Mahakamani kuna siri gani? Niliwahi kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ili Hakimu na mashahidi washindwe kuongea au kuzungumza Mahakamani

Mahakamani kuna siri gani? Niliwahi kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ili Hakimu na mashahidi washindwe kuongea au kuzungumza Mahakamani

Usisahau mkuu pole Sana[emoji23][emoji23][emoji23], Kuna watu uchawi wanauskia tu afu wanabisha.
Uchawi upo mie sipractise hayo mambo ila nakutana nayo sana especially baada ya kukaa kwenye profession ya Sheria kwa zaidi ya miaka 16 sasa.

Nguvu za Giza zipo na wachawi wenyewe huwa hawataki hata hela yako unaweza kuambiwa weka coin ya 500 tu kwenye kibuyu Ila sharti ukifanikiwa urudi kusema Asante.

Achana na hawa waganga wa mjini matapeli watupu ni Kama manabii wasanii tu wanakusomea upepo anaamini akitabiri kati ya watu 1000 lazima kila wiki atapata watu sio 10 watatoa ushahidi.
 
Wanabodi,

Nayaandika haya sio kwa kufurahisha bali ni mambo yaliyonikuta na sitaki kuyakumbuka kabisa lakini kwa yaliyomtokea shahidi namba 13 wa upande wa jamuhuri Kamanda Swilla kwa kuugua....

Sitatoa namba ya Mganga yeyote wala mawasiliano hapa JF. Nitaendelea taratibu naomba uvumilivu wenu, Nitasimulia hatua kwa hatua msinichoke
Ulimpa sh ngapi? Ebu tuanze na hili swali.
 
Mkiona mtu kateuliwa kuwa jaji /hakimu basi mnasema kala shavu hivi najuwa wanayoyapitiani kwangu? Hutokaa ufanikiwe" akaondoka na watoto. Anasema mpaka leo mmewe hana hata mia.

Mimi kila siku nakuwa mahakamani nachekaga sana. Kwenye milango ya kuingia mahakamani wanasema ndo watuhumiwa/ ndugu za washitakiwa ndo wanawekaga madawa.hayo madawa yanawalenga mahakimu/ majaji wala sio sisi watu wa kawaida.uchawi upo.
Nyie haya mambo yapo sana tu ila watu wanabisha.

Balaa jingine lipo kwenye kesi za mirathi, kuna wilaya moja kwenye mahakama fulani ya mwanzo kulikua na kesi ya mirathi ambayo kila ikikaribia siku ya hukumu inaondoka na hakimu mkazi anaehusika na hiyo kesi. Wakaamua waifute tu maana iligharimu sana maisha ya watu.

Kesi za mirathi zinaogopwa sana na mahakimu.
 
Hakuna kesi mbaya kama za mirathi.
 
Wanabodi,

Nayaandika haya sio kwa kufurahisha bali ni mambo yaliyonikuta na sitaki kuyakumbuka kabisa lakini kwa yaliyomtokea shahidi namba 13 wa upande wa jamuhuri Kamanda Swilla kwa kuugua ghafla kizimbani na muda mwingi kuomba ruhusa kwenda washroom au maliwato siyo mambo ya kucheka huwa yanatokea...
You can't be serious.

Huyo mganga bado yupo?

Kuna Dem amenizunguusha Sana humu jf. Nataka a nitafute mwenyewe, vinywaji, lodge na kuku anunue yeye
 
Nyie haya mambo yapo sana tu ila watu wanabisha.

Balaa jingine lipo kwenye kesi za mirathi, kuna wilaya moja kwenye mahakama fulani ya mwanzo kulikua na kesi ya mirathi ambayo kila ikikaribia siku ya hukumu inaondoka na hakimu mkazi anaehusika na hiyo kesi. Wakaamua waifute tu maana iligharimu sana maisha ya watu.

Kesi za mirathi zinaogopwa sana na mahakimu.
Naogopa kweli...hapa nilipo nasubiriwa na kesi kama hii basi naogopa mnoo maana complications ni nyingi mnoo. Mirathi ni mbaya sana.
Mungu atutetee.
 
Back
Top Bottom