DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Lazima alisaidiwa na hawara kufanya hivyo.
 
Anayo magari anazo nyumba zipo kwa jina la mdogo wa mke anaitwa Steven yupo Kigamboni
 
Ujanja kapewa na Jamaa anaitwa Athuman kufakunoga huyo ndiyo mchepuko wa huyo mwanamke kwa sasa
 
Wanaomtetea Mosha wanajidanganya sana ...Baada ya ndoa mali akichumq hata kama mke angekuwa mama wa nyumbani mali zinamuhusu
 
Mtu yeyote anayetumia maneno "nitty gritty" katika hukumu anatia wasiwasi. Na kwani huyo mama alikuwa anajiita Davis Mosha mpaka Hakimu aone kuna umuhimu wa kumzuia kulitumia?

Amandla...
Dah!

Unajua nilidhani ni mimi tu niliyesoma hiyo hukumu na kuona dosari flani flani katika lugha iliyotumiwa lakini nikaamua kupita kimya kimya tu maana sikudhani kungekuwepo na watu ambao wangenielewa.

Wewe kuliona hilo kumenipa faraja kiasi flani.

Mwandishi wa hiyo hukumu, sijui kama ni hakimu au jaji, uandishi wake unaleta maswali!

Nilipoisoma hiyo hukumu nikavaa kofia yangu ya ualimu wa legal writing [mimi siyo mwalimu, ni mbeba maboksi tu] nikajisemea ingekuwa ni darasani, huyo hakimu ningempa D au C-.

Uandishi gani huo!!!
 
Huyu Jaji Msafiri ni mla rushwa mkubwa, Ukiwa na kesi anakwambia kesi yako namaliza miezi mitatu nipe milioni 6. Yaaani nimesoma tu nikasema hapa kuna shida sana. Msafiri hafai
Sasa hafai kwa lipi Yaani Jaji ulitaka apendelee kisa Ni maanamke, wanawake tunajidhalilisha Sana, Yaani Nancy alikiri kukimbia Nyumba yake mwenyewe, na Meseji za kutaka kuua zipo, Lakini Ushahidi wa wizi wa mabilioni upo na ndo Maana Nancy yeye kwa maandishi yake Instagram na Akaunti yake real na fake alikiri kuwa Mfanyabiashara Huyo Kwenye kampuni ana Madeni mengi, alibeza kampuni aliyokuwa anajua Siri zoote na ndo Maana mwanzoni alikubali Talaka na akaachana na kesi kwa Sababu alisema Kuna Madeni.
Leo Wewe unayetumia jina letu pendwa unasema HAKIMU mla rushwa Kweli, Wewe ndiye hakimu unaongozwa kwa Ushahidi na Ushahidi wa wizi, umalaya, uchawi, ushirikina, nk vyoote vilipelekwa mbele ya hakimu na hukumu ikatoka Sasa Rushwa hapo Ni nini? Au Nancy hajakupanga?

Au zile Bilion alizoiba bado zipo, alimjengea Nyumba Mpenzi wake Mtabibu Mitimingi, na uliishuhidia ilizinduliwa, ili waue Ushahidi haraka haraka alizindua Kiongozi Mkubwa wa jeshi la Polisi na Mtabibu akaoa haraka haraka, Lakini Ndugu Kafara za Afrikana Kwenye petrol Station ya Mfanyabiashara Huyo ukuziona Tembelea Akaunti ya @NigelBaby Instagram utaelewa mengi Mpaka sauti za Mipango ya kuua, wizi, na Ujinga.
 
Na ungana na wewe kabisa kabisa umesema kweli..Davis Mtu sana
 
Huyu @NigelBaby ni nani naona anatomboka kweli kweli
 
Huyu Jaji Msafiri ni mla rushwa mkubwa, Ukiwa na kesi anakwambia kesi yako namaliza miezi mitatu nipe milioni 6. Yaaani nimesoma tu nikasema hapa kuna shida sana. Msafiri hafai
Ni tu Huyo Nancy na washirika wake ambao Ni mashoga kina Husein, Wamemtukana huyo Mfanyabiashara matusi yote mnayoyajua, waliunda Akaunti real na fake kumtukana Lakini jamani kanyamaza.

Nancy na wahirika wake Walitukana yoote Mara ndugu zake Huyo Mfanyabiashara hasa Dada yake eti kafa na ukimwi Yaani Nancy alitukana kila Kona aliyesema alikuwa wifi take Kipenzi, Mara Nancy hakuishia hapi kasema ohhh Huyo Mfanyabiashara Kaua kaka yake ili apate Mali Tena akaiita Ni Mali za kafara Makampuni ya kafara.

Nancy akatangazia Dunia kuwa Mfanyabiashara huyo Alikuwa jambazi, kutwa nzima Instagram zaidi ya Mwaka anatukana anatukana Sasa alipoona Instagram wamedharau, yoote aitoshi Nancy kakimbilia jamii forum, Baba wa watu kanyamaza kimya, Hakuna siku ameongea machafu Kuhusu Nancy, lakini sisi chawa wake Huyo Mfanyabiashara Kipenzi Cha watu, Msaada wa yatima na wajane tunamjibu Nancy na tutaendelea kumjibu Nancy elewa hakuna huruma kwenye mtandao.

Nancy atachafuka kuliko anavyojiona, Mwanamke Ana majina 7 Kila sehemu, Mara Habiba, Nasra, Nancy, Hakuna mwanamke mwenye akili timamu aingie kwenye mtandao leo anaenda kudhalilisha mpka watoto wake, Mjiulize kwanini huyu Nancy yeye anataka Mali tu Hana Muda Hata na watoto wake, yeye Ni maliiiii aendelee kula bata na vibenten vyake, Swali hivi akipewa ataenda Wapi, anataka Mali ampe Nani?
 
Hapo Sasa linamjia WAZO la kumroga
 
Yupo na Othuman ndiyo anamfundisha mwanamke usumbufu wote
Huyo Nancy ni tapeli kwanza hajawahi kuwa muhasibu miaka 20, Mfanyabiashara huyo alimpa biashara yake ubungo ya beurauDechange, Nancy Akapata mwanaume mkongo wakafilisi duka loote mnakumbuka jamani au mmesahau, Akapelekwa headquarter ndiyo akawa anaiba kwa kwenda mbele na wafanyakazi wanajua akatolewa toka 2017.
Akapewa maduka ya delina Supermarket yaliyokuwa kwenye vituo vya Mafuta, Akawa halipi kodi, PUMA wakamfukuza na mpaka leo anadaiwa Milioni 70 ya kodi, Mtaji wote kachukua Mitimingi ambaye ni Mpenzi wake ni mganga amekuwa naye zaidi ya miaka 5 na staff wote wanajua sio siri na hata mama yake Nancy anajua ndugu zake Nancy wanajua.

Na Ndio mipango ya kuua ikaanza na mtoto wao mkubwa anajua mipango ilivyokuwa Hao Mama yake Nancy, Mitimingi walimuonyesha Mtoto mkubwa kuwa baba yake Ana mtoto nje Mali zitachukuliwa, walivyo matahira wakamwambia Mtoto wa kwanza wa kiume Ni bora baba yako afe tubaki na Mali, wafanyakazi wanajua Sana Kila kitu, Mtoto wa kiume aliwadharau Kuanzia Siku Hiyo.

Hata jinsi aliiba na kuagiza pombe south Africa na alikuwa amemtumia dereva anaitwa Nico na pombe hiyo alikuja kuzulumiwa na ATU wa tegeta, alikuwa akipeleka Kwenye magodown walipokuwa wakishare Bwana, Huyo Nancy ni mbwa, Hatujui kama amemuacha Mangi salama alikuwa mchafu kuliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…