Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
The whole judgement is replete with a mass of superfluous details!Ukiisoma hukumu kwa utulivu unapata picha ya mwanamke anaemsuta mwanamke mwenzie huku kaweka mikono kiunoni, hasa pale “the court is not her mother”…. Nime imagine kabana pua kabisa!
Kinachodaiwa ni share za mume katika kampuni hata kama mke sio shareholder. Hata kama ana bonds zote zinapigiwa hesabu na mke anapewa haki yake. Mume anaweza kummegea share zake kama walivyofanya wakina Bill Gates.K
Kudai mali za kampuni ni kipengele, unless uwe share holder.
Kibaya Zaidi huyu mwanamke Alimsaliti Mume wake na akaondoka nyumbani mwenyewe akaenda kukaa guest Goba na mganga wake sasa baada ajishushe yeye anakaza ndio Nini sasa unajua kwa Nyie wanaume mkizingua hiyo tunaelewa ni kawaida na huwa wanawake wanaliaaaaa weee baadae wanasamehe Ila mwanamke alikuwa anapewa kila kitu kila Gari mpya inayotoka Mwanaume ananunua Halafu Eti Leo anaenda Kuhonga hela na kumpa mganga ofisi Bure Ya Mume wake pale Africana kweli? Aisee Hapana Nancy umezidi na kutaka kuua juuu hivi una Pepo?Nimejifunza kuna wanawake wanapenda shida. Ukiwapa raha kupitiliza ni matatizo wanasahau walipotoka. Aisee Mosha alivumilia mengi sana. Huyu Mwanamke hajajiharibia yeye tu kajiharibia hadi kwa watoto wake. Wanasema majuto ni mjukuuu atakuja kujua alipoharibu baadae sana. Maana najua mpaka sasa anaamini akienda kudai mgawanyo wa mali ili atamkomoa mumewe. Haya mambo nimeyaona kwenye familia nyingi za wenye hela. Ushauri wangu mapenzi hayalazimishwi. Ukiona mmeshindwana bora muachane. Na pia kwa wanawake mlio katika ndoa: Ni vigumu sana kupata mwanaume anaeweza kukuhudumia na wa kuishi nae bila shida ndogo ndogo kwa karne hii. Kwa hio ukiolewa tulia na jishushe. Mwanaume anaemtesa mke wake anaejishusha ni yule ambaye mke wake amemzidi kila kitu. (mwanaume mwenye inferiority complex)
Hiyo divorceThe whole judgement is replete with a mass of superfluous details!
“After having realized that their love is immense, they decided to surprise the universe”
Really? Surprise the universe, how?
Very unprofessionally written!!!
waambie hao wanasahau Kuwa kampuni zinakuwa na shareholders Kwahiyo Leo mimi nikiwa na share na kampuni Fulani Kwahiyo nikigombana na shareholder mwenzangu naenda kudai Mali sio Ingekuwa hivi si Ingekuwa raha sana Jamani huyu dada Nancy ni Kahaba akili hana yeye aendelee na ufuska huko asimchoshe baba wa watuYupo na Othuman ndiyo anamfundisha mwanamke usumbufu wote
Atentekumpo Mwanamke akiwa hana akili, automatically anakuwa hana shukrani kwa chochote umtendeacho. Baadhi tumeyapitia haya.Davis hata hayupo rafu zile Nywele ni style aliyoamua kuiweka! Sema tu Davis ana Moyo sana maana aliishi na Jini ndani yani Yule mwanamke amesomeshwa na Davis yeye na ndugu zake wote Halafu Leo analeta habari za kutaka Mali hapa Mali zipi sasa! Wewe mtu alikutwa kibaha huko na ndala akasomeshwa mpaka chuo ifm Halafu Leo analeta ujinga hapa huyu Baba wa watu kavumilia Mengi Jamani ni hamjui tu
Mama umepaniki kumbeNi ugonjwa wa AKILI Kwa mwanaume kuingilia mambo yasiyo muhusu..Kuna mkanganyiko wa hormones....tafuta msaada wa daktari ASAP
Kuushangaza ulimwengu ndio Pamoja na hiyo Divorce mtu akiwa maarufu na kama nyuma ndoa ilikuwa Ya Upendo Basi hilo neno linatumika tu na Hakuna Shida yoyote ile na ndio kama hivi sasa Dunia inavyoshangaa mwanamke alionekana mstaarabu tu Kumbe mshenziHiyo divorce
waambie hao wanasahau Kuwa kampuni zinakuwa na shareholders Kwahiyo Leo mimi nikiwa na share na kampuni Fulani Kwahiyo nikigombana na shareholder mwenzangu naenda kudai Mali sio Ingekuwa hivi si Ingekuwa raha sana Jamani huyu dada Nancy ni Kahaba akili hana yeye aendelee na ufuska huko asimchoshe baba wa watu
Tena Kiingereza chenyewe cha Mahaakama, sio kile cha Chona of ChilonwaYaani tuanze kusoma maviingereza yote hayo kwa watu wasiotuhusu na ambao wanatuhumiana juu ya zinaa, kutokuaminiana n.k
Acha wamalizane wanavyojuana...
Hiki ni kipengele mkuu hasa kwa bongo hii. Unaweza ukakanyaga mahakamani hata miaka 10, mambo mengine bora ukae tu kimya kuliko kujiongezea stress.Kinachodaiwa ni share za mume katika kampuni hata kama mke sio shareholder. Hata kama ana bonds zote zinapigiwa hesabu na mke anapewa haki yake. Mume anaweza kummegea share zake kama walivyofanya wakina Bill Gates.
Amandla...
Ether…..😀Mama umepaniki kumbe
Woiii
Mnaweka kitu online hapa wanadamu wote tuone tutoe maoni yetu,tunatoa maoni mavi mnaanza eti "usiiingilie mambo yasiyokuhusu"....msingeweka online to begin with
Kingine acha kupaniki basi,these are online discussions,emotions za nini?
Need a dick?Come get some
Yani ametaka kumuuua Mume wake na amekuwa na mahusiano na Mwanaume Zaidi Ya miaka mitano tena mganga wa Kienyeji na ni nje ya ndoa yake Ákampa na mtaji na ofisi za Mume wake Bure na line za Banking ambazo mpaka leo NMB wameshindwa kutoa nyingine kwa sababu walishatupa ila huyo mwanamke alimpa mganga Halafu Leo unatetea hapa Eti apewe Mali zipi sasa kwanza Mali zipi yani Kimtu kimesaidiwa yeye na Familia yake yote Lakini bado tu, nakwambiaje Mimi ningekuwa ni huyo Davis simpi hata Shillingi Mia moja yani maana Mali zote amezikuta!Kinachodaiwa ni share za mume katika kampuni hata kama mke sio shareholder. Hata kama ana bonds zote zinapigiwa hesabu na mke anapewa haki yake. Mume anaweza kummegea share zake kama walivyofanya wakina Bill Gates.
Amandla...
Umeongea point ukiwa kwenye ndoa na mume anatimiza majukumu komaa na ndoa yako. Hata kama mume ana hawara kumbuka wewe ndo Mrs na unatambulika. Hakuna kitu kubaya katika maisha kama kupoteza focus.Kibaya Zaidi huyu mwanamke Alimsaliti Mume wake na akaondoka nyumbani mwenyewe akaenda kukaa guest Goba na mganga wake sasa baada ajishushe yeye anakaza ndio Nini sasa unajua kwa Nyie wanaume mkizingua hiyo tunaelewa ni kawaida na huwa wanawake wanaliaaaaa weee baadae wanasamehe Ila mwanamke alikuwa anapewa kila kitu kila Gari mpya inayotoka Mwanaume ananunua Halafu Eti Leo anaenda Kuhonga hela na kumpa mganga ofisi Bure Ya Mume wake pale Africana kweli? Aisee Hapana Nancy umezidi na kutaka kuua juuu hivi una Pepo?
Mheshimiwa Hakimu ameandika hivi:The whole judgement is replete with a mass of superfluous details!
“After having realized that their love is immense, they decided to surprise the universe”
Really? Surprise the universe, how?
Very unprofessionally written!!!
🤣🤣Mheshimiwa Hakimu ameandika hivi:
" The NITTY GRITTY of the matter before me is SOMEHOW not hard to comprehensive. It all started when the petitioner and the respondent GOT ACQUAINTED TO EACH OTHER AFTER A LONG CHASE TRYING TO WIN THE OTHER'S HEART....they decided to surprised the UNIVERSE ....after comprehending that their affection did match and exceeded ONE ANOTHER TO THE HIGHEST DEGREE. The ANGEL OF BLESSING was on their side and bestowed UNTO them THEIR 3 cute children ( amewataja majina). The devil BEING DISGUISED with his CROCODILE smile couldn't let go of their marriage to DOOM by planting weeds in their BLOOM LOVE. He made the decision to hit them with a storm of life threatening ....." Hizi ni paragraph za mwanzo. Total gibberish.
Amandla...
Inategemea. Wanaume wengine wajinga sana wakishachuma na mwanamke wa mwanzo wanawapa TalakaUkiona mwanamume anaamua kumwacha mke ujue kuna sababu ya msingi.
Kuna dada mmoja naye baada ya kuona wamejenga vigorofa vi 2 akaanza tibwili la talaka. Wakatengana vyumba na mumewe , akawa analeta boy wake mpaka hapo home , watoto wanamuita mjomba. Alikuwa anadai apewe ghorofa moja. Amekanyaga mahakamani na kuloga balaa, lakini wapi. Sasa hivi hata huyo boy wake kamuacha anazurura tu, duka la nguo lmekufa sababu ya kutumia pesa kwenye kesi na kuloga.Atentekumpo Mwanamke akiwa hana akili, automatically anakuwa hana shukrani kwa chochote umtendeacho. Baadhi tumeyapitia haya.
Kifuatacho huwa ni karma kwahuyo mwanamke, kote huwa anapoteza na anakukumbuka asubuhi, mchana, usiku.
Watu wanamtetea Huyu Davis Mosha ambaye anasomesha mtoto wa Demu wake uturuki binti anaitwa Vanney na anatambaaa na anampenda kuliko watoto wake wa kuzaaa, limbukeni wa Pesa huyu mwanaume anafahamika jaji hukumu yake ni ya mihemko.Inategemea. Wanaume wengine wajinga sana wakishachuma na mwanamke wa mwanzo wanawapa Talaka
Mtume anasemaje kwenye hili? Tusitoe talaka kwa tuliochuma nao?Inategemea. Wanaume wengine wajinga sana wakishachuma na mwanamke wa mwanzo wanawapa Talaka