Mahakamani kuna siri gani? Niliwahi kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ili Hakimu na mashahidi washindwe kuongea au kuzungumza Mahakamani

Usije huko mwisho ukaharibu kwa kuweka namba ya mtaalam tu maana hapo tutakushtukia kuwa nia yako ni kutangaza biashara.

Japo mpaka mwisho wa siku leo Inbox yako itajaa msgs hasa toka kwa kina dada wakiomba contacts za mganga.
We uoni kuwa ni tangazo la biashara kwa story za kusadikika hizi.
Asipotoa namba means pm yake itajaa
 
True ,Wengi wasingefungwa jela.
Majambazi wote ni wachawi na upewa confidence na waganga Ili wafanye uhalifu iweje sasa waganga wakubali wateja wao wale mvua maisha si wangewafanyia dawa wasifungwe au kukamatwa.
Mume wa mtu anatekwa nje pindi pale apatatapo tapeli la mapenzi yaani mtaalamu wa kuliwaza Ili apate pesa, huyo huyo mwanamke mliwazaji nae akiolewa akiwekwa ndani nae huwa sawa tu mwanamke mwingine wa ndoa tu fully makelele
 
🤭🤭🤭🤭🤭 duh wengine unakuta hakimu hawezi kusoma hukumu
 
huyu tapeli anataka kuwatapeli hela. nimefanya kazi Mahakamani miaka mingi, hakuna uchawi unafanya kazi Mahakamani. utapoteza pesa zako tu. ingekuwa hivyo hakuna mtu angefungwa. kuna waganga wa kienyeji wamejaa magerezani huko. kitu pekee ambacho niliwahi shuhudia ni kuuliwa kwa hakimu na pp, na hata hivyo hao wanaokufa huwa wale ambao hawana Mungu. na hata ukiua mmoja, kesho mwingine anachukua jalada mambo yako palepale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…