DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.

Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
mi sio mtaalamu wa jadi ila kuvunjika kwa hio ndoa kisababishi lazma kitakuwa infidelity issues tu.
 
Kwa kawaida sijibu mtu anayeanza kwa matusi. Swali langu lilikuwa ni je huyu dada alikuwa anaitwa Davis Mosha au Mrs someone Mosha? Na uamuzi wa kuacha kutumia jina la ndoa ni wa mwenye ndoa na sio mahakama kuamua. Ni kama vile mwanamke halazimiki kuchukua ubini wa mume wake anapoolewa. Wengi tu wako kwenye ndoa lakini hawabadilishi jina lao la kuzaliwa. Na hata ingekuwa hivyo ( ambapo sio) Hakimu angemzuia kutumia ubini wa Mosha na sio jina la Davis Mosha. Hizo Ph.D zenu fake zitawapa shida sana.

Amandla...
We ni mjinga
 
Mahakama inatoa hukumu kwa hearsay bila vithibitisho taaluma ya sheria wengi hamna ila mmetumia mihemuko kujibu hii ngoma ngumu sana.
Mimi ni mwanamke ila nakuhakikishia siku ukioa mwanamke mwenye tamaa ndo utakumbuka maneno yangu. David anaishi maisha magumu kila siku kutegewa sumu. Wewe hujui endelea kuamini hivyo unavyo amini
 
Huyo Nancy ni tapeli kwanza hajawahi kuwa muhasibu miaka 20, Mfanyabiashara huyo alimpa biashara yake ubungo ya beurauDechange, Nancy Akapata mwanaume mkongo wakafilisi duka loote mnakumbuka jamani au mmesahau, Akapelekwa headquarter ndiyo akawa anaiba kwa kwenda mbele na wafanyakazi wanajua akatolewa toka 2017.
Akapewa maduka ya delina Supermarket yaliyokuwa kwenye vituo vya Mafuta, Akawa halipi kodi, PUMA wakamfukuza na mpaka leo anadaiwa Milioni 70 ya kodi, Mtaji wote kachukua Mitimingi ambaye ni Mpenzi wake ni mganga amekuwa naye zaidi ya miaka 5 na staff wote wanajua sio siri na hata mama yake Nancy anajua ndugu zake Nancy wanajua.

Na Ndio mipango ya kuua ikaanza na mtoto wao mkubwa anajua mipango ilivyokuwa Hao Mama yake Nancy, Mitimingi walimuonyesha Mtoto mkubwa kuwa baba yake Ana mtoto nje Mali zitachukuliwa, walivyo matahira wakamwambia Mtoto wa kwanza wa kiume Ni bora baba yako afe tubaki na Mali, wafanyakazi wanajua Sana Kila kitu, Mtoto wa kiume aliwadharau Kuanzia Siku Hiyo.

Hata jinsi aliiba na kuagiza pombe south Africa na alikuwa amemtumia dereva anaitwa Nico na pombe hiyo alikuja kuzulumiwa na ATU wa tegeta, alikuwa akipeleka Kwenye magodown walipokuwa wakishare Bwana, Huyo Nancy ni mbwa, Hatujui kama amemuacha Mangi salama alikuwa mchafu kuliko.
Yote hayo unayoyasema hayana maana katika hili shauri la haki ya mtalaka. Kama alikiri kuwa alitaka kumuua angeshitakiwa kwa kosa la attempted murder. Lakini kama hajawahi kupatikana na hatia mahakamani kuhusu tuhuma hizo zinabakia tuhuma tu. Masuala ya ufuska na yenyewe nafasi yake ni katika talaka na sio katika mgao wa mali. Kuwa na majina mengi sio kosa la jinai. Kama haijawahi kuthibitishwa mahakamani kuwa aliibia kampuni hizo nazo zinabaki tuhuma tuu na hakimu hakupaswa kuzitilia maanani katika kugawa asset. Na hata kama aliwahi kusema kuwa hazitaki hizo mali ulikuwa bado ni wajibu wa hakimu kuangalia tu sheria inampa haki gani mtalaka na sio vinginevyo.

Hii hukumu ilivyoandikwa inaonekana kuwa ilikuwa vindictive yenye nia ya kumkomesha Nancy kwa sababu tu mwanaume mwenzake amelia kuwa amesalitiwa na kuibiwa katika ndoa! Ni hukumu ya ovyo sana. Na imeandikwa kwa kiingereza kibovu mno.

Sitashangaa kama itawekwa pembeni kama huyu mwanamke atakata rufaa.

Kama ana ushahidi kuwa huyu mwanamke anataka kumuua kwa nini hamshitaki polisi ili afunguliwe mashtaka ya kukusudia kuua?

Amandla...
 
Ndoa zina mengi sana. Imagine mkeo ana kiserengeti boy kinamgeuza. Utaweza vumilia kweli ?

Mandela alieweza wasamehe makaburu waliomfunga jela miaka 40. Ila alishindwa msamehe mke wake winnie mandela
Dawa ni kumuacha pale tu unapogundua kuwa anasaliti ndoa yako. Ukikaa miaka 28 unaangalia tu na kulalamika itaonekana labda pengine mna open marriage ambapo kila mmoja ni ruksa kuchepuka. Mandela alipogundua kuwa Winnie anaendelea kuwa na mahusiano nje ya ndoa yao hata baada ya kutoka kifungoni, alimtema pale pale. Hakusubiri miaka 20 ipite.

Aidha, siamini katika mazingira hayo mume nae hakuwa na kimpango ka kando.

Amandla...
 
Huyo Nancy ni tapeli kwanza hajawahi kuwa muhasibu miaka 20, Mfanyabiashara huyo alimpa biashara yake ubungo ya beurauDechange, Nancy Akapata mwanaume mkongo wakafilisi duka loote mnakumbuka jamani au mmesahau, Akapelekwa headquarter ndiyo akawa anaiba kwa kwenda mbele na wafanyakazi wanajua akatolewa toka 2017.
Akapewa maduka ya delina Supermarket yaliyokuwa kwenye vituo vya Mafuta, Akawa halipi kodi, PUMA wakamfukuza na mpaka leo anadaiwa Milioni 70 ya kodi, Mtaji wote kachukua Mitimingi ambaye ni Mpenzi wake ni mganga amekuwa naye zaidi ya miaka 5 na staff wote wanajua sio siri na hata mama yake Nancy anajua ndugu zake Nancy wanajua.

Na Ndio mipango ya kuua ikaanza na mtoto wao mkubwa anajua mipango ilivyokuwa Hao Mama yake Nancy, Mitimingi walimuonyesha Mtoto mkubwa kuwa baba yake Ana mtoto nje Mali zitachukuliwa, walivyo matahira wakamwambia Mtoto wa kwanza wa kiume Ni bora baba yako afe tubaki na Mali, wafanyakazi wanajua Sana Kila kitu, Mtoto wa kiume aliwadharau Kuanzia Siku Hiyo.

Hata jinsi aliiba na kuagiza pombe south Africa na alikuwa amemtumia dereva anaitwa Nico na pombe hiyo alikuja kuzulumiwa na ATU wa tegeta, alikuwa akipeleka Kwenye magodown walipokuwa wakishare Bwana, Huyo Nancy ni mbwa, Hatujui kama amemuacha Mangi salama alikuwa mchafu kuliko.
Yote hayo unayoyasema hayana maana katika hili shauri la haki ya mtalaka. Kama alikiri kuwa alitaka kumuua angeshitakiwa kwa kosa la attempted murder. Lakini kama hajawahi kupatikana na hatia mahakamani kuhusu tuhuma hizo zinabakia tuhuma tu. Masuala ya ufuska na yenyewe nafasi yake ni katika talaka na sio katika mgao wa mali. Kuwa na majina mengi sio kosa la jinai. Kama haijawahi kuthibitishwa mahakamani kuwa aliibia kampuni hizo nazo zinabaki tuhuma tuu na hakimu hakupaswa kuzitilia maanani katika kugawa asset. Na hata kama aliwahi kusema kuwa hazitaki hizo mali ulikuwa bado ni wajibu wa hakimu kuangalia tu sheria inampa haki gani mtalaka na sio vinginevyo.

Hii hukumu ilivyoandikwa inaonekana kuwa ilikuwa vindictive yenye nia ya kumkomesha Nancy kwa sababu tu mwanaume mwenzake amelia kuwa amesalitiwa na kuibiwa katika ndoa! Ni hukumu ya ovyo sana. Na imeandikwa kwa kiingereza kibovu mno.

Sitashangaa kama itawekwa pembeni kama huyu mwanamke atakata rufaa.

Amandla...
 
Yote hayo unayoyasema hayana maana katika hili shauri la haki ya mtalaka. Kama alikiri kuwa alitaka kumuua angeshitakiwa kwa kosa la attempted murder. Lakini kama hajawahi kupatikana na hatia mahakamani kuhusu tuhuma hizo zinabakia tuhuma tu. Masuala ya ufuska na yenyewe nafasi yake ni katika talaka na sio katika mgao wa mali. Kuwa na majina mengi sio kosa la jinai. Kama haijawahi kuthibitishwa mahakamani kuwa aliibia kampuni hizo nazo zinabaki tuhuma tuu na hakimu hakupaswa kuzitilia maanani katika kugawa asset. Na hata kama aliwahi kusema kuwa hazitaki hizo mali ulikuwa bado ni wajibu wa hakimu kuangalia tu sheria inampa haki gani mtalaka na sio vinginevyo.

Hii hukumu ilivyoandikwa inaonekana kuwa ilikuwa vindictive yenye nia ya kumkomesha Nancy kwa sababu tu mwanaume mwenzake amelia kuwa amesalitiwa na kuibiwa katika ndoa! Ni hukumu ya ovyo sana. Na imeandikwa kwa kiingereza kibovu mno.

Sitashangaa kama itawekwa pembeni kama huyu mwanamke atakata rufaa.

Amandla...
Kumbe ndo Nancy kakudanganya, kwa kifupi achana na Mambo ya ufuska na majina, Lakini Ushahidi wa wizi upo, Ushahidi wa kutaka kuua kwa ajili ya Mali upo na mahakama haiwezi amua bila Ushahidi, Mahakama ilijiridhisha wizi, ilijiridhisha kwa kila Ushahidi na ndo Maana Nancy alishindwa vibaya, vibaya.
Masuala ya kingereza Kibaha na umekielewa hicho kingereza kwa tafsiri ya yaliyoandikwa nawe umepangwa vibaya na Nancy.
Ungemuuliza mteja wako kwa Nini Alishindwa?kwa Nini Alikimbia kwake?
 
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.

Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.

Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.

Je hii ni sawa?

==========
MAAMUZI YA MAHAKAMA
  • Ndoa kati mlalamikaji na mlalamikiwa imevunjwa na talaka imetoka.
  • Hakuna mali zilizopatikana kwa pamoja kwenye ndoa.
  • Uangalizi wa mtoto Daniela Davis Mosha unakuwa chini ya mlalamikaji(Baba)
  • Mdaiwa anapewa ruhusa ya kuwa na mtoto kipindi cha likizo na siku yenye nafasi kwa mtoto
  • Mdaiwa amekatazwa kutumia jina la mlalamikaji Davis Mosha na amerejeshewa majina yake ya awali
  • Kila mmoja atabeba gharama za kesi

View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768

Safi kabisa wanawake siku hizi wanajengwa na kiburi sana hasa akkuona una mali ww mumeo kakuamini miaka 20 wewe ni muhasibu unataka nn acha apate alicho stahili
 
Mahakama inatoa hukumu kwa hearsay bila vithibitisho taaluma ya sheria wengi hamna ila mmetumia mihemuko kujibu hii ngoma ngumu sana.
Ushahidi woote ulienda Mahakama, kwa Hiyo ulitaka hapo Kwenye hukumu waatach makaratasi ya ushahidi, kwa Hiyo kila Kesi Ushahidi unabandikwa, nikuhakikishie Mwanasheria na wanasheria wa Nancy waliona Ushahidi woote wa wizi, Meseji za kutaka kuua kutoka kwenye namba yake ya Airtel na yeye kukiri kukimbia Nyumba yake kwa Tamaa za mali.
 
Back
Top Bottom