Dunia nzima inamtetea mwanamke, mwanaume hana mtetezi kabisaHapa Sasa mtawaskia watetezi wa haki za binadamu, TGNP na yale mafeministi wakipaza sauti ila ingekua ni mwamba amepigwa technical knock out huwezi skia chochote
Mwendakuzimu alikuwa mshamba sanaMwendazake Jiwe kabla ya mauti kumkuta alitoa AMRI hukumu zote ziwe kwa lugha ya kiswahili, inakua kuaje hawa bado wanatumia lugha ya MALKIA?
UvivuGugo
Moja ya dhaifu lililomshinda mwamba ni kutaka kuuliwa na mkeweThis is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Hatari ya mdangaji kumupdate awe mke, kuna wake wapo kwenye ndoa still bado wanadanga. Hela zote hizo basi afungue hata kampuni unaweza kukuta hata alicho kifanya hakionekani.Nimeshangaa hapo, tena kwa muda wote aliokua anaiba pesa ktk kampuni, si angesepaa kimya kimya tyuuh.
Kumteteq inazidi hukumu ya mahakama?Hapa JF mchagga hakosei Mkuu tegemea post zooote kumtetea Mosha! Over
Nenda kasikilize rufaa na umpe ushindi huyo demuMosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
Mwanamke alikuwa mwizi tu Hana lake, pale aliiba anagawia wanamme, vibenten amehonga sanaKwani si alikuwa analipwa mshahara? Au alikuwa mwanahisa wa hizo kampuni?
Sheria inataka aonyeshe mchango wake ni upi katika kuchuma hizo mali, mchango wake ni upi sasa?Licha ya kulipwa alikuwa ni mke, kulipwa ni haki yake kupata huduma kama mke pia alikuwa anapata ..
Kwa sheria za Tz ana haki kama mke ,sehemu ya mali za mumewe kipind chote cha ndoa zinahesabika kama wamechuka wote
Mwanamke alikuwa mwizi, mauaji aisee alitaka toa mtu asiye na hatia, msaada wa watu wengi aisee Huyo mwanamke laana itamtafunaAsiyemjua huyu mwanamke Shetani vizuri ndio anaweza kumtetea Lakini kinyume na hapo huyu ni jini kabisa alitaka kumuondoa Duniani mtu asiye na Hatia kabisa! Huyu mwanamke ni Ibilisi
Agiza Balimi Kaka ntalipa mimi..wakupe baridiiiii..Haya manamake majizi ni mengi sanaa..Wanaume tuunganee haya majitu yana ushetani na sisi tudai haki...imetoshaaaNimeona huu mjadala wa Kesi ya Davis Mosha na Mke wake lakini naweza Nami changia kwa kifupi:-Ni Hivi Huyo mwanamke Nancy alipogundua moja Pesa nyingii alizoiba Kwenye kampuni alikuwa anagawia Waumme zake hasa Mtabibu Mitimingi ili ajengee Gorofa na mbaya zaidi alimuajili Huyo Mpenzi wake Kwenye moja ya Taasisi ya Davis pale Mbezi Afrikana, Hiyo mwanamke alimfanya Mtabibu Huyo kuwa controller wa kila kitu bila kampuni kujua, masuala ya Supermarket NK Lakini pia kuanza kuzicontrol kampuni kiganga, Huku Mkurugenzi akiwa nje ya nchi au popote kusaka fursa za kampuni na kampuni mpya.
Lakini Mbaya zaidi Huyo mwanamke alitaka kuua Mtoto wa Mkurugenzi kimya kimya kwa kumtumia mfanyakazi wa ndani huko arusha akisaidiana na Dada mmoja ambaye Kesi yake iliiendeshwa Nairobi Kenya na kufungwa, Sasa Nancy Baada ya kushtukiwa meseji zile Baada ya Mfanyakazi wa nyumbani huko Arusha kukosea meseji badala ya kumtumia Nancy kuwa Zoezi la kumuua Mtoto litafanyika Usiku akamtumia Mama wa Mtoto.
Ile Meseji ya mauaji ilipokosea njia Nancy akaamua kukimbia kwake kwa Aibu ya Watoto wake na kutamba Mitandaoni kuwa amenunua Apartment Masaki hababaishwi.
Baadaye watu wakamshika masikio, Kesi Kesi Mara Kesi kaamua kwa Hiari yake afute Kesi alipogundua mabilioni ya Mafuta ya kampuni aliyoiba PUMA, CARMEL NK,
Sasa Leo Tena Naona andiko hili kuwa amezulumiwa kwa Hiyo mwanamke akiolewa na mtu Mwenye Pesa Basi mme wake pesa ikizidi anakimbia Halafu anadai Mali kweli?
Basi Matajiri wako mbioni kutooa kama Dangote, Kumbe wanawake Ni staili, Kama Ya Hakimi aiseee.
Pia nimeshangaa Nancy kuweka ili andishi Huku la hukumu Wakati aliitoa Kesi mwenyewe inasikitisha sana, Naona anguko la wanawake kuolewa na Matajiri kabisa,
utafanya wadogo zangu wasiolewe. watoe wameru hapo.Wanawake wa sikuhizi ni wauwaji na wamekuwa chanzo cha vifo kwa wanaume.Hapo kilichofanyika ni sahihi,wanawake wa kaskazini ni kaa la moto mda wowote anaweza kukumaliza ili arithi mali.Iwe fundisho na wanaume tuweni makini sana na hawa viumbe kwani mstari unaotenganisha upendo na chuki kwenye ndoa ni mdogo sana wengi wanaishi kinafaki.
Nadhani Familia inajua kila kitu ndio maana wamempiga yule mdangaji nyundo za kufa mtu kule mahakamani. Sasahivi kwenda Dubai ni mara moja kwa mwaka, ni basi tu wale watoto bado ni wadogo wameshindwa kuwachukua. Benjamin ni mafia kweli kweliFamilia ya Reginald Mengi ifanye private investigation ya kifo chake Dubai.
Sasa kashachukua stahiki yake kwa njia ambayo sio halali, tena hapo mahakama imemuonea huruma sana😂😂😂Sawa kaiba ila alikuwa na ngao ya kuwa kama mke ndio tatizo ,kama ingekuwa mtu baki sio rahisi uchote zote hizo .