Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Hii itasaidia watu wengi kufuatilia shauri hili na mpaka hatima yake, wengi hatuna muda wa kupoteza kuja kulisikiliza kisutu hivyo ingependeza Huku tukiendelea na shughuli zetu taratibu tunapata mwendelezo kwa kupitia sumatifoni zetu.
-Lissu ajipange na Wana sheria wake 30,
-Serekali ijipange na wanasheria wake, jaji akae pale, msemaji wa mahakama akae pale, kabumbu lipigwe!
:::Infact chadema hawawezi penda hili kwa sababu wanamalengo mengine!