Kwa kifupi, katika mambo ya msingi yanayoliathiri taifa, CHADEMA waanaakisi (reflect) mitazamo na misimamo halisi ya watanzania wengi hata waliojibanza ndani ya CCM. Na ndio clout au tishio hasa la CHADEMA kwa watawala.
Agenda si kuing’oa CCM TU. Hiyo ni hatua ya kwanza. Muhimu zaidi ni kuleta mageuzi makubwa katika namna nchi yetu inavyoongozwa. Kwa hilo, CHADEMA is on the right track. Response ya state na wananchi zinathibitisha.
Kama kawaida CHADEMA is not a totalitarian entity; kuna kupishana kwa mawazo kwa baadhi ya masuala ya siku kwa siku LAKINI ambayo si strategic.
Hakuna kupishana mawazo hadharani kwenye vyama vya siasa on everyday political stance.
Sasa aina maana wanachama hasa senior party members wanaafiki kila hatua ya kiongozi au wana share ideas on how to solve current political issue.
Ukiona kila mtu juu ana mtazamo wake elewa kiongozi hana grasp na agenda ya chama na wala awajakaa kwa pamoja na kuamua mtazamo wa chama kwenye jambo husika ili kauli zifanane.
Ndio maana vyama vya siasa vina ‘whipping system’ na whip members ambao jukumu lao ni kuwataarifu wengine hii issue tunaenda hivi.
Utaki unatoa sababu zako kwanza; mfano sakata la Loliondo unaweza ruhusu wabunge wamasaai kutokana na sensitivity ya sakata lenyewe kwao kuto-support ndani ya bunge lakini kutojihusisha na uamasishaji nje ya bunge watu kutotii. Alikadhalika wengine wote ni kukaa kimya.
CDM wao kila siku viongozi wao wanapishana on current issues huyu anataka katiba, huyu tume, huyu anataka kukutana na raisi, huyu ataki, mara wanapeana block; it’s just chaos.
It’s obvious hakuna central control ni watu ambao wapo wapo tu; kwa sasa ni kama kikundi cha watu wanaotaka kuingia bungeni kupitia taasisi ya chama kingine nje ya CCM; lakini sio watu wenye mipango ya kuendesha nchi ikitokea ni kwa bahati mbaya na awajajipanga (kama uongozi uliopo sasa madarakani).
Lakini tusijiongopee chadema inaviongozi wa kuitoa CCM sio kwa mbinu wala maarifa.
Lissu at one point alijipa jukumu la chief whip ndani ya CDM sasa whip gani asielewa kupishana hadharani na vigogo wengine ndani ya chama is not healthy.
Unaweza kuona kwanini nilisema niliyosema kuhusu wafuasi wa CDM kama viongozi wenyewe wanao sikiliza ndio hao.
Response ya state sio kwamba inawahofia CDM inawechezesha mziki wao tu.