Tumshukuru Mungu na sote tusemeNaona moto unafuka hapo soon, wale waliohama tayari wakirudi itakuaje?
Ongeza sauti...Sitamani hata kukujibu ila basi nikujibu tu
Ngorongoro hatutoki...
Tutaishi vizazi na vizazi.
Ikibidi Damu zetu zitafunika Ardhi ya Ngorongoro hapo ndo mtaweza kutufuta kwenye Ramani ya Dunia na sio kutuhamisha.
Subiria uone
Na mwezake TlaatlaahKama namuona Lucas Mwashambwa akibubujikwa machozi
Haupo Sawa kichwaniWatu wanapaswa kuelewa kuwa uwekezaji unaofanywa kwenye maeneo hayo ambayo wamasai wanayapigania ni Kwa ajili ya masrahi mapana ya nchi.
Hivyo hawana budi kuondoka,kilichofanyika hapa kwa huyo muombaji wa kusitisha agiza la serikali ni sawa na kutangulia safari ya mbali Kwa baiskeli ya mbao lazima tutakupita tu sisi wa nyuma tutakapo Anza safari na baiskeli zetu za chuma
Ndivyo itakavyokuwa.
isije ikawa danganya toto wamaasai warudi kwao alafu wiki ijayo tutasikia Feleshi huko mahakama ya Rufaa katupilia mbali maamuzi ya Mahakama Kuu ya Arusha!
===================
Hivi modes/moderator kwanini mmechanganya Uzi wangu na Uzi wangu ni tofauti kabisaa na huu?? Mbona basi hiyo habari nyinyi mumeitoa kwenye page yenu ya Instagram?? Acheni kuzingua...tutaacha kupost na kuanzisha Uzi sasaHuku habari jioni hii zikisema kwamba mkazi wa Ngorongoro Isaya Ole Posi amepata zuio mahakamani la KUZUIA WAMASAI wasiondolewe ngorongoro mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa, mkazi huyo amekana kufungua kesi na pia amekana kumfahamu wakili Njau ambae ndie wakili aliefungua kesi hiyo.
Isaya ameenda mbali na kusema atachukua HATUA kali kwakuwa jina lake limetumika bila idhini yake . Alipoulizwa haoni jambo hili ni jema sababu wameshinda na kupata zuio alisema haijalishi, hajafungua kesi yoyote na Hana kesi yoyote mahakamani.
Mapema wakili Peter Njau akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama kuu ya Arusha, alisema mteja wake alimwagiza kufungua kesi hiyo, na wakati wa kesi mawakili wa serikali walikuwepo na judge Mwenda alitoa amri hiyo mbele ya pande zote mbili. Kesi itakuja Tena mahakamani tarehe 26 September kusikiliza hoja za mkazi huyo Isaya Ole Posi ambae amekana kabisa kufungua kesi hiyo.
Ha ha haaShiiiii usimstue Bado anamalizia pilau la tamasha la Kizimkazi
Tatizo umma umejawa na uoga.Kabisa, serekali kama hii yetu haigopi mahakama, bali huogopa nguvu ya umma tu.
Mnhh!! Naomba video ya hii!!Hapa kuna kitu haiko Sawa, kataa kubali......View attachment 3076646
Hata before Jiwe !Historia ya hukumu mbalimbali ndani ya miaka hii 9 tangu aingie Jiwe na sasa Samia inajulikana.
Hivyo tusijisumbue
Sina Ndugu yanguMnhh!! Naomba video ya hii!!
Mbona kapanic