Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

Ndoa ni fumbo lenye codes ngumu sana. Wale ambao tumeoa kuanzia past five years kuendelea na ndoa zetu hazina mushkeli wala figisu figisu kubwa kubwa tugonge like hapa za kiumeni.[emoji16]
kabla ya kungongeana likes za kutosha...Je ! mimama mkwe yenu haiingilii ndoa zenu au kuyashika masikio hayo MACHIZI mnayoishi nayo !

Kama hamjafika miaka kumi ya ndoa zenu,gongeni like za kimwisho mwisho.
 
Mpaka watimize miaka 18.
But why? Miaka 18 watoto is watamsahau Baba na Mama atapata advantage zaidi; na wengine huwajengea chuki watoto kiasi wanakua hawana mpango na baba. Mimi kuna wakati nadhani Mahakama ili review hizi sheria maana kama inapendelea upande mmoja, na akina Mama Wengi hu take advantage ya hizi sheria.
 
Mkuu,
Nyakati ulizokulia na sasa ni tofauti sana, malezi yamekuwa magumu mno kwa watoto wetu, kama unapinga hilo ni sawa tu lakini makuzi kwa watoto wetu yanahitaji umakini zaidi ya kawaida, tofauti na nyakati sisi tunakuwa.

Zalisha tu, waachie mama zao walee wewe utakuwa unatuma matumizi na ada, then njoo later kwenye adolescence ya watoto wako. Ndio utasema kama ushoga ni tabia, makuzi au mazingira ya mtu.

Endelea kupinga ndoa mkuu, zalisha tu!!
Hahahah wanafikiria malezi ni kulipa ada na kulipia king'amuzi cha dstv ili mtoto aangalie makatuni tu.
 
Hii issue ya ushoga watu wanapenda kuitengenezea sana visabishi na excuse kibao wakati mashoga walikuwepo tangu zama hizo wakati malezi ya Kitanzania yalisemekana ni mazuri. Kama ilivyo sasa tunavyowasingizia wazungu kuleta ushoga wakati kwenye kumbi za taarabu those days walikuwa ndo maskani yao huku wamevaa kike
Mashoga wamekuwa na uhuru sana awamu hii. Lazma ukweli usemwe na uhuru wa kishoga ndio uhuru wa kuharibu taifa. Mtu kama anaona kusukuma sewage ya mwanaume mwenzie ni jambo la kufurahia basi alaaniwe vikali.
 
Tena hawa ni mastaa wakubwa katika siasa lakini wameshindwa kuishi maisha ya ndoa. Anyway kafulila ni mwanaume nafasi ya huyo mke wake itazibwa fasta hata na mwanamke mwenye elimu ya chini na maisha yake ya ndoa yakaimarika. Ishu ni kwa ex wake kupata mume mpya, labda mpenzi tu wa kukidhi haja. Maana wanaume wengi huogopa kuoa fasta wanawake wanaoachika.
Siku huyo mwanamke akikosa ubunge ndio atajua hajui. Atakua na pesa sawa lkn mwanaume gani anapenda mwanamke mwenye pesa.
Raha ya penzi mwanaume ahonge.
Labda achukue bodaboda.
 
Taarifa kutoka Temeke zinadai kwamba Ndugu David Kafulila na Bi Jesca Kishoa wameachana baada ya ndoa yao kuvunjwa Mahakamani .

Kesi yao imetajwa kusajiliwa kwa No 217/2022 , katika kituo jumuishi cha Huduma za Mahakama , Mirathi na Ndoa , kilichopo Temeke , Dar es Salaam .

Mahakama imeamuru watoto kubaki na Mama yao huku gharama za kuwatunza zikigawanywa kwa 50% kwa wazazi wote .

Tunawatakia kila la heri katika Mahusiano yao mengine mapya yatayokuja huko mbele .
Kwa sasa Jimbo liko wazi.
 
Back
Top Bottom