Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

Mmoja wa wabunge walio isaliti cdm maarufu kama covid 19 kashafanya yake.

Jesca Kishoa amewachana na mumewe tena mahakamani.

Nimeamini kuwa ukizoea usaliti basi utaisaliti hata familia yako.

Hakika machozi ya wana cdm ni zaidi ya laana.
Screenshot_20230303-142303_Instagram.jpg
 
Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirathi na Ndoa, Temeke kimeivunja rasmi ndoa kati ya wanasiasa David Kafulila na Jesca Kishoa kupitia shauri la ndoa No 217 ya 2022.

Ndoa hiyo iliyofungwa Aprili 22, 2014 ilivunjwa rasmi Februari 20, 2023 baada ya wawili hao kutengana tangu mwaka 2019 kabla Mahakama ione ndoa hiyo imevunjika kiasi cha kutorekebishika.

Wakati hati ya madai ikionyesha kiini cha mgogoro huo ni ugomvi na utengano, Mahakama imevunja ndoa baina ya wawili hao huku ikitoa amri kwa mama kubaki na watoto na kila mzazi kuwa na wajibu wa kuchangia gharama za matunzo kwa asilimia 50.

Chanzo: Mwananchi
 
Wote wale ni wazinzi haswa na wasaliti
 
Ukichunguza vizuri utaikuta CHADEMA imo. Mbowe kumbuka majuzi alivyomtukana hazarani Waziri Silinde eti msaliti eti kwa vile alimnunulia chupi na suti akiwa Chuo Kikuu. Wote hawa: kina Kishoa, Zitto, Kafulila, Joyce Bulaya, Halima Mdee walikuwa UDSM mbowe akaja na rundown la hela kuwarubuni waitukane TANU, ndo maana wengi wakaamua better with hindsight kumbe ni tapeli wewe ngoja tusubiri. Ni lazima Tume ya Maadili ichunguze utapeli huu la sivyo tutakuwa Nji ya Watumwa kwa jeuri ya pesa ya CHADEMA.
 
Back
Top Bottom