DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
At the same time mnatukana wanawaje wanaofanya kazi kuwa hawataki kulea watoto wao. Smh
At the same time mnatukana wanawaje wanaofanya kazi kuwa hawataki kulea watoto wao. Smh
Chunguza, wanaotukanwa ni wale wanaofanya kazi ya mshahara wa laki 4 halafu anampiga mumewe vibomu vya nauli ya kuendea kazini na pesa ya kula kazini inayofika hadi laki 6 kwa mwezi, hao ni wa kutukana kabisa..
 

Sio kują kwa njia ya sumu tu lakini hata kwa kumroga na kumfanyia makafara nako ni kubaya sana.
Kuua ni kubaya iwe kwa njia yoyote ile.

Wanaume wengi wanarogwa sana na wake zao, michepuko, wakwe n.k

Tena hata kama ni hohe Hagę Ni hivyo hivyo ingawa kwa Mwanaume mwenye riziki chances ni kubwa zaidi.
 
Nakuelewa.
Na hata wa hivyo atakubali kutawaliwa na mwanamke kwa Kitambo kifupi tu baada ya muda akichoka hatakubali sababu ni kinyume na naturę .
Mwanaume hata awe lofa kiasi gani hawezi kukubali kupandwa kichwani kukosewa heshima Eti Sababu mwanamke ndie Mleta ugali.
respect is fundamental to a Man.
 

Halafu ukute mke mwenyewe hana swaga , hayuko romantic, yupo kama Shangazi ya watoto hapo nyumbani.
Hata ukiwa na swaga wanaume huwa wanachoka na kukinahi K moja miaka nenda rudi.
Halafu ukute mwanamke awe na mapungufu mengine kama vile mdomo, kelele, uchafu , mapishi ya ilimradi vimeiva n.k

hata hivyo wanaume wa bongo wanajitahidi kuonesha kuwajali wake zao.

Maana kimsingi yatima hapaswi kudeka.

Mwanamke tegemezi Halafu ulete masharti?!
 
Kapata mwanaume wa nje anataka Mali
Akaanze upya na huyo mchepuko wake
Mke akiomba talaka anajua Kwa kwenda tayari
 

Ni kweli,
Muhimu ni kumuombea tu anakoenda iwe salama asipate magonjwa wala shida yoyote.

Na hii ni pamoja na kutomfatilia na kupekua simu zake.

Imeandikwa: upendo huamini yote, hauhesabu mabaya, haukosi kuwa na adabu , huvumilia, n.k
 


Kumbe ni hivyo?
Hilo naona wengi hawalijui kwenye jamii yetu.

Mbona wanasemaga kuna kugawana mali pasu tu pasu au ?
 
Hili andiko la hii hukumu limekaa sawa kweli embu ngoja nianze upya tena kusoma

Haya mandoa na mahela yao yanayotokana na pesa za kudhulumu huwa hazidumu

Watatifuana mahakaman hadi pesa zitaisha

Ni mambo ya Bilionea Msuya

Popote utakapochuma kwa dhuluma lazima kirudi kwa mwenyewe ni suala Ia muda

Hata Mo nae atapitia tu Huku, anaidhulumu sana Simba SC Adhuluma dhwalala Kuli
 
Mosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
Unadhani mahakama haijajiridhisha vizuri? Listen, saivi watu wanakuwa ni shareholder kwenye makampuni wanayoyamiliki na wanakuwa na share ndogo sana au hawana kabisa rather anakuwa ni advisor wa kampuni anayomiliki. So ukimtafuta kisheria mali anazomiliki humpati. What if Devis mosha anamiliki 1% ya mali zake zote tunazozijua Au ni mshauri wa kiuchumi wa kampuni tunazohisi anazimiliki. Watagawana nini?
 
ungekuwa mwanasheria ungeelewa nilichoandika ndio , UK statutes, statutes of equity can only be applied up to 1895 past that statutes of limitations kicks in , in modern times Tanzania imedevelop jurisprudence in many issues including divorce proceedings , you're wasting time reading defective UK laws that lack locus standi huku labda persuasive not binding .
Pitia hyo kesi soma the judges obiter na ratio descendidi uelewe the judge's logic
 
Baada ya kusoma ulichoandika ninashukuru kuwa mimi sio mwanasheria.

Amandla...
 
S. 1 14( 1) The court shall have power, when granting or subsequent to the grant of a decree of separation or divorce, to order the division between the parties of any assets acquired by them during the marriage by their joint efforts or to order the sale of any such asset and the division between the parties of the proceeds of the sale.

In excercising the power conferred by subsection (I ), the court shall have regard -

to the custom of the community to which the parties belong;
to the extent of the contributions made by each party in money, property or work towards the acquiring of the assets;

to any debts owing by either party which were contracted for their joint benefit; and

to the needs of the infant children, if any of the marriage,

and subject to those considerations, shall incline towards equality of division .

For the purposes of this section, references to assets aquired during a marriage include assets owned before the marriage by one party which have been substantially improved during the marriage by the other party or by their joint efforts.

Hapa inasema hata mali ambazo zilipatikana kabla ya ndoa na zikaboreshwa wakati wa ndoa zinahesabiwa kama matrimonial property.

Kuhusu madai kuwa tabia mbaya ya mke inamfanya asiwe na haki ya kupata mgao soma maoni ya Rashid Kawawa akiwa Bungeni na Jaji Samatta.
Kawawa, Leader of the Government business in the House, replied that »the right of a spouse to a share of assets must be clearly understood because it does not depend upon which party caused the breakdown of the marriage. What is being given to the spouse is an entitlement based on sweat and not on good behaviour« (1 971: 380) (Trans. BAR.). Samatta J., expressed a similar view in the case of Swiga Kilima v. Hamisi Mwakafila4 where he stated that there were no provisions in the Law of Marriage Act which state that a spouse who is responsible for the breakdown of the marriage loses his or her share of the assets which the spouses acquired through their joint efforts. Samatta J., stressed that »whether the provisions of section 1 14 are read by the use of a magnifying glass or a microscope, it is patently clear that a spouse cannot lose his or her share of matrimonial assets because he or she is the one who caused the burial of the marriage«.

Amandla...
 
Amuulize ya K-lynn Kwa Mengi, mwanamke alijua Mengi anamiliki makampuni yote kwa asilimia 100 kumbe alishagawana yeye mkewe na watoto.
 
Kuna watu Huwa wanasema ukioa mchaga ni sawa na kukaribisha jambazi nyumbani kwako.kupewa sumu ni nje nje.nimeanza kuamini maana matukio mengi sana ya wachaga kuua waume zao ili kurithi mali
 
Kumbe ikilalia upande huu ....ndio inakuwa sio haki....ila ikiwa upande wa fe....ni haki na kila mtu anasimama na kuisifu mahakama....wanaume tujitafakari sana usalama wetu unazidi kushuka sana...na cha kusikitisha ni kuwa wengi wetu ni wasaliti.
 
Kuna watu Huwa wanasema ukioa mchaga ni sawa na kukaribisha jambazi nyumbani kwako.kupewa sumu ni nje nje.nimeanza kuamini maana matukio mengi sana ya wachaga kuua waume zao ili kurithi mali
Huyo mwanamke Davis aliyemuoa kwani ni mchaga? Tena mswahili mndengereko kizuri alibadili dini na kuwa mkristo Yesu atamsamehe. Wewe nimsenge jinga kabisa huna tofauti na Accumen Mo na darcity.

Rejected human being.

Sayngay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…