Mahakama yazuia ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 kuguswa kuanzia leo Juni 27, 2022

Mahakama yazuia ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 kuguswa kuanzia leo Juni 27, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
1656342555362.png

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27, 2022 imetoa zuio la muda la kutofanyika chochote kwenye Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka pale itakaposikiliza maombi ya rufaa yao.

Chanzo: MwanaHalisi


===========


Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27, 2022 imetoa zuio la muda kuhusu kutofanyika chochote kwenye Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka pale Mahakama hiyo itakaposikiliza maombi ya Rufaa yao.

Hatua hiyo imekuja baada ya CHADEMA kupitia kwa mawakili wake akiwemo Peter Kibatala, kuwasilisha pingamizi la awali wakipinga maombi mapya ya akina Mdee dhidi yao ambapo wanaiomba mahakama hiyo iwape kibali cha kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho.


Mdee na wenzake wamefungua maombi Mahakama Kuu dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chadema (iliyosajiliwa) wakiomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema.

Sambamba na maombi hayo ya ridhaa namba 27 ya mwaka 2022, pia wamefungua maombi ya amri ya zuio dhidi ya NEC na Spika, kutochukua hatua dhidi ya uamuzi wa Chadema kuwavua uanachama.

Maombi hayo yaliyopangwa kusikilizwa na Jaji Mustapha Ismail yametajwa leo Jumatatu Juni 27,2022, ndipo mawakili wa Chadema wakaibua pingamizi, dhidi ya maombi hayo ya zuio.
 
Tuliwaambia mkatutukana hafukuzwi mtu CHADEMA na hafukuziki ovyo!!!!
KUNA MAANA FULAN KUWA PALE BUNGENI NA MKUU WENU ANAJUA FIKA ….

Kama hajui wawafungulie kesi ya kufoji saini ya Mnyika!

Wajinga ndo waliwao , kaeni kushabikia msiyoyajua!!


Nasikia CHADEMA ngazi za chini wamemwangukia KINANA asaidie Bahati nzuri Memo nimeipata! Who is KINANA then ? You are jocking
Cc Evarist Chahali
Britanicca
 
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27, 2022 imetoa zuio la muda la kutofanyika chochote kwenye Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka pale itakaposikiliza maombi ya rufaa yao.

Chanzo: MwanaHalisi
TUMECHOKA KUSIKILIZA UZEMBE HUU KILA WAKATI .WAKAE NAO BUNGENI DAIMA.MAISHA YATUFIKIRISHE NA UZEMBE!.BOWE NA VIONGOZI WENZAKE HAWATOKI HADHARANI KUFAFANUWA LOLOTE WAMEZIDIWA JANJA.
 
Tuliwaambia mkatutukana hafukuzwi mtu CHADEMA na hafukuziki ovyo!!!!
KUNA MAANA FULAN KUWA PALE BUNGENI NA MKUU WENU ANAJUA FIKA ….
Hawafukuziki vipi wakati walishafukuzwa? umechanganyikiwa.

Tuwekee hiyo memo hapa, otherwise shut up, you know nothing.

Sijui kwanini hutaki kukubali hizi ngonjera zako zimepitwa na wakati.
 
Tuliwaambia mkatutukana hafukuzwi mtu CHADEMA na hafukuziki ovyo!!!!
KUNA MAANA FULAN KUWA PALE BUNGENI NA MKUU WENU ANAJUA FIKA …

..NEC / tume ya uchaguzi wameshindwa kuthibitisha uwepo wa barua ya kufoji toka Cdm iliyotumika kuwateua kina Halima.

..Upo uwezekano kina Halima walikwenda moja kwa moja bungeni na kuapa. Kwamba NEC haikuwateua.

..Uteuzi wao inawezekana ulifanyika kwa MAAGIZO.
 
Tuliwaambia mkatutukana hafukuzwi mtu CHADEMA na hafukuziki ovyo!!!!
KUNA MAANA FULAN KUWA PALE BUNGENI NA MKUU WENU ANAJUA FIKA …
Watafungua wapi hiyo kesi wakati hatuna mahakama? Kinachoitwa mahakama, kwa hapa Tanzania, ni idara ya Serikali, ambayo mkuu wake ni Rais.

Kama una suala ambalo Rais, CCM au Serikali ina maslahi nalo, usipoteze muda mahakamani. Kama unadhani ataridhia, mwone tu Rais. Unaenda kwenye idara hiyo ya Serijali inayoitwa mahakama, pale unapokuwa na uhakika kuwa Rais ameridhia.
 
Hili suala la hawa wanawake 19 mpaka sasa limeshaonesha CCM hawako serious kwenye main issues za nchi yetu.

Chadema wanapoteza muda, na rasilimali fedha, kuendelea kufuatilia kesi ambayo kimsingi dalili zote zimeshaonesha kuna mchezo mchafu unaochezwa na CCM na idara zake.

Watanzania wameshaona nia ovu ya CCM kwenye hili, Chadema wajitoe huko wawaache CCM waendelee na watu wao, na Mbowe aondoke kwenye yale maigizo ya maridhiano, vinginevyo kubaki kwenye maridhiano katikati ya hali hii ni kujiaibisha.
 
Tujikumbushe kesi yao ya awali namba 16 OF 2022 kupinga kufukuzwa uanachama ambayo wabunge 19 wa 'CHADEMA' walishindwa mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania

22 June 2022:
IN THE HIGH COURT OF TANZANIA(MAIN REGISTRY)AT DAR ES SALAAM MISCELLANEOUS CAUSE NO. 16 OF 2022 HALIMA JAMES MDEE.............................................1st APPLICANT

GRACE VICTOR TENDEGA.......................................2nd APPLICANT

ESTHER NICHOLAUS MATIKO.................................3rd
APPLICANT

ESTER AMOS BULAYA.............................................4th APPLICANT

AGNESTA LAMBERT KAIZA.....................................5™ APPLICANT

ANATROPIA THEONEST..........................................6th APPLICANT

ASYA MWADINI MOHAMED....................................7™ APPLICANT

CECILIA DANIEL PARESSO.....................................8™ APPLICANT

CONCHESTA LEONCE RWAMLAZA...........................9th APPLICANT

FELISTER DEOGRATIUS NJAU..............................10th APPLICANT

HAWA S. MWAIFUNGA.........................................11th APPLICANT

JESCA DAVID KISHOA..........................................12™ APPLICANT

KUNTI YUSUPH MAJALA.......................................13™ APPLICANT

NAGHENJWA LIVINGSTONE KABOYOKA................14™ APPLICANT

NUSRAT SHAABAN HANJE....................................15™ APPLICANT

SALOME MAKAMBA..............................................16™ APPLICANT

SOPHIA HEBRON MWAKAGENDA..........................17™ APPLICANT

STELLA SIMON FIYAO..........................................18™ APPLICANT

TUNZA ISSA MALAPO...........................................19™
APPLICANT

VERSUS

THE BOARD OF TRUSTEES OF CHAMA CHADEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)...........1ST
RESPONDENT

THE NATIONAL ELECTION COMMISSION ...........2nd
RESPONDENT

THE ATTORNEY GENERAL.................................3rd RESPONDENT


RULING
13 & 22 June 2022
MGETTA, J

:On 12th May, 2022, this application for leave to apply for judicial review was brought by way of chamber summons supported by affidavits and accompanied with applicants' joint statement. The application is brought against the Board of Trustees of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (hereinafter referred interchangeably by its acronym as CHADEMA and or as the 1st respondent); the National Election Commission (hereinafter referred interchangeably by its acronym as NEC and or as the 2nd respondent); and, the Attorney General (the 3rd respondent).

If leave is granted, the applicants intend to apply for prerogative orders of Certiorari and Mandamus against the whole process and decision passed on 11th May, 2022 by 1st respondent's General Council for allegedly expelling them from membership of CHADEMA.In reply, CHADEMA appeared through its advocates equipped with a set of seven preliminary objections challenging the application that was brought by the applicants. Thus, in this ruling, I have endeavored to determine them. For the sake of clarity, I would like to reproduce the seven preliminary objections as hereunder:


1. That the Application is time barred. It emanates from 1st Respondent's Central Committee's decision passed on 27/11/2020 which is more than 6 months, vide: Rule 6 of theLaw Reforms (Fatal Accidents and Miscellaneousprovisions) (Judicial Review Procedure and Fees) Rulesof 2014 (henceforth 2014 Rules).2. That this Court lacks jurisdiction in terms of Article 74 (12) ofthe Constitution of the United Republic of Tanzania as amended from time to time (henceforth the Constitution) to investigate NEC.3. That there is no valid Statement to support the application in terms of Rule 5 (2) (a) of 2014 Rules.4. That the affidavits are fatally defective for the following reasons🙁i) The verifications are defective as their contents thereof are not based wholly on belief contrary to Order XIX Rule 3 of the Civil Procedure Code,Cap 33 (henceforth Cap.33)


(ii) The affidavits are signed by applicants' Advocates; thereby defeating the requirement that they be deposed and signed by deponents only.5. That this Court lacks jurisdiction to hear this application against the 1st respondent because it is not a Public Body or Authority amenable to judicial review.6. That the application is frivolous, vexatious and an abuse of court process.7. That, the applicants have sued a nonexistent party namely "The Board of Trustees of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), instead of the statutory Registered Trustees of Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

When the application was called on for hearing of the raised preliminary objections, six learned advocates namely Mr. Aliko Mwamanenge, Edson Kilatu, Panya Ipilinga, Ferdinand Makole, Emanuel Ukashu and Matinde Waisaku appeared for all applicants; while, three learned advocates namely Peter Kibatala, Jeremia Mtobesya and Dickson Matata, appeared and represented the 1st respondent; and, the 2nd and 3rd respondents enjoyed a legal service of the Solicitor General, Mr. Gabriel ...READ MORE : Source : Halima James Mdee & Others vs Board of Trustee of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Others (Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022); | Tanzlii
 
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27, 2022 imetoa zuio la muda la kutofanyika chochote kwenye Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka pale itakaposikiliza maombi ya rufaa yao.

Chanzo: MwanaHalisi
Tulioizoea kuangalia bongo movie tayari tuna majibu ya hii movie ambao hawajazoea piga namba 112
 
Back
Top Bottom