SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Umeandika kwa jazba sana. Ni wazi CHADEMA wamekutibua sana. All the same, katika muktadha wa hii “logical analysis” yako unatamani CHADEMA wawe vipi au wafanye nini ndipo uwaone wanajitambua? And what’s really wrong with Tundu Lissu to piss you that much?Mtoto anapo mtukana mtu mzima kwa desturi zetu ni ukosefu wa adabu usiokubalika, ukienda msemea kwa wazazi wake kuna mawili:
(i) Kama wazazi wanaheshimu desturi utaitwa mbele yake, ataambiwa akuombe radhi; halafu watamuadhibu mbele yako kama sio kuchapwa basi kupewa risala moja ndefu ya tabia zake au utapewa fimbo umchape (inategemea na aina ya wazazi kwa adhabu zao).
(ii) ukiona umeenda lalamika halafu kesho mtoto anarudia kukutukana elewa wazazi kama sio waliomtuma; basi awakuthamini.
Sasa upuuzi ni kuendelea kupeleka malalamiko kwa wazazi.
CHADEMA awajitambui wanaweza tumia muda mwingi kupigana vita ya ujinga kama hii ya kina Mdee na kutoelewa ni muda gani wa kuacha na kufanya mambo mengine ya kujenga chama.
Moja ya tafsiri nyingi za siasa ni kuelewa maana ya ‘nguvu’ kwa minajili ya siasa.
Nguvu kisiasa ni uwezo wa taasisi au mtu mwenye madaraka kufanya maamuzi ambayo wewe uwezi yazuia.
Sasa basi kwa tafsiri hiyo kwa mapana yake ya kisiasa ndio maana watu wakaja na mambo ya balance and checks na kutwa kuangilia mahala ambapo nguvu inaweza tumiwa vibaya kuondoa haki, kufanya upendeleo na kutaka marekebisho.
Kwa kifupi hawa watu sio tu vitabu vya siasa awasomi ila ata picha awaoni kuelewa msingi wa nguvu kwenye siasa kupitia viongozi wazoefu wa CCM nguvu ina maana gani.
Usidhani wakuu wa ulinzi na wanasiasa wakongwe wa CCM (wanaojiita wenye chama) wanawaogopa maraisi kwa kukaa kimya ata kwa maamuzi ya ovyo ambayo awakubaliani nayo ni kwa sababu wanaelewa what the president can do kwa nguvu zake za ki serikali na chama muulize job Ndugai.
Sasa badala ya kupambana na kudhibiti nguvu zinazowaumiza CDM wao kutwa kupambana na ujinga na ata katiba mpya wanadai mambo yakijinga ambayo ayatekelezeki mwisho wa siku kwa sababu uwezekano wake unategemea all things ‘being equal’ in economics au nchi ifikie level flani ya makusanyo.
Mie binafsi mfuasi yeyote wa CDM namuona ni rijitu jinga kweli; maana uongozi wenyewe ata aujitambui; that includes Tundu Lissu.
Currently live: Halima Mdee and the gang wakijirusha na CCM usiku huu.
Ndio ujue CDM wazimu wa kufukuzana na upepo.
Cjui kama cku hz kna kitu knachoita vetting serikalni au watu wanateuliwa kufatana na sifa gani!Watafungua wapi hiyo kesi wakati hatuna mahakama? Kinachoitwa mahakama, kwa hapa Tanzania, ni idara ya Serikali, ambayo mkuu wake ni Rais.
Kama una suala ambalo Rais, CCM au Serikali ina maslahi nalo, usipoteze muda mahakamani. Kama unadhani ataridhia, mwone tu Rais. Unaenda kwenye idara hiyo ya Serijali inayoitwa mahakama, pale unapokuwa na uhakika kuwa Rais ameridhia.
Agenda kubwa ya chama cha upinzani ni kuendesha serikali siku moja, na kufikia hazma hiyo inataka strong leadership, strong institution and mobilising public support. Katika wapiga kura millioni 21 kwa count ya 2015 kipindi ambacho watu wengi walijitokeza unahitaji walau 13 millioni ushinde uraisi.Umeandika kwa jazba sana. Ni wazi CHADEMA wamekutibua sana. All the same, katika muktadha wa hii “logical analysis” yako unatamani CHADEMA wawe vipi au wafanye nini ndipo uwaone wanajitambua? And what’s really wrong with Tundu Lissu to piss you that much?
Zaidi ya yote, do you give a damn whatever CHADEMA does or becomes?
Una uchungu kama yule mama aliekuwa akishangilia kule mahakamani.Hili suala la hawa wanawake 19 mpaka sasa limeshaonesha CCM hawako serious kwenye main issues za nchi yetu.
Chadema wanapoteza muda, na rasilimali fedha, kuendelea kufuatilia kesi ambayo kimsingi dalili zote zimeshaonesha kuna mchezo mchafu unaochezwa na CCM na idara zake.
Watanzania wameshaona nia ovu ya CCM kwenye hili, Chadema wajitoe huko wawaache CCM waendelee na watu wao, na Mbowe aondoke kwenye yale maigizo ya maridhiano, vinginevyo kubaki kwenye maridhiano katikati ya hali hii ni kujiaibisha.
Hiyo ya US ni twisted view. Habari ya weapons of mass destruction in Iraq haikuwa in US’ national interest. Ilikuwa ni ghilba ya utawala wa GW Bush and his clique. Note the aftermath and fallout.Agenda kubwa ya chama cha upinzani ni kuendesha serikali siku moja, na kufikia hazma hiyo inataka strong leadership, strong institution and mobilising public support. Katika wapiga kura millioni 21 kwa count ya 2015 kipindi ambacho watu wengi walijitokeza unahitaji walau 13 millioni ushinde uraisi.
Ndio maana vyama vya siasa vinatumia muda mwingi sana kunadi sera zao.
Uchaguzi umeisha tunaelekea mwaka wa pili 90% ya muda wao wametumia kuongelea in-fights, kubembeleza kukutana na raisi, kudai mafao, sijui kuomba maridhiano, kumtukana Magufuli (if he was a president mpinzani ufanyi single out samaki mmoja akioza wote wameoza) kama alikuwa raisi mmbovu so is CCM ni chama kibovu hizo ndio attack za upinzani.
Kwasasa wanapigania existence yao tu, some sort of public relevance kupitia mahakama kwa mambo ambayo walisusia wenyewe and focusing on other nonsense issues which have nothing to do with mobilising public support nationally.
Lissu ni kama Dr Kelly a nuclear scientists alieenda kukagua Iraq kama wana weapon of mass destruction; wakati serikali yake inatunga uongo wa kusema zipo; yeye anadai hakuna ushahidi huo. In few days he was pronounced dead. Hakuelewa mipaka yake ya national interest know when to stop intervening.
Hahahaha alijua sasa anaenda yyUna uchungu kama yule mama aliekuwa akishangilia kule mahakamani.
Siku kesi hii ilipotupwa na mahakama kwa mara ya kwanza!
You actually believe a leadership which is on the track and share an agenda to topple CCM in the near future would publicly criticise each other social platforms.Hiyo ya US ni twisted view. Habari ya weapons of mass destruction in Iraq haikuwa in US’ national interest. Ilikuwa ni ghilba ya utawala wa GW Bush and his clique. Note the aftermath and fallout.
Hapa kwetu hakuna mwelewa asiyejua clout ya CHADEMA katika national politics. The party is now more alive than ever having passed through hell and high water during the fifth phase. Serikali inafahamu na wananchi wanaelewa. CHADEMA hawana cha ziada cha kufanya kuongeza ushawishi.
Tundu Lissu plays his own game; cannot be easily dismissed or discounted as some morons tried to do and missed to their peril.
Kilichobaki ni kushughulikia mkakati wa kuilegeza serikali na CCM viachie mwanya kwa other players. Si kazi rahisi wala nyepesi. Serikali na CCM hawezi kuwa tayari kuruhusu level playing field. Still, mitikisiko itaendelea hadi lengo lifikiwe.
CHADEMA wako on the right track and cannot be easily ignored to the ire of establishment fanatics. Yote uliyoandika ni irrelevant na diversion from the reality.
Kwa kifupi, katika mambo ya msingi yanayoliathiri taifa, CHADEMA waanaakisi (reflect) mitazamo na misimamo halisi ya watanzania wengi hata waliojibanza ndani ya CCM. Na ndio clout au tishio hasa la CHADEMA kwa watawala.You actually believe a leadership which is on the track and share an agenda to topple CCM in the near future would publicly criticise each other social platforms.
Ebu angalia Lema, Lissu, Msigwa na Heche wanavyotofautiana kila siku kwenye current issues.
Hakuna kupishana mawazo hadharani kwenye vyama vya siasa on everyday political stance.Kwa kifupi, katika mambo ya msingi yanayoliathiri taifa, CHADEMA waanaakisi (reflect) mitazamo na misimamo halisi ya watanzania wengi hata waliojibanza ndani ya CCM. Na ndio clout au tishio hasa la CHADEMA kwa watawala.
Agenda si kuing’oa CCM TU. Hiyo ni hatua ya kwanza. Muhimu zaidi ni kuleta mageuzi makubwa katika namna nchi yetu inavyoongozwa. Kwa hilo, CHADEMA is on the right track. Response ya state na wananchi zinathibitisha.
Kama kawaida CHADEMA is not a totalitarian entity; kuna kupishana kwa mawazo kwa baadhi ya masuala ya siku kwa siku LAKINI ambayo si strategic.