine.
Mali za mtu mahakamani ndioz hutajwa. Hmna chizi anafungua kesi kudai mali zisizomuhusu, wala mahakamani hakuna kesi inayohusu mali zisizokua zimeorodheshwa kwa majina ya pande zote mbili.
Ukifika mahakamani mali zinatajwa zile zinazohusu tu. Hivo ukiona mtu kashinda au hajagawa mali ww unazozifahamu basi ujue hizo mali hazihusishi zote unazojua. Pili, huyo mwana mama. Inawezekana kuna makosa yamemkosesha mali, inawezekana, hakuwepo wakati wa kuchuma mali on subject, inawezekana davis ana grounds zakutoweza kugawa mali zake. Na grounds hizo zipo hapo.hana mali yoyote kwa jina lake. Maali nyingi ni za kampuni, ni ngamia tu wapo chini yake tena kama private property, mali nyingi alizichuma kabla ya ndoa, na mwanamama huyo kabeba kitita cha kutosha zaidi ya usd milioni 750, Pia aliwekeza mali kivyake mwanamama huyo na davis hakuwa na haja ya kuzifatilia.
Dada kayakanyaga kukubali Kuhusu mitomingi, yaani grounds zote davis hatakiwi kumpa mali huyo dada. Sasa muache oooh kaandika majina mama. Hamna mali ya mama yako itakuja mahakamni kama kielezo ni mali yako.
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.
Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
mnakurupuka kuchangia bila kusoma hiyo hukumu between the lines, kwanza demu ndio aliandika kuwa anataka kusepa na kwamba amechoka, pili kwakuwa alikuwa analiwa na mganga wa kienyeji akaona huyo ndio wa maana zaidi kuliko mumewe baada ya kuona kachemka akataka kurudisha majeshi kumbe too late, kimsingi hizi ndoa za wenye hela kuna matatizo makubwa sana, na kwakweli sijui wanawake huwa wanatakaga nini mpaka sasa sijawaelewa kabisaaaa.
Nifah umeisoma hiyo hukumu?Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.
Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Nimeipenda hiyo. Kama kila mmoja wetu angefikiria unavyofikiria kusingekuwa na shida hiziThis is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Kashindwa Mzungu wa hakimi. Ulaya kwenye sheria kali za kuwabeba wanawake. Sembuse huyo mbongo
Ukimjua Davis mosha vizuri huwezi shangaa kushinda hiyo kesi.
Ni ana akili nyingi kweli kweli.. huo utajiri wake tu kaupata kwa akili zake za kuusoma mtaa.
Mosha ni mfalme wa Magumashi
N huwa si ingine kabondewa tu huku ye yuko busy na mabiashara yake.Ukiona mwanamume anaamua kumwacha mke ujue kuna sababu ya msingi.
Wanawake wakishakaa miaka mingi Kama hiyo kwenye ndoa,huwa hawaoni umuhimu wa mume/ndoa,ubinafsi hutawala nyoyo zao,huu ni ugonjwa mpya kwa wanawake wa tz,ndoa za watu wazima nazo Zina shida kweli siku hiziThis is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Kubondewa hiyo ya masikini,matajiri huwa ni hujuma na timing za talaka mugawane maliN huwa si ingine kabondewa tu huku ye yuko busy na mabiashara yake.