Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

Mahusiano yoyote yaliyowakutanisha wawili, wakiwa na umaarufu fulani; mara nyingi ndoa zao huwa hazidumu, na hii inatokana na chimbuko lao la umaarufu kusababishwa na kuwepo na mahusiano fulani huko nyuma.

Kama ndoa itadumu; watakuwa wanaishi kwa kuvumiliana tu.
 
Wanaharakati huwa kwanza hawanivutii haiba yao hata wawe namna gani. Sijui inawezekana vipi nidate mpaka kumuoa. Kuwa kiongozi sio shida, kuwa na elements za uanaharakati ndio sipendelei.

Anayeijua hiyo 1987 Joseph Warioba Butiku VS Perucy Muganda Butiku tafadhali anigusie kidogo
 
Huwa tunawaambia wana kitaani,usioe mwanamke mwenye "Exposure" Elimu, Umaarufu, kazi, cheo na pesa. Unaona sasa huyu manzi kapeleka shauri na kawaita mawakili wazuri kawalipa wambane mwamba 😁. Yani manzi anawaita mawakili anawapa assignment ya kuvunja ndoa na anawalipa kiasi watakacho, pumbavu naoa la ST7.
 
Ndoa haifai ni mateso na tabu,wanawake wamekuwa hawbiliki ni stress tupu..zalisha tunza watoto wako...shetani ameamua kujidhihirisha yakwamba anajinsia ya kike.
Mnapenda kusingizia wanawake sana, kwani ndoa ni ya mwanamke peke yake? Yaani wanaume hupenda mke ndiyo ashikirie ndoa wakati yeye hatimizi wajibu wake, ifikie wanaume nao wapate mafunzo jinsi ya kuishi na mke, wengi mnatumia ubabe tu.
 
Wanawake wakiingia kwenye siasa ni kuwa nao makini sana, ngazi wanazopanda hadi kufika juu zina maswali mengi sana, rushwa za aina zote zinahusika, usaliti na dharau ya kiburi cha fedha kinawafanya wanaume washindwe kuishi nao. Yule wa Segerea (Bonna kama sikosei) ni mfano mwingine.
 
Huwa tunawaambia wana kitaani,usioe mwanamke mwenye "Exposure" Elimu, Umaarufu, kazi, cheo na pesa. Unaona sasa huyu manzi kapeleka shauri na kawaita mawakili wazuri kawalipa wambane mwamba [emoji16]. Yani manzi anawaita mawakili anawapa assignment ya kuvunja ndoa na anawalipa kiasi watakacho, pumbavu naoa la ST7.
Ulitaka ateseke tu, ndiyo maana wengi mnawabana wake zenu wasiwe na chochote ili muwanyanyase!
 
Ndoa haifai ni mateso na tabu,wanawake wamekuwa hawbiliki ni stress tupu..zalisha tunza watoto wako...shetani ameamua kujidhihirisha yakwamba anajinsia ya kike.

Kama huyu ninaye mnukuu hapa anajinsia ya Kike, uko sahihi sana, shetani amejidhihirisha ajabu!

Hutaki ndoa na mwanamke ila mtoto unamtaka?
Ukilipenda Ua kumbuka limetokana na Boga!
 
Back
Top Bottom