DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama huyo Demu wa kaskazini watasumbua sana ,mwanamke alikuwa kweny biashara zake kwa miaka kama 20 .

Ngoma bado mbichi ,mapema inaonekana mwanamke kaleta tamaa ...Ila jamaa akae la sivyo ajiandae .
wanawake siku hizi wamekuwa wezi,,ukiwa na hali ya kawaida,anakuvizia umejaza furnicher ndani anabeba na kusepa,mkiwa na kabiashara labda kijiduka,anabeba vi2 vyandani anakusanya na vyadukani then nduki!! ukiwa tajiri ndo litakukuta jambo kama bilionea msuya!!!!...................sitski ata kuwasikia ingawa ni mama zangu na nina mabinti wawili lakini sina hamua nao kabisa!!
 
Yaani ulitaka apewe Urithi kwani Mosha ni baba yake , Au Mosha amefariki?

Kama alikuwa Mhasibu kwa miaka 20 maana yake si amelipwa mshahara wa miska 20 sio?

Kama kuna mali walichuma wote , aonyeshe hati ya mali husika yenye majina yao wote wawili.
 
Aisee kweli usilolijua usiku wa giza!kabla sijaoa kila nikiwaona davis mosha na mkewe pale mbezi beach kkkt nikawa nawatamania maisha yao!dah kumbe ndani kulikua kunafukuta!ndo maana mwamba siku hizi yupo rafu rafu, na anakuja church mwenyewe!aisee ndoa hizi wanaume tunavumilia mengi sana!
 
Mosha na Lemutuz ni vidume haswa..Lebebez alikua mshauri wa Mosha alimshauri ukiamua kuachana na Mwanamke ukijiridhisha na makosa yake usije kurudi nyuma hata kidogo..Sema wamekula bata sana aisee nikikumbuka unawaona na ile Lamboghin yao ujue mwenye Bar atatajirika siku iyo..

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Sasa pesa zote hizo , jumla ni zaidi ya Bilioni 6 kaiba, kapeleka wapi? Au bado zipo?, kwamza ashtakiwe mwizi huyo arudishe pesa!
 
Umeshaambiwa hajashiriki kuchuma, alikuwa mfanyakazi anaeliowq mshahara na stahiki zote kwa kipindi chote. Kaiba karibu bilioni 6 akiwa kazini. Nini huelewi, legeza bichwa hilo..
 
Maghayo ndio maana hataki kuoa kwao.

Where are we heading? Kwa nn ndoa zimekuwa hivi ?

Miaka 28 ,hii kama ile ya Mengi ni hatari sana ...Kule Dangote kavunja ndoa zote 4 mpaka kaacha kuoa bora atulie afanye biashara zake.
ila dangote kazaa watoto na wanawake wote wanne, jamaa kaacha pisi kali wengine nao wajilie tani yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…