Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

Ndoa haifai ni mateso na tabu,wanawake wamekuwa hawbiliki ni stress tupu..zalisha tunza watoto wako...shetani ameamua kujidhihirisha yakwamba anajinsia ya kike.
Ila kuna wanawake ni Eva na kuna wanawake ni Lilith, sasa inategemea utaangukia kwa nani Eva wa kwanza au Eva wa pili

Pesa Pesa Pesa nimekuita mara 3 Pesa
 
Roho ya usaliti ni mbaya mno.
 
Ukiwa mtu maarufu hata ufanye Siri vipi, ukitembea na mke au mume wa MTU, kila mtanzania atajua. Na ukileta ubishi picha zinasambazwa.

Wosia wangu. Ukishateuliwa kubali yaishe, tamaa zako malizia kwa mumeo/mkeo Kama huwezi tusilaumiane.
 
Nani kakuambia? N[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…