Ni wanaume wa aina yako waliokuwepo enzi zile na wakawa na mamlaka ndio waliotufikisha hapa tulipo!
Ilikua ni rahisi kuwapa mwanya wa hivyo vyote unavyopinga wasiwenavyo, wangezaliwa na kuwa navyo wangevizoea na wangeishi navyo kwa mujibu stahiki wa wakati huo na huu pengine!
Sasa hizi sarakasi zote za haki Sawa na takataka zote kwenye taasisi takatifu ya ndoa zimekuja baada ya wao kugundua kwamba waliyoambiwa na kuaminishwa plus kulazimishwa vizazi na vizazi hayana Ukweli wa asilimia 100 ila kiasi kikubwa ni kwa matakwa ya wenzao na “Ego” zao!
Hakuna pa kuchomokea, kilichotafutwa na wazee wenu mnakipata wajukuu!
Mungu ni mwema wakati wote.