Uchawi upo mie sipractise hayo mambo ila nakutana nayo sana especially baada ya kukaa kwenye profession ya Sheria kwa zaidi ya miaka 16 sasa.Usisahau mkuu pole Sana[emoji23][emoji23][emoji23], Kuna watu uchawi wanauskia tu afu wanabisha.
Ulimpa sh ngapi? Ebu tuanze na hili swali.Wanabodi,
Nayaandika haya sio kwa kufurahisha bali ni mambo yaliyonikuta na sitaki kuyakumbuka kabisa lakini kwa yaliyomtokea shahidi namba 13 wa upande wa jamuhuri Kamanda Swilla kwa kuugua....
Sitatoa namba ya Mganga yeyote wala mawasiliano hapa JF. Nitaendelea taratibu naomba uvumilivu wenu, Nitasimulia hatua kwa hatua msinichoke
Una miaka mingapi kwanza?,usikute ni mtt unataka kuleta ligi za kubishana hapa bila hojaUongo wa kiwango cha Juu, hawakukumbuki wewe kabisa, Ila kuna records, kuna arrest order Na wewe ulichagua option two...
Kumbe Mbowe anateseka bure, badala ya zitto kuomba msamaha kanunueni hako kachupa mumpake.Halafu Kuna wajinga wanakuambia hamna uchawi!
Ni leo kwasababu kwenye kesi ya Mbowe na wenzake shahidi wa jamhuri ameugua akiwa kizimbani akipigwa maswali na Kibatala jaji akaahirisha kesi mpaka kesho.Lengo la huu uzi ninini? Najua si utapeli bali ninini? na kwanini leo?
magereza nimeenda Na mahakaman nimeenda SanaUna miaka mingapi kwanza?,usikute ni mtt unataka kuleta ligi za kubishana hapa bila hoja
Yani .. sjui alikuja kubadili mambo yake mwenyewe 😅😅😅 kwamba hakimu asione maandishi..🤣🤣🤣Ahahaha,mganga hapo alikuja kwa njia ya kichawi kubeba faili la mtu
Wewe hujaelewa, huyu jamaa ndio mganga na hapa anatangaza biashara ili atafutwe na hao washitakiwaUongo wa kiwango cha Juu, hawakukumbuki wewe kabisa, Ila kuna records, kuna arrest order Na wewe ulichagua option two...
Nyie haya mambo yapo sana tu ila watu wanabisha.Mkiona mtu kateuliwa kuwa jaji /hakimu basi mnasema kala shavu hivi najuwa wanayoyapitiani kwangu? Hutokaa ufanikiwe" akaondoka na watoto. Anasema mpaka leo mmewe hana hata mia.
Mimi kila siku nakuwa mahakamani nachekaga sana. Kwenye milango ya kuingia mahakamani wanasema ndo watuhumiwa/ ndugu za washitakiwa ndo wanawekaga madawa.hayo madawa yanawalenga mahakimu/ majaji wala sio sisi watu wa kawaida.uchawi upo.
Hakuna kesi mbaya kama za mirathi.Nyie haya mambo yapo sana tu ila watu wanabisha.
Balaa jingine lipo kwenye kesi za mirathi, kuna wilaya moja kwenye mahakama fulani ya mwanzo kulikua na kesi ya mirathi ambayo kila ikikaribia siku ya hukumu inaondoka na hakimu mkazi anaehusika na hiyo kesi. Wakaamua waifute tu maana iligharimu sana maisha ya watu.
Kesi za mirathi zinaogopwa sana na mahakimu.
Inafikirisha sana....Hakuna kesi mbaya kama za mirathi.
You can't be serious.Wanabodi,
Nayaandika haya sio kwa kufurahisha bali ni mambo yaliyonikuta na sitaki kuyakumbuka kabisa lakini kwa yaliyomtokea shahidi namba 13 wa upande wa jamuhuri Kamanda Swilla kwa kuugua ghafla kizimbani na muda mwingi kuomba ruhusa kwenda washroom au maliwato siyo mambo ya kucheka huwa yanatokea...
Unafahamu ndyeki wewe Bujibuji au wewe wa mjiniLiving la vida loca
Naogopa kweli...hapa nilipo nasubiriwa na kesi kama hii basi naogopa mnoo maana complications ni nyingi mnoo. Mirathi ni mbaya sana.Nyie haya mambo yapo sana tu ila watu wanabisha.
Balaa jingine lipo kwenye kesi za mirathi, kuna wilaya moja kwenye mahakama fulani ya mwanzo kulikua na kesi ya mirathi ambayo kila ikikaribia siku ya hukumu inaondoka na hakimu mkazi anaehusika na hiyo kesi. Wakaamua waifute tu maana iligharimu sana maisha ya watu.
Kesi za mirathi zinaogopwa sana na mahakimu.