Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
britanicca mbona unaandika kama kwamba hii ni mara ya kwanza kwa mbunge/wabunge au wanachama influential wa CHADEMA kufukuzwa na chama lakini watawala wakang'ang'ana/wakakumbatia kwa mbinu hizi hizi za kimahakama hadi wakamaliza muda wao wa ubunge..?Tuliwaambia mkatutukana hafukuzwi mtu CHADEMA na hafukuziki ovyo!!!!
KUNA MAANA FULAN KUWA PALE BUNGENI NA MKUU WENU ANAJUA FIKA ….
Kama hajui wawafungulie kesi ya kufoji saini ya Mnyika!
Wajinga ndo waliwao , kaeni kushabikia msiyoyajua!!
Nasikia CHADEMA ngazi za chini wamemwangukia KINANA asaidie Bahati nzuri Memo nimeipata! Who is KINANA then ? You are jocking
Cc Evarist Chahali
Britanicca
Wakisusa inakuwa mteremko.
Wasikimbie
CCM inahusikaje?Hili suala la hawa wanawake 19 mpaka sasa limeshaonesha CCM hawako serious kwenye main issues za nchi yetu.
Chadema wanapoteza muda, na rasilimali fedha, kuendelea kufuatilia kesi ambayo kimsingi dalili zote zimeshaonesha kuna mchezo mchafu unaochezwa na CCM na idara zake.
Watanzania wameshaona nia ovu ya CCM kwenye hili, Chadema wajitoe huko wawaache CCM waendelee na watu wao, na Mbowe aondoke kwenye yale maigizo ya maridhiano, vinginevyo kubaki kwenye maridhiano katikati ya hali hii ni kujiaibisha.
LOoo, hapana mkuu. Kupuuzia ni kususia, kuzira...Nashauri Cdm wasusie hii kesi.
..Kuendelea nayo kunaipa uhalali.
..Ni kuendekeza upuuzi tu.
Umeeleza vizuri sana, nami naungana nawe katika ufafanuzi wako uliouweka hapa.Kilichopo na kinachoweza kufanyika kwa sasa, ni CHADEMA kuendelea kucheza kimkakati zaidi kwa kuzielewa mbinu zote za adui yao...
Na kwa maoni yangu, wameweza na wameshawalemea vya kutosha na ndiyo maana wakati mwingine wana - opt kutumia nguvu kujaribu kuwadhibiti hawa CHADEMA ambayo nayo ni kama njia iliyokwisha shindwa spectacularly...
We naye umezidi kiherehere, si heri sasa ubebe mimba uzae?Tuliwaambia mkatutukana hafukuzwi mtu CHADEMA na hafukuziki ovyo!!!!
KUNA MAANA FULAN KUWA PALE BUNGENI NA MKUU WENU ANAJUA FIKA ….
Kama hajui wawafungulie kesi ya kufoji saini ya Mnyika!
Wajinga ndo waliwao , kaeni kushabikia msiyoyajua!!
Nasikia CHADEMA ngazi za chini wamemwangukia KINANA asaidie Bahati nzuri Memo nimeipata! Who is KINANA then ? You are jocking
Cc Evarist Chahali
Britanicca
Rule..Nashauri Cdm wasusie hii kesi.
..Kuendelea nayo kunaipa uhalali.
..Ni kuendekeza upuuzi tu.
Rule of law. Please!#TII🙏🙏🙏🙏..Nashauri Cdm wasusie hii kesi.
..Kuendelea nayo kunaipa uhalali.
..Ni kuendekeza upuuzi tu.
Mkuu 'denooJ', hii ndiyo nafasi/fursa nzuri kabisa kwa CHADEMA, hasa wale wasioamini uigizaji unaoendelea chini ya Samia huku akiimba nyimbo za maridhiano/maafikiano.Hili suala la hawa wanawake 19 mpaka sasa limeshaonesha CCM hawako serious kwenye main issues za nchi yetu.
Chadema wanapoteza muda, na rasilimali fedha, kuendelea kufuatilia kesi ambayo kimsingi dalili zote zimeshaonesha kuna mchezo mchafu unaochezwa na CCM na idara zake.
Watanzania wameshaona nia ovu ya CCM kwenye hili, Chadema wajitoe huko wawaache CCM waendelee na watu wao, na Mbowe aondoke kwenye yale maigizo ya maridhiano, vinginevyo kubaki kwenye maridhiano katikati ya hali hii ni kujiaibisha.
Hizi Dana Dana lazima ziende mpaka 2025.Na siku hizi wamekuwa na michango na hoja tamu sana kuliko wabunge wote wa CCM.Haya
Rufaa tena?
Siye waLumumba tulidhani marekebisho ya Mashtaka
Saccos kutafuta maridhiano na walamba asali ni usanii tupu. Ni vile tu Iq za kina faru John ni ndogo, walipaswa kuwa na maono ya mbali kujua wanauzwa hata kabla ya mdana wenyewe.Mkuu 'denooJ', hii ndiyo nafasi/fursa nzuri kabisa kwa CHADEMA, hasa wale wasioamini uigizaji unaoendelea chini ya Samia huku akiimba nyimbo za maridhiano/maafikiano.
Utamjuaje mtu unayetafuta maridhiano naye kama siyo kwa mambo kama haya?
Acha Mbowe na wenzake wajionee ukweli wenyewe, halafu wajiridhishe kwamba watu wanaofanya nao maridhiano ni watu wa kuwaamini au hapana.
Acha CHADEMA wajiridhishe, halafu tuone watakavyoendelea na mchezo huu.
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27, 2022 imetoa zuio la muda la kutofanyika chochote kwenye Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka pale itakaposikiliza maombi ya rufaa yao.
Chanzo: MwanaHalisi
===========
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27, 2022 imetoa zuio la muda kuhusu kutofanyika chochote kwenye Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka pale Mahakama hiyo itakaposikiliza maombi ya Rufaa yao.
Hatua hiyo imekuja baada ya CHADEMA kupitia kwa mawakili wake akiwemo Peter Kibatala, kuwasilisha pingamizi la awali wakipinga maombi mapya ya akina Mdee dhidi yao ambapo wanaiomba mahakama hiyo iwape kibali cha kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho.
Mdee na wenzake wamefungua maombi Mahakama Kuu dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chadema (iliyosajiliwa) wakiomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema.
Sambamba na maombi hayo ya ridhaa namba 27 ya mwaka 2022, pia wamefungua maombi ya amri ya zuio dhidi ya NEC na Spika, kutochukua hatua dhidi ya uamuzi wa Chadema kuwavua uanachama.
Maombi hayo yaliyopangwa kusikilizwa na Jaji Mustapha Ismail yametajwa leo Jumatatu Juni 27,2022, ndipo mawakili wa Chadema wakaibua pingamizi, dhidi ya maombi hayo ya zuio.
Lakini ni hawa hawa waliihimiri mikikimikiki na dhoruba zilizowakumba huko nyuma hadi wakaifikisha 'saccos' yao hapa leo!Saccos kutafuta maridhiano na walamba asali ni usanii tupu. Ni vile tu Iq za kina faru John ni ndogo, walipaswa kuwa na maono ya mbali kujua wanauzwa hata kabla ya mdana wenyewe.
Wewe acha porojo kila kitu leo kinajulikana nani mratibu na nani msimamizi lakini mwisho wa yote kila jambo lina mwisho wake kama mmewafadhili ili mkopesheke shauri yenu,upumbavu huu kwa kweli mtaujutia ninyi ccm pamoja na hao covid 19.Tuliwaambia mkatutukana hafukuzwi mtu CHADEMA na hafukuziki ovyo!!!!
KUNA MAANA FULAN KUWA PALE BUNGENI NA MKUU WENU ANAJUA FIKA ….
Kama hajui wawafungulie kesi ya kufoji saini ya Mnyika!
Wajinga ndo waliwao , kaeni kushabikia msiyoyajua!!
Nasikia CHADEMA ngazi za chini wamemwangukia KINANA asaidie Bahati nzuri Memo nimeipata! Who is KINANA then ? You are jocking
Cc Evarist Chahali
Britanicca
Hawajazidiwa ujanja ila mratibu wa mipango hii ndiye mwenye ingekuwa wewe ungefanyaje?TUMECHOKA KUSIKILIZA UZEMBE HUU KILA WAKATI .WAKAE NAO BUNGENI DAIMA.MAISHA YATUFIKIRISHE NA UZEMBE!.BOWE NA VIONGOZI WENZAKE HAWATOKI HADHARANI KUFAFANUWA LOLOTE WAMEZIDIWA JANJA.
Hawa watu wakiambiwaga fact wanatukana matusi tu ndio eanachojua.Tuliwaambia mkatutukana hafukuzwi mtu CHADEMA na hafukuziki ovyo!!!!
KUNA MAANA FULAN KUWA PALE BUNGENI NA MKUU WENU ANAJUA FIKA ….
Kama hajui wawafungulie kesi ya kufoji saini ya Mnyika!
Wajinga ndo waliwao , kaeni kushabikia msiyoyajua!!
Nasikia CHADEMA ngazi za chini wamemwangukia KINANA asaidie Bahati nzuri Memo nimeipata! Who is KINANA then ? You are jocking
Cc Evarist Chahali
Britanicca
We Ni mwongo mara nyingi habari zako Ni za kutunga. Weka hapa hiyo memo kuthibitisha uongo wako.Tuliwaambia mkatutukana hafukuzwi mtu CHADEMA na hafukuziki ovyo!!!!