DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.

Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Moja ya dhaifu lililomshinda mwamba ni kutaka kuuliwa na mkewe
 
Licha ya kulipwa alikuwa ni mke, kulipwa ni haki yake kupata huduma kama mke pia alikuwa anapata ..

Kwa sheria za Tz ana haki kama mke ,sehemu ya mali za mumewe kipind chote cha ndoa zinahesabika kama wamechuka wote
Sheria inataka aonyeshe mchango wake ni upi katika kuchuma hizo mali, mchango wake ni upi sasa?
 
Wanawake wa sikuhizi ni wauwaji na wamekuwa chanzo cha vifo kwa wanaume.Hapo kilichofanyika ni sahihi,wanawake wa kaskazini ni kaa la moto mda wowote anaweza kukumaliza ili arithi mali.Iwe fundisho na wanaume tuweni makini sana na hawa viumbe kwani mstari unaotenganisha upendo na chuki kwenye ndoa ni mdogo sana wengi wanaishi kinafaki.
 
Nimeona huu mjadala wa Kesi ya Davis Mosha na Mke wake lakini naweza Nami changia kwa kifupi:-Ni Hivi Huyo mwanamke Nancy alipogundua moja Pesa nyingii alizoiba Kwenye kampuni alikuwa anagawia Waumme zake hasa Mtabibu Mitimingi ili ajengee Gorofa na mbaya zaidi alimuajili Huyo Mpenzi wake Kwenye moja ya Taasisi ya Davis pale Mbezi Afrikana, Hiyo mwanamke alimfanya Mtabibu Huyo kuwa controller wa kila kitu bila kampuni kujua, masuala ya Supermarket NK Lakini pia kuanza kuzicontrol kampuni kiganga, Huku Mkurugenzi akiwa nje ya nchi au popote kusaka fursa za kampuni na kampuni mpya.

Lakini Mbaya zaidi Huyo mwanamke alitaka kuua Mtoto wa Mkurugenzi kimya kimya kwa kumtumia mfanyakazi wa ndani huko arusha akisaidiana na Dada mmoja ambaye Kesi yake iliiendeshwa Nairobi Kenya na kufungwa, Sasa Nancy Baada ya kushtukiwa meseji zile Baada ya Mfanyakazi wa nyumbani huko Arusha kukosea meseji badala ya kumtumia Nancy kuwa Zoezi la kumuua Mtoto litafanyika Usiku akamtumia Mama wa Mtoto.
Ile Meseji ya mauaji ilipokosea njia Nancy akaamua kukimbia kwake kwa Aibu ya Watoto wake na kutamba Mitandaoni kuwa amenunua Apartment Masaki hababaishwi.

Baadaye watu wakamshika masikio, Kesi Kesi Mara Kesi kaamua kwa Hiari yake afute Kesi alipogundua mabilioni ya Mafuta ya kampuni aliyoiba PUMA, CARMEL NK,

Sasa Leo Tena Naona andiko hili kuwa amezulumiwa kwa Hiyo mwanamke akiolewa na mtu Mwenye Pesa Basi mme wake pesa ikizidi anakimbia Halafu anadai Mali kweli?
Basi Matajiri wako mbioni kutooa kama Dangote, Kumbe wanawake Ni staili, Kama Ya Hakimi aiseee.

Pia nimeshangaa Nancy kuweka ili andishi Huku la hukumu Wakati aliitoa Kesi mwenyewe inasikitisha sana, Naona anguko la wanawake kuolewa na Matajiri kabisa,
Agiza Balimi Kaka ntalipa mimi..wakupe baridiiiii..Haya manamake majizi ni mengi sanaa..Wanaume tuunganee haya majitu yana ushetani na sisi tudai haki...imetoshaaa
 
Wanawake wa sikuhizi ni wauwaji na wamekuwa chanzo cha vifo kwa wanaume.Hapo kilichofanyika ni sahihi,wanawake wa kaskazini ni kaa la moto mda wowote anaweza kukumaliza ili arithi mali.Iwe fundisho na wanaume tuweni makini sana na hawa viumbe kwani mstari unaotenganisha upendo na chuki kwenye ndoa ni mdogo sana wengi wanaishi kinafaki.
utafanya wadogo zangu wasiolewe. watoe wameru hapo.
 
Familia ya Reginald Mengi ifanye private investigation ya kifo chake Dubai.
Nadhani Familia inajua kila kitu ndio maana wamempiga yule mdangaji nyundo za kufa mtu kule mahakamani. Sasahivi kwenda Dubai ni mara moja kwa mwaka, ni basi tu wale watoto bado ni wadogo wameshindwa kuwachukua. Benjamin ni mafia kweli kweli
 
Back
Top Bottom