Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

Ndoa haifai ni mateso na tabu,wanawake wamekuwa hawbiliki ni stress tupu..zalisha tunza watoto wako...shetani ameamua kujidhihirisha yakwamba anajinsia ya kike.
Ila kuna wanawake ni Eva na kuna wanawake ni Lilith, sasa inategemea utaangukia kwa nani Eva wa kwanza au Eva wa pili

Pesa Pesa Pesa nimekuita mara 3 Pesa
 
Taarifa kutoka Temeke zinadai kwamba Ndugu David Kafulila na Bi Jesca Kishoa wameachana baada ya ndoa yao kuvunjwa Mahakamani .

Kesi yao imetajwa kusajiliwa kwa No 217/2022 , katika kituo jumuishi cha Huduma za Mahakama , Mirathi na Ndoa , kilichopo Temeke , Dar es Salaam .

Mahakama imeamuru watoto kubaki na Mama yao huku gharama za kuwatunza zikigawanywa kwa 50% kwa wazazi wote .

Tunawatakia kila la heri katika Mahusiano yao mengine mapya yatayokuja huko mbele .
Roho ya usaliti ni mbaya mno.
 
Ukiwa mtu maarufu hata ufanye Siri vipi, ukitembea na mke au mume wa MTU, kila mtanzania atajua. Na ukileta ubishi picha zinasambazwa.

Wosia wangu. Ukishateuliwa kubali yaishe, tamaa zako malizia kwa mumeo/mkeo Kama huwezi tusilaumiane.
 
Tena hawa ni mastaa wakubwa katika siasa lakini wameshindwa kuishi maisha ya ndoa. Anyway kafulila ni mwanaume nafasi ya huyo mke wake itazibwa fasta hata na mwanamke mwenye elimu ya chini na maisha yake ya ndoa yakaimarika. Ishu ni kwa ex wake kupata mume mpya, labda mpenzi tu wa kukidhi haja. Maana wanaume wengi huogopa kuoa fasta wanawake wanaoachika.
Nani kakuambia? N[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom