Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Uchawi upo mie sipractise hayo mambo ila nakutana nayo sana especially baada ya kukaa kwenye profession ya Sheria kwa zaidi ya miaka 16 sasa.Usisahau mkuu pole Sana[emoji23][emoji23][emoji23], Kuna watu uchawi wanauskia tu afu wanabisha.
Nguvu za Giza zipo na wachawi wenyewe huwa hawataki hata hela yako unaweza kuambiwa weka coin ya 500 tu kwenye kibuyu Ila sharti ukifanikiwa urudi kusema Asante.
Achana na hawa waganga wa mjini matapeli watupu ni Kama manabii wasanii tu wanakusomea upepo anaamini akitabiri kati ya watu 1000 lazima kila wiki atapata watu sio 10 watatoa ushahidi.