Kweli cdm wajitenge na hayo mazungumzo waendelee kimpango wao. Wanapoteza Muda tu.Hili suala la hawa wanawake 19 mpaka sasa limeshaonesha CCM hawako serious kwenye main issues za nchi yetu.
Chadema wanapoteza muda, na rasilimali fedha, kuendelea kufuatilia kesi ambayo kimsingi dalili zote zimeshaonesha kuna mchezo mchafu unaochezwa na CCM na idara zake.
Watanzania wameshaona nia ovu ya CCM kwenye hili, Chadema wajitoe huko wawaache CCM waendelee na watu wao, na Mbowe aondoke kwenye yale maigizo ya maridhiano, vinginevyo kubaki kwenye maridhiano katikati ya hali hii ni kujiaibisha.