Sabufa ndo Ndugai au?Aiseeee SABUFA ana drum kitambo sana na ilishwahi kumyooosha kweli kweli ,tulikuwa tunaenda kumuona kwake SALASALA.....Aliachana na Mkewe na yeye alikuwa na Drum nadhani alishafariki.
ina maana hujui SABUFA na katelephone? Fungua hakuna code hapoNani SABUFA au Katelephone?
siku hizi nyaya hazipigi shotiKama ni Diblo basi naona Tumbili kashanasa kwenye nyaya za kidatu
duh! Drum tena!?Aiseeee SABUFA ana drum kitambo sana na ilishwahi kumyooosha kweli kweli ,tulikuwa tunaenda kumuona kwake SALASALA.....Aliachana na Mkewe na yeye alikuwa na Drum nadhani alishafariki.
Kesi hiyo I google unaweza ipataKweli kabisa hii ndo tungeipata badala ya kuhangaishwa na mkasa wa tumbili🤣
Umenena !!Mara nyingi nimekuwa nikisema hapa kuwa ndoa Haina shida shida ni sisi wanadamu kutokuwa na hekima,uroho wa Mali ,ubinafsi na majivuno ya pesa na elimu hasa kwa wale wenye mishahara yao hasa akina mama.Kingine ni viburi ambapo kimsingi na kitamaduni wanaume wengi wanaitaji heshima mbele ya wake zao awe na kipato au hasiwe nacho tofauti na hapo ni vulugu apo nagusa ndoa nyingi za wasomi na watu maarufu tatizo liko hapo.Ubinafsi pia ni tatizo sugu ambapo wanandoa wengi wanjiangalia wao tu bila kujua Kuna watoto ambapo kutengana kwao kutawaumiza kwa namna moja au nyingine,kutoa matumizi au pesa so tija Cha msingi ni kujitoa kwa ajili ya mwenzako na familia kitu ambacho kwa dunia ya sasa hakipo.Tusipokuwa na hekima kizazi kijacho Ndo kitakuwa Basi hakuna chochote hasa ktk taasisi ya ndoa itakuwa msamiati mkubwa.Niwashukru wanaopitia majaribu ktk ndoa lakini wanapambana na mungu anawasimamia kwa kuwapa hekima ya kutambua mapungufu yao na kusimama tena.So sad
Hilo Ndo tatizo kubwa sana kwenye ndoa nyingi chunguza tu ukweli Ndo huo,kimsingi mkishapata watoto hakuna namna nyingine tena ya kutengana Kama mna hekima na ofu ya mungu.Ila dunia ya sasa imetawaliwa na ulafi wa Mali na majivuno ya Kila namna na ubinafsi eg pesa,vyeo na elimu vitu ambavyo ni ubatili mtupu apa duniani,Mungu atubariki.Umenena !!
Naona Kuna age mkifika kama wanandoa muachane na Tamaa za kidunia na utoto then muwe wote mnapambania maendeleo yenu na watoto wenu.
Imagine watu wapo miaka 45 na kitu ila eti wanavunja ndoa wakati ni mda mchache mbeleni wanakuwa wazeee .
Ila kwa wanaochana 80% wanaingia kweny majuto mbeleniHilo Ndo tatizo kubwa sana kwenye ndoa nyingi chunguza tu ukweli Ndo huo,kimsingi mkishapata watoto hakuna namna nyingine tena ya kutengana Kama mna hekima na ofu ya mungu.Ila dunia ya sasa imetawaliwa na ulafi wa Mali na majivuno ya Kila namna na ubinafsi eg pesa,vyeo na elimu vitu ambavyo ni ubatili mtupu apa duniani,Mungu atubariki.
Kwani kuna kombe? hata akipata joto inatosha, Mrema na Ndugai nani mwenye matatizo?Kwa afya Ile Nduguyai anaweza kumpelekea Moto mke wa 2mbili? Labda aile na meno.
Hizo ni siri zaoKama ni kweli ,basi hope alitumia condom. Other wise atakuwa kawaka tayari.
Sabufa ndo Ndugai au?
Wanatakiwa wakae hivyo hivyo bila kupata wenza hadi kifo kiwatengenishe vinginevyo watakuwa ni wazinzi kama watajipatia wenzaKama ni wakristu ndoa hapo haijavunjwa wametengana tu.
Umeshawahi kukutana na mwanamke wa kitanzania mid thirties aliyekula na kushiba vizuri? Inahitajika nguvu ya ziada kumtoa Mombo hadi juu kabisa kule msitu wa Magamba kileleni kabisa kule Lushoto.kwani kupeleka moto ni kazi? Ni rahisi sana
Kuumbeeeh !!!nilitaka kushangaa.Yule ni mchaga wewe. Kule Iramba wazazi wake wameishi tu.
Kilichomkuta Mrema hata CCM wanakijua. Kusoma lile gazeti ukiwa na afya yenye mgorogoro ni kujitakia kifo.Kwani kuna kombe? hata akipata joto inatosha, Mrema na Ndugai nani mwenye matatizo?
Huo Ndo ukweli,maana kuachana ni laana maana yake ni kuvunja kiapo chako Yani agano Mara nyingi mbele huwa ni najuto na mifano tunayoIla kwa wanaochana 80% wanaingia kweny majuto mbeleni