Atentekumpo
Member
- Feb 23, 2024
- 26
- 68
wewe unasema kuua tu Achana na kuua yani huyu mke wake alikuwa Taka Taka mbwa alikuwa mchafu hafaiBiblia imeshaonya kabisa muishi na sisi kwa akili,sasa mnashangaa nini.Nani asiyependa pesa?Bora alivyojichukulia vyake mapema hapo nampa hongera.Ila kwenye kujaribu kuua siungani na
Aliona wanaweza kumuuaMaghayo ndio maana hataki kuoa kwao.
Where are we heading? Kwa nn ndoa zimekuwa hivi ?
Miaka 28 ,hii kama ile ya Mengi ni hatari sana ...Kule Dangote kavunja ndoa zote 4 mpaka kaacha kuoa bora atulie afanye biashara zake.
Kesi kama hizi hazina haziishi kirahisi , kutokana na hukumu inaonekama mwanamke ndio kaanza kumpeleka jamaa mahakamaniUnashindana na Jaji na ushahidi uliotolewa?
Case closed, uzi ufungwe.Nyuma ya Davis Mosha kuna Msoga gang... huyo mazeri hawezi fanya kitu kwasababu kwenye mali za Mosha kuna wazito na mafia zaidi ya Mosha.
Uko sahihi kwenye sheli ya Davis ya kibaha alikuwa amefungua mgahawa na ndo alikuwa anausimamia Nancy,pamoja na supermarket,Ila alikuwa anauza vyakula bei ghali hataree.Demu ana tamaa sana,imagine alimfungulia migahawa na bar almost kwenye shell zote za Puma ila demu akawa anapigwa miti kindezi.
Kina kataa ndoa na nyie mna mali kama za huyo mosha au ndio ili mradi tu?
Hakuna cha ndoa ndoano Hapana Ila kwa msiomjua Jamani huyu dada ni Malaya wa kupitiliza na Sisi wafanyakazi wake ndio tunamjua yani huyu mwanamke alikuwa na Bwana mganga wa Kienyeji Kwa Zaidi Ya miaka mitano na Ákampa mpaka Maduka kuendesha akamnunulia Magari yani huyu mganga ndio alikuwa na uwezo wa kufukuza mfanyakazi kama hamtaki na ilikuwa ikifika kipindi cha Ramadhani huyu mganga alikuwa anapelekewa mpaka futari yani kwenye moja ya ofisi za mme wake ambazo huyo Nancy Alimpa mganga Afanyie Biashara Bure na Ákampa mganga na Mtaji wa Mpesa na tigo Pesa na hadi Wakala bank zilikuwa zinasoma kampuni yeye akabadilisha Jina Ákampa mganga wake yani huyu a Nancy kamtesa sana huyu Baba Jamani ni vile tu wanaume huwa Hawaongei simu Ila Kateseka mno na haikuishia hapo mapenzi yakanoga mnooo yeye na mganga wake wa Kienyeji Wakapanga Wamuue baba wa watu Ila msamaria mwema akaenda Kusema Ila Mume wake hakumuuliza chochote Ila yeye alivyoshetani alivyojua vimesanuka ndio akaikimbia Nyumba na kwenda kuishi Adola guest na mganga wake huko Goba mbeziNdoa ndoano
🤣🤣Unamjua Ray mashauri mzee wa regency hotel?kweli we mutoto ya mujini.Sawa sawa..Nancy kuna vitu kavikuta ..Davis alijipanga kitambo sana
Na ile Real Boys To Men mjini
Ni Davis Mosha , Ray Mashauri , Faroukh Banghoza na Albert Marwa
Davis alikuwa bwege kwa huyu Nancy Hadi watu wakawa wanasema kalogwaHakuna cha ndoa ndoano Hapana Ila kwa msiomjua Jamani huyu dada ni Malaya wa kupitiliza na Sisi wafanyakazi wake ndio tunamjua yani huyu mwanamke alikuwa na Bwana mganga wa Kienyeji Kwa Zaidi Ya miaka mitano na Ákampa mpaka Maduka kuendesha akamnunulia Magari yani huyu mganga ndio alikuwa na uwezo wa kufukuza mfanyakazi kama hamtaki na ilikuwa ikifika kipindi cha Ramadhani huyu mganga alikuwa anapelekewa mpaka futari yani kwenye moja ya ofisi za mme wake ambazo huyo Nancy Alimpa mganga Afanyie Biashara Bure na Ákampa mganga na Mtaji wa Mpesa na tigo Pesa na hadi Wakala bank zilikuwa zinasoma kampuni yeye akabadilisha Jina Ákampa mganga wake yani huyu a Nancy kamtesa sana huyu Baba Jamani ni vile tu wanaume huwa Hawaongei simu Ila Kateseka mno na haikuishia hapo mapenzi yakanoga mnooo yeye na mganga wake wa Kienyeji Wakapanga Wamuue baba wa watu Ila msamaria mwema akaenda Kusema Ila Mume wake hakumuuliza chochote Ila yeye alivyoshetani alivyojua vimesanuka ndio akaikimbia Nyumba na kwenda kuishi Adola guest na mganga wake huko Goba mbezi
Duh [emoji87]Hakuna cha ndoa ndoano Hapana Ila kwa msiomjua Jamani huyu dada ni Malaya wa kupitiliza na Sisi wafanyakazi wake ndio tunamjua yani huyu mwanamke alikuwa na Bwana mganga wa Kienyeji Kwa Zaidi Ya miaka mitano na Ákampa mpaka Maduka kuendesha akamnunulia Magari yani huyu mganga ndio alikuwa na uwezo wa kufukuza mfanyakazi kama hamtaki na ilikuwa ikifika kipindi cha Ramadhani huyu mganga alikuwa anapelekewa mpaka futari yani kwenye moja ya ofisi za mme wake ambazo huyo Nancy Alimpa mganga Afanyie Biashara Bure na Ákampa mganga na Mtaji wa Mpesa na tigo Pesa na hadi Wakala bank zilikuwa zinasoma kampuni yeye akabadilisha Jina Ákampa mganga wake yani huyu a Nancy kamtesa sana huyu Baba Jamani ni vile tu wanaume huwa Hawaongei simu Ila Kateseka mno na haikuishia hapo mapenzi yakanoga mnooo yeye na mganga wake wa Kienyeji Wakapanga Wamuue baba wa watu Ila msamaria mwema akaenda Kusema Ila Mume wake hakumuuliza chochote Ila yeye alivyoshetani alivyojua vimesanuka ndio akaikimbia Nyumba na kwenda kuishi Adola guest na mganga wake huko Goba mbezi
Akili za Nancy na mganga zilikuwa kumuua Davis ili warithi Mali Ila Mungu akamuokoa mbaba wa watu!Uko sahihi kwenye sheli ya Davis ya kibaha alikuwa amefungua mgahawa na ndo alikuwa anausimamia Nancy,pamoja na supermarket,Ila alikuwa anauza vyakula bei ghali hataree.
Kama sio kila kitu nenda London ongea kikwenu. PumbavFikira zako ni za kitumwa sana na hujitambui kabisa unafikiri lugha ya kiingereza ndio kila kitu!
Umepata picha ya ya wahusika??? Mimi natafuta na namba ya Davis ukiipata nirushie kuleIla wewe😁!Leo nakupitia twendezetu lunch
Ila mimi nikishasemaga, kunipeleka kanisani kufunga ndoa itabidi itumike Caterpilla kunivuta niende 😂😂, mimi hata watoto wangu wakiume nawaambiaga hivyo hivyo, hakuna kusaini mkataba kanisani, never.., 🤣Agiza Balimi Kaka ntalipa mimi..wakupe baridiiiii..Haya manamake majizi ni mengi sanaa..Wanaume tuunganee haya majitu yana ushetani na sisi tudai haki...imetoshaaa
🤣🤣🤣🤣🤣Unawamuwahi mtalaka au?nimepata namba yake Leo,ila uniambie unaitaka ya Nini usije ikawa unataka kumtekaUmepata picha ya ya wahusika??? Mimi natafuta na namba ya Davis ukiipata nirushie kule
Duh... haya mambo mazito