DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ukiisoma hukumu kwa utulivu unapata picha ya mwanamke anaemsuta mwanamke mwenzie huku kaweka mikono kiunoni, hasa pale “the court is not her mother”…. Nime imagine kabana pua kabisa!
The whole judgement is replete with a mass of superfluous details!

“After having realized that their love is immense, they decided to surprise the universe”

Really? Surprise the universe, how?

Very unprofessionally written!!!
 
Nimejifunza kuna wanawake wanapenda shida. Ukiwapa raha kupitiliza ni matatizo wanasahau walipotoka. Aisee Mosha alivumilia mengi sana. Huyu Mwanamke hajajiharibia yeye tu kajiharibia hadi kwa watoto wake. Wanasema majuto ni mjukuuu atakuja kujua alipoharibu baadae sana. Maana najua mpaka sasa anaamini akienda kudai mgawanyo wa mali ili atamkomoa mumewe. Haya mambo nimeyaona kwenye familia nyingi za wenye hela. Ushauri wangu mapenzi hayalazimishwi. Ukiona mmeshindwana bora muachane. Na pia kwa wanawake mlio katika ndoa: Ni vigumu sana kupata mwanaume anaeweza kukuhudumia na wa kuishi nae bila shida ndogo ndogo kwa karne hii. Kwa hio ukiolewa tulia na jishushe. Mwanaume anaemtesa mke wake anaejishusha ni yule ambaye mke wake amemzidi kila kitu. (mwanaume mwenye inferiority complex)
Kibaya Zaidi huyu mwanamke Alimsaliti Mume wake na akaondoka nyumbani mwenyewe akaenda kukaa guest Goba na mganga wake sasa baada ajishushe yeye anakaza ndio Nini sasa unajua kwa Nyie wanaume mkizingua hiyo tunaelewa ni kawaida na huwa wanawake wanaliaaaaa weee baadae wanasamehe Ila mwanamke alikuwa anapewa kila kitu kila Gari mpya inayotoka Mwanaume ananunua Halafu Eti Leo anaenda Kuhonga hela na kumpa mganga ofisi Bure Ya Mume wake pale Africana kweli? Aisee Hapana Nancy umezidi na kutaka kuua juuu hivi una Pepo?
 
The whole judgement is replete with a mass of superfluous details!

“After having realized that their love is immense, they decided to surprise the universe”

Really? Surprise the universe, how?

Very unprofessionally written!!!
Hiyo divorce
Yupo na Othuman ndiyo anamfundisha mwanamke usumbufu wote
waambie hao wanasahau Kuwa kampuni zinakuwa na shareholders Kwahiyo Leo mimi nikiwa na share na kampuni Fulani Kwahiyo nikigombana na shareholder mwenzangu naenda kudai Mali sio Ingekuwa hivi si Ingekuwa raha sana Jamani huyu dada Nancy ni Kahaba akili hana yeye aendelee na ufuska huko asimchoshe baba wa watu
 
Davis hata hayupo rafu zile Nywele ni style aliyoamua kuiweka! Sema tu Davis ana Moyo sana maana aliishi na Jini ndani yani Yule mwanamke amesomeshwa na Davis yeye na ndugu zake wote Halafu Leo analeta habari za kutaka Mali hapa Mali zipi sasa! Wewe mtu alikutwa kibaha huko na ndala akasomeshwa mpaka chuo ifm Halafu Leo analeta ujinga hapa huyu Baba wa watu kavumilia Mengi Jamani ni hamjui tu
Atentekumpo Mwanamke akiwa hana akili, automatically anakuwa hana shukrani kwa chochote umtendeacho. Baadhi tumeyapitia haya.

Kifuatacho huwa ni karma kwahuyo mwanamke, kote huwa anapoteza na anakukumbuka asubuhi, mchana, usiku.
 
Ni ugonjwa wa AKILI Kwa mwanaume kuingilia mambo yasiyo muhusu..Kuna mkanganyiko wa hormones....tafuta msaada wa daktari ASAP
Mama umepaniki kumbe

Woiii

Mnaweka kitu online hapa wanadamu wote tuone tutoe maoni yetu,tunatoa maoni mavi mnaanza eti "usiiingilie mambo yasiyokuhusu"....msingeweka online to begin with

Kingine acha kupaniki basi,these are online discussions,emotions za nini?

Need a dick?Come get some
 
Naulizia Shida yake Nancy Ni Mali tu au Kuna kingine? Jamani wanaume mjifunze, Wanawake shida Yao kwenye ndoa ni Mali sio upendo ndio maana vitabu vya Mungu vimeandika tuishi nao kwa akili hawafai, Ona Nancy anavyodhalilisha watoto wake ndugu zake, Ni muongo mpka hata asili yake Anadanganya eti msingida sio msingida huyo ni mndengereko wa rufiji, Sio msingida.

Amekwenda kuungana na lawyer tapel Diana Matundanye Wametengeneza fake documents mmesikia Wapi 9 Dec sikukuuu ya uhuru mahakama zipo wazi eti ndio wame file appeal, Msicheze na sheria na haki halafu mnaponda mahakama kwa utapeli wenu, Judgment ipo mmeweka aliyeondoa case ni yeye Mwenyewe.

Leo Nancy uje kutukana mahakama kwenye mtandao hivi hiyo ni haki, unatafuta huruma kwenye kuponda mhimili wa mahakama yenye kutoa haki, Jamani someni hiyo judgment muone Wapi hakimu kamnyima haki Nancy, Mlitaka hakimu afanye nini kwa yeye kutoa case yake na lawyer wake alikuwepo pale mahakamani.
Nancy waambie wanaokushikia sikio Ukweli, hey BibiTiti na Fundi Mchundo??
 
Hiyo divorce

waambie hao wanasahau Kuwa kampuni zinakuwa na shareholders Kwahiyo Leo mimi nikiwa na share na kampuni Fulani Kwahiyo nikigombana na shareholder mwenzangu naenda kudai Mali sio Ingekuwa hivi si Ingekuwa raha sana Jamani huyu dada Nancy ni Kahaba akili hana yeye aendelee na ufuska huko asimchoshe baba wa watu
Kuushangaza ulimwengu ndio Pamoja na hiyo Divorce mtu akiwa maarufu na kama nyuma ndoa ilikuwa Ya Upendo Basi hilo neno linatumika tu na Hakuna Shida yoyote ile na ndio kama hivi sasa Dunia inavyoshangaa mwanamke alionekana mstaarabu tu Kumbe mshenzi
 
Kinachodaiwa ni share za mume katika kampuni hata kama mke sio shareholder. Hata kama ana bonds zote zinapigiwa hesabu na mke anapewa haki yake. Mume anaweza kummegea share zake kama walivyofanya wakina Bill Gates.

Amandla...
Hiki ni kipengele mkuu hasa kwa bongo hii. Unaweza ukakanyaga mahakamani hata miaka 10, mambo mengine bora ukae tu kimya kuliko kujiongezea stress.
 
Mama umepaniki kumbe

Woiii

Mnaweka kitu online hapa wanadamu wote tuone tutoe maoni yetu,tunatoa maoni mavi mnaanza eti "usiiingilie mambo yasiyokuhusu"....msingeweka online to begin with

Kingine acha kupaniki basi,these are online discussions,emotions za nini?

Need a dick?Come get some
Ether…..😀
 
Kinachodaiwa ni share za mume katika kampuni hata kama mke sio shareholder. Hata kama ana bonds zote zinapigiwa hesabu na mke anapewa haki yake. Mume anaweza kummegea share zake kama walivyofanya wakina Bill Gates.

Amandla...
Yani ametaka kumuuua Mume wake na amekuwa na mahusiano na Mwanaume Zaidi Ya miaka mitano tena mganga wa Kienyeji na ni nje ya ndoa yake Ákampa na mtaji na ofisi za Mume wake Bure na line za Banking ambazo mpaka leo NMB wameshindwa kutoa nyingine kwa sababu walishatupa ila huyo mwanamke alimpa mganga Halafu Leo unatetea hapa Eti apewe Mali zipi sasa kwanza Mali zipi yani Kimtu kimesaidiwa yeye na Familia yake yote Lakini bado tu, nakwambiaje Mimi ningekuwa ni huyo Davis simpi hata Shillingi Mia moja yani maana Mali zote amezikuta!
 
Miaka mingi kwenye ndoa Nancy na wapambe wako sio sababu ya kupewa Mali,
Huyu mwanamke Nancy mjinga ndoa yake ni Miaka 23 tu, muongo Sana eti miaka 28 atuonyeshe cheti kwenye case tunaona ni Miaka 23, Huyu mwizi alikuwa msimamizi wa baadhi ya maeneo, Hana uwezo wa muhasibu na akiwa Nafasi hiyo ndio aliiba, alipewa huo Kama mgao.

Nafasi miaka 2 tu na alikuwa analipwa mshahara hakufanya Bure na pia sio sababu ya kupewa Mali, Kwa hiyo wahasibu wa makampuni makubwa wapewe Mali? Au kila mfanyakazi katika kampuni apewe Mali, Mambo ya kampuni sio mambo ya mke, Mnaongea ujinga mjifunze, Pia kampuni Zina madeni sio Mali ya ndoa msikurupuke eti miaka 28 Bila Mali?Duuuu!!! Nauliza leo huyo Davis angekuwa fundi viatu wameachana angetaka Mali?!??.

Jamani hizi Mali matajiri wengi wanakufa kwa sumu wanawake ni wauaji Sana, Nancy Roho imemtoka kisa Mali Sasa nauliza Mali zipi anataka, Za kafara au za kampuni? Au za Madeni? Haki yake ipo mahakamani sio jamii forum, Kwanini Nancy anatukana watoa haki mahakama na bado anataka haki? Upumbavu Sana.

Miaka mingi kwenye ndoa sio sababu ya kupewa Mali.
 
Kibaya Zaidi huyu mwanamke Alimsaliti Mume wake na akaondoka nyumbani mwenyewe akaenda kukaa guest Goba na mganga wake sasa baada ajishushe yeye anakaza ndio Nini sasa unajua kwa Nyie wanaume mkizingua hiyo tunaelewa ni kawaida na huwa wanawake wanaliaaaaa weee baadae wanasamehe Ila mwanamke alikuwa anapewa kila kitu kila Gari mpya inayotoka Mwanaume ananunua Halafu Eti Leo anaenda Kuhonga hela na kumpa mganga ofisi Bure Ya Mume wake pale Africana kweli? Aisee Hapana Nancy umezidi na kutaka kuua juuu hivi una Pepo?
Umeongea point ukiwa kwenye ndoa na mume anatimiza majukumu komaa na ndoa yako. Hata kama mume ana hawara kumbuka wewe ndo Mrs na unatambulika. Hakuna kitu kubaya katika maisha kama kupoteza focus.
 
The whole judgement is replete with a mass of superfluous details!

“After having realized that their love is immense, they decided to surprise the universe”

Really? Surprise the universe, how?

Very unprofessionally written!!!
Mheshimiwa Hakimu ameandika hivi:
" The NITTY GRITTY of the matter before me is SOMEHOW not hard to comprehensive. It all started when the petitioner and the respondent GOT ACQUAINTED TO EACH OTHER AFTER A LONG CHASE TRYING TO WIN THE OTHER'S HEART....they decided to surprised the UNIVERSE ....after comprehending that their affection did match and exceeded ONE ANOTHER TO THE HIGHEST DEGREE. The ANGEL OF BLESSING was on their side and bestowed UNTO them THEIR 3 cute children ( amewataja majina). The devil BEING DISGUISED with his CROCODILE smile couldn't let go of their marriage to DOOM by planting weeds in their BLOOM LOVE. He made the decision to hit them with a storm of life threatening ....." Hizi ni paragraph za mwanzo. Total gibberish.

🤣🤣
 
Atentekumpo Mwanamke akiwa hana akili, automatically anakuwa hana shukrani kwa chochote umtendeacho. Baadhi tumeyapitia haya.

Kifuatacho huwa ni karma kwahuyo mwanamke, kote huwa anapoteza na anakukumbuka asubuhi, mchana, usiku.
Kuna dada mmoja naye baada ya kuona wamejenga vigorofa vi 2 akaanza tibwili la talaka. Wakatengana vyumba na mumewe , akawa analeta boy wake mpaka hapo home , watoto wanamuita mjomba. Alikuwa anadai apewe ghorofa moja. Amekanyaga mahakamani na kuloga balaa, lakini wapi. Sasa hivi hata huyo boy wake kamuacha anazurura tu, duka la nguo lmekufa sababu ya kutumia pesa kwenye kesi na kuloga.
Ningemuona wa maana kama angetumia muda huo kuonyesha kwamba hata mimi naweza kutafuta hela ,lakini wapi, busy na ulozi na mahakamani.
 
Inategemea. Wanaume wengine wajinga sana wakishachuma na mwanamke wa mwanzo wanawapa Talaka
Watu wanamtetea Huyu Davis Mosha ambaye anasomesha mtoto wa Demu wake uturuki binti anaitwa Vanney na anatambaaa na anampenda kuliko watoto wake wa kuzaaa, limbukeni wa Pesa huyu mwanaume anafahamika jaji hukumu yake ni ya mihemko.

Anasema mwanamke aliiba na kujaribu kumuua huyo Mosha kwa fact zipi sheria ya siku hizi nyepesi sana ukiwa na pesa.
 
Back
Top Bottom