Mara nyingi nimekuwa nikisema hapa kuwa ndoa Haina shida shida ni sisi wanadamu kutokuwa na hekima,uroho wa Mali ,ubinafsi na majivuno ya pesa na elimu hasa kwa wale wenye mishahara yao hasa akina mama.Kingine ni viburi ambapo kimsingi na kitamaduni wanaume wengi wanaitaji heshima mbele ya wake zao awe na kipato au hasiwe nacho tofauti na hapo ni vulugu apo nagusa ndoa nyingi za wasomi na watu maarufu tatizo liko hapo.Ubinafsi pia ni tatizo sugu ambapo wanandoa wengi wanjiangalia wao tu bila kujua Kuna watoto ambapo kutengana kwao kutawaumiza kwa namna moja au nyingine,kutoa matumizi au pesa so tija Cha msingi ni kujitoa kwa ajili ya mwenzako na familia kitu ambacho kwa dunia ya sasa hakipo.Tusipokuwa na hekima kizazi kijacho Ndo kitakuwa Basi hakuna chochote hasa ktk taasisi ya ndoa itakuwa msamiati mkubwa.Niwashukru wanaopitia majaribu ktk ndoa lakini wanapambana na mungu anawasimamia kwa kuwapa hekima ya kutambua mapungufu yao na kusimama tena.So sad