Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

Huwa tunawaambia wana kitaani,usioe mwanamke mwenye "Exposure" Elimu, Umaarufu, kazi, cheo na pesa. Unaona sasa huyu manzi kapeleka shauri na kawaita mawakili wazuri kawalipa wambane mwamba [emoji16]. Yani manzi anawaita mawakili anawapa assignment ya kuvunja ndoa na anawalipa kiasi watakacho, pumbavu naoa la ST7.


Ni wanaume wa aina yako waliokuwepo enzi zile na wakawa na mamlaka ndio waliotufikisha hapa tulipo!

Ilikua ni rahisi kuwapa mwanya wa hivyo vyote unavyopinga wasiwenavyo, wangezaliwa na kuwa navyo wangevizoea na wangeishi navyo kwa mujibu stahiki wa wakati huo na huu pengine!

Sasa hizi sarakasi zote za haki Sawa na takataka zote kwenye taasisi takatifu ya ndoa zimekuja baada ya wao kugundua kwamba waliyoambiwa na kuaminishwa plus kulazimishwa vizazi na vizazi hayana Ukweli wa asilimia 100 ila kiasi kikubwa ni kwa matakwa ya wenzao na “Ego” zao!

Hakuna pa kuchomokea, kilichotafutwa na wazee wenu mnakipata wajukuu!

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Wanawake wakiingia kwenye siasa ni kuwa nao makini sana, ngazi wanazopanda hadi kufika juu zina maswali mengi sana, rushwa za aina zote zinahusika, usaliti na dharau ya kiburi cha fedha kinawafanya wanaume washindwe kuishi nao. Yule wa Segerea (Bonna kama sikosei) ni mfano mwingine.
Wanawake pasta zaidi ni
Wenye vyeo,waliyoingia kwenye siasa,wanawake TRA,Bandari
Nyingine ongezeeni

Ova
 
Ndoa ya Mwanasiasa, David Kafulila na Jesca Kishoa imevunjwa katika Mahakama ya Wilaya Temeke kupitia Kituo Jumuishi cha Huduma za Kimahakama, Mirathi na Ndoa “Watoto wataishi chini ya uangalizi wa Mama yao,Kafulila atakuwa anawaona mwisho wa wiki na likizo”
#MillardAyoMAHAKAMANI https://t.co/AcP7XR4nPa
 
Ndoa ya Mwanasiasa, David Kafulila na Jesca Kishoa imevunjwa katika Mahakama ya Wilaya Temeke kupitia Kituo Jumuishi cha Huduma za Kimahakama, Mirathi na Ndoa “Watoto wataishi chini ya uangalizi wa Mama yao,Kafulila atakuwa anawaona mwisho wa wiki na likizo”
#MillardAyoMAHAKAMANI https://t.co/AcP7XR4nPa
Duh!...ndoa ina Siri kubwa...
 
Mwanamke Jesca Kishoa amekuwa na kipato kikubwa kuliko kafulila kwa miaka mingi. Ndoa kudumu ngumu hapo

Jesca ni mbunge kwa miaka mingi.

Huku kafulila yuko benchi bungeni amebaki na vikazi vyenye hela ndogo vya uteuzi wa rais

Huku mkewe yuko bungeni kwa awamu zote
 
Back
Top Bottom