Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

hakuna cha malezi
kapenda mwenyewe mchezo wa kupumuliwa unasingizia wazazi ?
Mkuu,
Nyakati ulizokulia na sasa ni tofauti sana, malezi yamekuwa magumu mno kwa watoto wetu, kama unapinga hilo ni sawa tu lakini makuzi kwa watoto wetu yanahitaji umakini zaidi ya kawaida, tofauti na nyakati sisi tunakuwa.

Zalisha tu, waachie mama zao walee wewe utakuwa unatuma matumizi na ada, then njoo later kwenye adolescence ya watoto wako. Ndio utasema kama ushoga ni tabia, makuzi au mazingira ya mtu.

Endelea kupinga ndoa mkuu, zalisha tu!!
 
unayosema huna takwimu , ila ni hisia tu

Madhara ya Ndoa takwimu zipo tena ni nje nje, kila siku kila wiki

Wizi, Ujambazi, Utapeli, Unyonyaji , Ufilisi umejaa ndoani

Uzwazwa na ni Ujinga wa hali ya juu kukumbatia Ndoa

Kwa kujua hilo, baadhi ya men wamekua smart, hawaoi
 
Mkuu,
Nyakati ulizokulia na sasa ni tofauti sana, malezi yamekuwa magumu mno kwa watoto wetu, kama unapinga hilo ni sawa tu lakini makuzi kwa watoto wetu yanahitaji umakini zaidi ya kawaida, tofauti na nyakati sisi tunakuwa.

Zalisha tu, waachie mama zao walee wewe utakuwa unatuma matumizi na ada, then njoo later kwenye adolescence ya watoto wako. Ndio utasema kama ushoga ni tabia, makuzi au mazingira ya mtu.

Endelea kupinga ndoa mkuu, zalisha tu!!
Kuna mstaafu flan ndugu yako kule milimani ni shoga tangu miaka hyo tukiwa primary ...

Ana familia vizuri tu na amelelewa familia ya kichungaji
 
Hakuna kanuni isiyokuwa na exceptions mkuu. Wapo waliolelewa na single parents na wanafanya vizuri, ila ni kizazi flani hivi cha zamani. Kizazi cha sasa kinafeli pakubwa sana kwenye kulea watoto, matokeo yake wala sio mwaka huu au ujao, miaka kumi huko ndio tutaona makubwa.

Tuendelee kukataa ndoa, tuzidi kuzalisha wanawake, tutume ada na upkeep then matokeo yake yatakuja tu.
BTW mimi sina ndugu shoga wala msagaji, sinaaaa!!
 
Hii issue ya ushoga watu wanapenda kuitengenezea sana visabishi na excuse kibao wakati mashoga walikuwepo tangu zama hizo wakati malezi ya Kitanzania yalisemekana ni mazuri. Kama ilivyo sasa tunavyowasingizia wazungu kuleta ushoga wakati kwenye kumbi za taarabu those days walikuwa ndo maskani yao huku wamevaa kike
 
Huyu baba ni wale born and raised in sabato na from a very strong family u could imagine....
Ni shoga maarufu na ana mke kabisa... nikitaja tu hyo kata basi kila mtu anamjua. Ameliwa mpaka na wahindi na waarabu sasa ana HIV ameamua kurubuni vijana wadogo kwa fedha na kuwawezesha vimiradi vidogo ili wampakue. Jaman jaman saa ivi mtu akienda labor anatamani baby girl wakati before ilikuwa watu wanatamani wanaume ili kujenga ukoo
 
Hakuna kanuni isiyokuwa na exceptions mkuu. Wapo waliolelewa na single parents na wanafanya vizuri, ila ni kizazi flani hivi cha zamani. Kizazi cha sasa kinafeli pakubwa sana kwenye kulea watoto, matokeo yake wala sio mwaka huu au ujao, miaka kumi huko ndio tutaona makubwa.

Tuendelee kukataa ndoa, tuzidi kuzalisha wanawake, tutume ada na upkeep then matokeo yake yatakuja tu.
BTW mimi sina ndugu shoga wala msagaji, sinaaaa!!
Mpare mwenzio ni ndugu yako
 
Back
Top Bottom